Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 5,755
- 15,236
Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye sheria mpya ya manunuzi serikali inunue ndege, vichwa vya treni, mabehewa ya treni, meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya, na wabunge wanasherehekea bungeni kwa nguvu sana.
Yani baada ya vichwa vya treni mitumba kukosolewa na wananchi kwa nguvu sana, ubunifu wa Mwigulu Nchemba ni kutunga sheria ya mitumba ili muache kukosoa!!!
Wanashangilia kwa sababu hiyo sheria itawaumiza watu wa kawaida. Wao si wataendelea kununua zile V8 VXR zao zenye 0 km!!, suti zao brand new from Italy!
Au hiyo sheria pia itaruhusu na wenyewe kununua magari mikweche kama haya ya kwetu? Maana hao watu hawajawahi kuwa na faida kwa taifa. Ubinafsi ndiyo umewajaa.
Inasikitisha sana taifa lenye utajiri wa kutisha kutunga sheria ya kulazimisha kununua mitumba.