WAMA ya Salma Kikwete iko wapi? Mke wa Rais Mwinyi naye Zanzibari ameanzisha yake

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
WAMA, wama, wama nakuita mara tatu nahitaji kujua uliko, Wama wama u wapi? Ungelikuwa mtu ningepeleka picha Yako Itv kwenye KIPINDI Cha YU wapi?

Nahitaji kujua hiki kichaka kilichokuwa Mali ya Salma Kikwete na kampeni za mtoto wa mwenzio ni wako Kiko wapi?

Je, kama kipo hakioni udhalilishwaji wanaofanyiwa watoto wetu wa kiume? au kichaka kile kilipigania watoto wa kike tu?

Wajuvi wanadai kilikuwa kichaka cha kupigia kama vingine

Je, za maisha Bora Zanzibar kilichoanzishwa na mke wa Rais Dkt. Mwinyi kina tofauti na hiki?
 
WAMA ipo na inafanya kazi. Ofisi zake zipo mikocheni/ kawe beach
Wana shule kubwa ya kisasa ya secondary ipo Rufiji NYAMISATI inatoa fursa kwa watoto wa kike PLHIV
 
Watoto wa kiume imeshakaririwa ni wanajipambania na kujinasua wenyewe kwenye matatizo, tabia mbovu wakiendekez shauri yao hakuna msaada, ni juu yao.

Hata Ray C alipelekwa nje ishu za madawa lakini kuna waathirika kibao tu wanaume.
 
WAMA ipo na inafanya kazi. Ofisi zake zipo mikocheni/ kawe beach
Wana shule kubwa ya kisasa ya secondary ipo Rufiji NYAMISATI inatoa fursa kwa watoto wa kike PLHIV
Hata lindi pia pale mitwero karibu na veta wana shule ya sekondari pia
 
Back
Top Bottom