Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,741
- 218,332
Awali Wananchi walimtaka Mbowe aombe nakala ya mkataba huo ili wauone na kujiridhisha kama kilichosemwa ndicho kilichoandikwa .
Unaambiwa kimenukaWenye akili wanaongea sasa. Asante Mbowe!
Chunga mdomo wako.Yeye Mbowe anaaminika?
Aweke hadharani Maridhiano tuyaone
Hapo sasa😁😁Yeye Mbowe anaaminika?
Aweke hadharani Maridhiano tuyaone
😂😂😂🐼🔥 Watanzania siyo Wajinga by Shujaa MagufuliChunga mdomo wako.
Maridhiano yamekufaYeye Mbowe anaaminika?
Aweke hadharani Maridhiano tuyaone
Molel alikanusha.😂😂😂🐼🔥 Watanzania siyo Wajinga by Shujaa Magufuli
Ninyi hamjitambua na hamna akili ndio maana mbowe anawaburuza kama ng'ombe wapelekwao machinjioni.Wenye akili wanaongea sasa. Asante Mh. Mbowe!
Acha Ramli wewe maana naona aibu zimewashika na mmeanza kuhamisha magoli kama kawaida yenu ya unyumbu. Si mlikuwa mnasema mkataba ni wa milele?Ukweli ni kwamba, tukiukubali uhuni wa IGA, tumeuza vizazi vyetu vyote...
Hakuna sheria hiyo duniani. Mikataba ya kibiashara ile, siyo "public".View attachment 2790507
Akihutubia Maelfu ya Wananchi huko Nkasi kwenye ile Oparesheni Kabambe inayoitwa Oparesheni 255 okoa Bandari zetu , Mwenyekiti wa Chadema , Feeman Mbowe , amesema Rais Samia haaminiki , na ili tuamini kile kilichosainiwa jana alichodai ni mkataba wa bandari na DP WORLD ya Dubai basi mkataba huo uwekwe hadharani , Hii ni kwa sababu tunaweza kuwa tumepigwa ( zilongwa mbali zitendwa mbali )
Awali wananchi walimtaka Mbowe aombe nakala ya mkataba huo ili wauone na kujiridhisha kama kilichosemwa ndicho kilichoandikwa .
Hamna nchi duniani inaweka mikataba for public domain. Mbowe acha kuwadanganya washamba wa Sumbawanga. Mikataba ni trade secrets na ziko strongly protected through NDAsView attachment 2790507