Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze ameanza ziara ya Mkoa wa Mara kwa kutembelea na kuongea na Watumishi...
0 Reactions
3 Replies
810 Views
Naona mwenyekiti wenu analalama kuwa haheshimiwi. Haheshimiwi vipi? Mlitaka wapinzani wakae kimya wakati wanaona kuna madudu? Mkataba wa bandari na usimamizi mbovu wa rasilimali za taifa...
1 Reactions
4 Replies
967 Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo Rais Samia, mama wa shoka, jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika, chuma cha reli, nuru ya wanyonge, na sauti ya Afrika na wa Afrika, ameongea kwa uchungu na hisia...
11 Reactions
215 Replies
13K Views
Kutukana ni kosa kisheria. Yeyote anayetukana ama kwenye mkutano wa hadhara au nyumbani kwake, ametenda kosa. Sasa inashangaza rais anatupotezea muda kwa kulalamika, eti Kuna watu wanatukana...
10 Reactions
41 Replies
3K Views
Na Mimi naunga mkono hoja, Yaani mashirika yetu hususani NHC ishindwe kujenga nyumba za bei ya juu kisa hakuna Wanunuzi wa Tanzania wakati matajiri wa kigeni Wanaweza kununua na Shirika kupata...
9 Reactions
52 Replies
5K Views
Hotuba ya Dr Samia jana imenipeleka mbali sana kutafakari kama tungefanya makosa tukaikabidhi nchi kwa Lisu ingekuwaje. Samia wewe ni Muungwana nimekuelewa vizuri, sisi ambao tumepata bahati ya...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Ndugu wanajukwaa Mimi ni mgeni, nikikosea mnirekebishe. Wakuu katika pitapita yangu nikakutana na taarifa kupitia platform za kimataifa. Je, kama taifa tunanufaika vipi na taarifa kama hii? Je...
0 Reactions
0 Replies
505 Views
Wakati Chadema ikiendelea kujifariji Kwa kusema inaenda kuiondoa CCM madarakani 2025,Diwani wa kata ya Kata ya Mkuzi huko Muheza bwana George Chamabai amekihama chama hicho na kutimkia CCM. CCM...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Hali ya Upatikanaji wa Mafuta Africa Mashariki ni Tete na WA mashaka sana. My Take Kumbe Serikali yetu Iko vizuri maana hatujafikia kukopeshwa mafuta...
2 Reactions
9 Replies
622 Views
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile amesema ni Haki yake ya kikatiba mh Tundu Antipas Lisu kwenda Ngorongoro kuongea na Wamasai walioko kwenye najaribu makubwa. Mchungaji Mwakipesile amesema huwa...
16 Reactions
51 Replies
5K Views
Wako wanaodhani Shujaa Magufuli alikuwa anajimwambafy, la hasha, kushughulika na wanasiasa wa bongo kunahitaji Utemi wa kizamani. Wanasiasa wa Tanzania kuanzia CCM kwenyewe ni watu wa kutukana...
11 Reactions
70 Replies
4K Views
Dude linaloitwa katiba Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Samia Suluhu hassan amesema kwamba watu wa nchi hii hakuna anaejuwa maana ya katiba kwa hiyo ni vizuri watu kwanza wafundishwe...
17 Reactions
200 Replies
12K Views
Hata mzee Wassira pale TBC alimwambia Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo Mzee Zitto Kabwe kwamba bila Serikali mbili hakuna Katiba mpya. Na yule Shujaa Magufuli aliwaambia CHADEMA kuwa Katiba Mpya...
-1 Reactions
1 Replies
460 Views
Inasikitisha sana, watanzania tutumie nguvu kupata mabadililko ya katiba mpya, CCM bila kuvunja amani hawataruhu katiba mpya. Katiba hii ikibadilishwa CCM itatoka madarakani,hivyo hawako tayari...
10 Reactions
35 Replies
5K Views
Vyama vya siasa vinahitaji watu ili viwe hai bila kujali ni aina gani ya wanachama inao wapata, ndio maana hata mambumbu wakutupa wamekuwa wanasiasa na mbaya saidi wanapewa nafasi nyeti kuongoza...
1 Reactions
2 Replies
652 Views
Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa. Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa? Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko...
25 Reactions
68 Replies
5K Views
Nimeangilia kesi kati ya Winshear Gold Corp dhidi ya serikali ya Tanzania huko ICSID. Ukweli usemwe ni aibu tupu kwa upande wa serikali hasa katika lugha, "the the the" ni nyingi sana , sijui kwa...
37 Reactions
163 Replies
13K Views
Tunalaani ukamataji, unyanyasaji, usumbufu unaofanywa na Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Dola kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama chetu Mhe Tundu Lissu, viongozi wengine waandamizi wa ngazi...
31 Reactions
181 Replies
11K Views
“Naibu Waziri Mkuu” Ali Hassan Mwinyi akiwa Rais wa JMT, alilazimika kuteua Waziri Mkuu kutoka bara baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa Mwl. J.K Nyerere. Katiba ilielekeza ikiwa Rais atatoka...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Siku ya pili ya Mkutano Maalumu wa vyama vya Siasa, leo Septemba 12, 2023. https://www.youtube.com/live/gluDmlaR35M?si=wM7TlyCrrBFbEHtg === ABDUL NONDO, ACT Mpaka leo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom