Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makonda hajasimama kwenye majukwaa ya kisiasa kwa muda, hivyo anaweza akaja na wenge la kumtaja taja adui wa watanzania (jiwe) kwenye hotuba zake. Wenye nchi tutakuwa tunafuatilia sana hotuba...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Kila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana...
18 Reactions
95 Replies
5K Views
Kati ya jambo ambalo sitadhubutu kumuhusisha Mungu nikatika ukatili wa kiongozi dhidi ya anaowaongoza. Naamini hakuna Mungu wa viongozi waovu bali Mungu ni wa wenye haki. Naamini haki ya kuishi...
4 Reactions
7 Replies
794 Views
25 October 2023 Columbia, South Carolina United States Tundu Lissu |Guest Lecturer Corruption, Darla Moore School of Business, University of South Carolina...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakati wa utawala wa JK kulikuwa na msemo mashuhuri sana ambao ilisemekana ulitolewa na Rostam Aziz kama ushauri wake kwa JK. Msemo huo ulikuwa unasema " Kwenye udhia penyeza Rupia" Kusema kweli...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye sheria mpya ya manunuzi serikali inunue ndege, vichwa vya treni, mabehewa ya treni, meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya, na wabunge wanasherehekea bungeni...
21 Reactions
146 Replies
10K Views
Haya ni maajabu na yanajengwa kwa kusudi gani? Alikuwepo Nape Nnauye, akaja Polepole na kisha akafuata huyu mama Mjema hata watu hawakumjua rangi yake wala anasema nini! Sasa ghafla kateuliwa...
22 Reactions
52 Replies
6K Views
Wadau amani iwe nanyi Leo nimekaa na kutafakari msitakabali wa nchi yetu nimekuja na ugunduzi wa mambo kadha wa kadha. Kwenye siasa za nchi yetu kuna kundi la watu ambalo kazi yao ni...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakizungumza leo, Agosti 21 baada ya kuripoti kituoni hapo, Mdude amesisitiza kuwa hawatarajii kurudi tena kituoni hapo hadi jeshi hilo litakapokamilisha upelelezi na kesi yao kwenda mahamakani...
8 Reactions
35 Replies
4K Views
Rais wetu Dkt Samia amelihutubia Bunge la Zambia leo baada ya kuoombwa ziara ya kuwa Mgeni Rasmi wa Siku ya Uhuru wa Nchi hiyo ya Zambia ambayo ndiye Mteja Mkuu wa Bandari yetu ya Dar es Salaam...
0 Reactions
39 Replies
2K Views
HabarI wakuu, Nimetokea kukipenda Chama Cha Mapinduzi (CCM). Leo siku nzima nimekaa nasikiliza nyimbo ya John Komba kama vile CCM mbele kwa mbele, sasa kumekucha na pisha njia. Napenda nikiRi...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Katika hali isiyo ya kawaida Mzee Isaac Mwasilu amesema Bora arudi nyumbani na kwenda kufa kama itashindikana kusaidiwa kupatikana kwa mtoto wake aliyepotea tangu tarehe 11/11 mwaka 2021, kwa...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
WAMA, wama, wama nakuita mara tatu nahitaji kujua uliko, Wama wama u wapi? Ungelikuwa mtu ningepeleka picha Yako Itv kwenye KIPINDI Cha YU wapi? Nahitaji kujua hiki kichaka kilichokuwa Mali ya...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
MAKUBALIANO YA KISERIKALI KATI YA: ΤHΕ UNITED REPUBLIC 0F TANZANIA AND THE EMIRATE 0F DUBAI https://www.jamiiforums.com/attachments/dar_port_contract_mkataba-pdf.2682567/ UTANGULIZI JAMHURI...
32 Reactions
760 Replies
77K Views
Namwambia rafiki yangu mpita njia kwamba zama zimebadilika, malaika anaetawala sasa ni malaika wa kheri. Watu wanaenda wapendako na wanalala wanapotaka wao. Enzi za kumiliki vikosi na magenge ya...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Akihutubia Maelfu ya Wananchi huko Nkasi kwenye ile Oparesheni Kabambe inayoitwa Oparesheni 255 okoa Bandari zetu, Mwenyekiti wa Chadema, Feeman Mbowe, amesema Rais Samia haaminiki na ili tuamini...
31 Reactions
125 Replies
9K Views
Tanzania nadhani tunashindwa kuelewa kwamba nchi yetu ili iendelee lazima wafu wetu wasafiri nje . Tunashindwa kuelewa ili nchi iweze kupunguza changamoto za ajira lazima watu wake wakatafute...
1 Reactions
0 Replies
889 Views
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imetenga eneo la hekari 20 za ardhi katika Bandari kavu eneo la Kwala Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuhudumia mizigo kutoka Zambia ambapo...
14 Reactions
139 Replies
11K Views
Nimefuatilia kila mtu anashangaa inakuwaje nchi ya kidemokrasia Raisi ana nguvu hivi. Ndiyo maana ni muhimu kubadilisha katiba https://www.youtube.com/live/IYfoTqmzPv0?si=LhXMtnbTxR3ff56N
1 Reactions
1 Replies
706 Views
KAMATI YA BUNGE YATOA PONGEZI BMT KUENDELEZA MICHEZO Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo chini ya Mwenyekiti Mhe. Husna Sekiboko imelipongeza Baraza la Michezo la Taifa kwa kuendelea...
0 Reactions
0 Replies
351 Views
Back
Top Bottom