Mbona ghafla cheo cha Katibu Itikadi kinaonekana kama ni kikubwa mno?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,802
71,229
Haya ni maajabu na yanajengwa kwa kusudi gani?

Alikuwepo Nape Nnauye, akaja Polepole na kisha akafuata huyu mama Mjema hata watu hawakumjua rangi yake wala anasema nini!

Sasa ghafla kateuliwa Makonda kuwa Katibu Itikadi, ona jinsi cheo hicho kinavyo tangazwa kama cheo cha KIMAMLAKA, kinachotisha na kuna watu ETI WAKAE CHONJO maana walimsema vibaya Makonda aka Bashite.

Katibu itikadi hana mamlaka yeyote nje ya chama chake na nahisi hata huko ndani ya CCM labda iwe kuwa na nafasi ya kuwachongea wenzake kwa bosi wake Chongolo (yule aliyewahi kumtusi akiwa DC Kinondoni).

Kwa nini hali hii ya kuonyesha kuwa ana madaraka makubwa na watu kupata woga inatokana na nini wakati hana tofauti na MC mkuu wa chama au yule muathini katika misikiti yetu, yaani kifupi ni mpiga kelele mkuu wa chama kunadi sera?
 
Si unyamaze kama hakina lolote. Last time I checked your were a committed and diehard Bavicha fan. Why bother with CCM's internal affairs? Oh, it's Makonda's effect. Get life young man.
 
Haya ni maajabu na yanajengwa kwa kusudi gani?

Alikuwepo Nape Nnauye, akaja Polepole na kisha akafuata huyu mama Mjema hata watu hawakumjua rangi yake wala anasema nini!

Sasa ghafla kateuliwa Makonda kuwa Katibu Itikadi, ona jinsi cheo hicho kinavyo tangazwa kama cheo cha KIMAMLAKA, kinachotisha na kuna watu ETI WAKAE CHONJO maana walimsema vibaya Makonda aka Bashite.

Katibu itikadi hana mamlaka yeyote nje ya chama chake na nahisi hata huko ndani ya CCM labda iwe kuwa na nafasi ya kuwachongea wenzake kwa bosi wake Chongolo (yule aliyewahi kumtusi akiwa DC Kinondoni).

Kwa nini hali hii ya kuonyesha kuwa ana madaraka makubwa na watu kupata woga inatokana na nini wakati hana tofauti na MC mkuu wa chama au yule muathini katika misikiti yetu, yaani kifupi ni mpiga kelele mkuu wa chama kunadi sera?
Kila awamu ina namna ya kutengeneza mfumo wake.
 
Acha kuweweseka Jombaa
 
Naona namba 3 zikitawala katika utawala wa Rais wetu wa sasa. Ebu jaribu kuchunguza idadi ya nafasi nyeti wa wasaidizi wa karibu waliowahi kuhudumu chini yake, na pengine kwa kipindi cha muda mfupi.

Tutafute idadi ya makatibu wakuu, wakurugenzi wa usalama wa taifa, makatibu wa wizara, idadi ya mawaziri kuhudumu katika wizara nyeti. Kwa kupitia hesabu hii tutegemee mabadiliko ya mara kwa mara ili kuweka mambo sawa

Hivi karibuni mikataba mitatu ya HGA ilisainiwa japo kuna malalamiko mengi juu ya IGA ambayo imepelekea mikataba hiyo kusainiwa. Tutegemee kuiona namba hii kwa sana, labda wajuvi wa namba kwa kanuni za kiroho watueleweshe.

Remember, "Once is happenstance. Twice is coincidence but, Thrice is a pattern"
 
Back
Top Bottom