Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nkasi ndio jimbo pekee linalowakilishwa bungeni na Chadema Sasa wapiga kura Wao wamemcharaza mikwaju Afisa wa Jeshi la Polisi Je, Chadema itatoa Waraka wa kukemea kitendo hicho? Ngoja tuone...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu ametoa wito kwa makampuni mbalimbali ndani na nje ya Tanzania kujitokeza kudhadhili vilabu vya soka na michezo mbalimbali nchini...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Serikali inapaswa kuanzisha matumizi ya vyanzo mbadala vya nishati, kama vile gesi asilia. Kuanzia kwenye magari yote ya serikali, kutekeleza matumizi ya Gesi ya Asilia Iliyosindikwa (CNG)...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Ni jambo la kusikitisha tangu SGR ianze kujengwa raisi wetu mpendwa hajawahi kuja kuikagua na timu ya wataaalamu wake. Wanakuja TRL magari yao na hawafungui vioo wanaondoka bila kukagua wengine...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Nafikiri huu ndio ufisadi mkubwa zaidi kuliko hata skendo ya DP World. Inasikitisha nchi inatafunwa na genge liitwalo ccm hadi huruma. Kwamjibu wa Jarida la The Global Mail linasema kuwa kikosi...
13 Reactions
55 Replies
6K Views
Serikali ya Iran imetangaza kukamatwa kwa meli iliyosheheni mafuta ya magèndo inayopeperusha benders ya Tanzania. Ni wakati muafaka kufahamu ni nani yupo nyuma ya haya magendo kulinda taswira ya...
5 Reactions
20 Replies
5K Views
They call him Capt Ibrahim Traolè, the youngest African President. He is also the youngest President in the world currently. H.E Capt. Ibrahim Traole has become an iconic patriotic African...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kimuundo Ofisi ya Waziri Mkuu imesheheni Mawaziri wa kutosha yupo PM mwenyewe, Ndalichako na Mhagama wakisaidiwa na Mawaziri wadogo akina Katambi. Sasa sijaielewa kama Nishati itakuwa chini ya PM...
5 Reactions
16 Replies
3K Views
Akiwa kwenye ziara ya Rais Samia leo Septemba 16, 2023 waziri Bashe ameongelea suala la korosho alipotakwa na Rais Samia aelezee bei ya msimu huu. Bashe amesema bei ya mbaazi na ufuta ilikuwa...
5 Reactions
56 Replies
5K Views
Mkurugenzi wa TAKUKURU na wafanyakazi walio chini yake wanalipwa fedha nyingi kutoka kwenye kodi za wananchi. Pamoja na malipo mazuri hakuna kazi yoyote ya msaada wanayotoa kwa serikali na jamii...
2 Reactions
17 Replies
6K Views
Dkt. Baruani Mshale mtaalamu bingwa anajikita kuuliza zile R4 kwa mtanzania ambaye siye mwanasiasa zina maanisha nini https://m.youtube.com/watch?v=C9abritQeXE Mada hiyo tunduizi ya Dr. Baruani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwanza nianze kwa kuwapongeza wananchi wa Nkasi kwa uzalendo wao hakika majina yao yaandikwe kwa wino wa dhhabu na kujengewa mnara ikibidi na sanamu ktk kitabu cha historia ya taifa. Nakumbuka...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimesikia fununu mahala fulani nami nikaunga mkono kwa 100%. Watanzania wanataka Chama chenye kuamsha mioyo yao kama ilivyokuwa NCCR Mageuzi ya Mrema na DP ya Rev Mtikila 1995. Kamati Kuu ya...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) naomba upokee ushauri huu. Mimi Sifi Leo nimetembea nchi hii sijawai kutana na mtu anaitwa AGUSTINO LYATONGA MREMA kisa mtoto huyo...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Sisi wana Mbeya ni wahanga wa matukio ya kibabe ya kidhalimu yaliyofanywa na yanayoendelea kufanywa na chama hiki mumiani. Miongoni mwa udhalimu huo ni kuporwa kwa uwanja wa wananchi, uwanja wa...
12 Reactions
45 Replies
3K Views
Unaweza kukuta Wananchi na mgombea Ubunge Malengo yao huwa tofauti Kabisa Kwenye Katiba mpya tufanye kama ndugu zetu wa Kenya Waziiri asiwe mbunge Watanzania mpo milioni 64 kushika Vyeo viwili...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Inawezekanaje Wananchi wanaoshindwa kununua chumvi na Sukari waweze kutengeneza Mabango ya Mapokezi yenye picha ya Rais kwa wingi namna hii? Hebu Jionee hawa wa Mtwara , halafu toa maoni yako.
14 Reactions
99 Replies
6K Views
Hakuna kitu bora kwa kiongozi kama kutumia hekima katika kutekeleza majukumu yako. Ndio maana ulimwengu mzima hadithi za Mfalme Suleiman kwa karne kadhaa zimetumika kama mfano bora wa uongozi...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
nyingi Mh. Rais nikiona dereva amechelewa, naenda kwanza kwenye Instagram ya Ikulu, nikiona PDF ya Zuhura haipo basi nakuwa na confidence, namuita dereva. Lakini siku hiyo nikajisahu, nikawa...
8 Reactions
96 Replies
8K Views
Gharama na viwango vya maisha vinafanya msiba wa JPM uanze upya kila siku mioyoni mwa wahanga ambao ndiyo wengi. JPM kafia nchi kavu kafufukia visiwani. Wenzetu wa Zenjbar hakuna kupandisha bei...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom