Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na:Abdull Najad Faiq Ulimwengu wetu wa leo ni ulimwengu ambao haupo sawa ni ulimwengu ulio matabaka mawili baina ya weusi na walio weupe,baina ya maskini na matajiri,baina ya wenye nguvu na walio...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Wakati Tanzania tukiwa na mawazo ya KIJINGA kufikiria kukamata wanaotumia VPN kisa huduma ya internet bongo ni mbovu na TZ inazuia baadhi ya mitandao ya kijamii kupatikana nchini bila sababu za...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimeshangazwa na Viongozi wetu kutojua dhima ya mkutano au kusudio la mkutano wanaoshiriki. Mfano mzuri ni mkutano wa Leo pale Manyara Babati kwenye uwanja wa Tanzanite. Dhima kubwa ya mkutano ule...
2 Reactions
1 Replies
743 Views
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Serukamba ameeleza namna ambavyo wananchi wa mkoa huo walivyojipanga kwa mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye...
1 Reactions
0 Replies
647 Views
ZIARA YA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA JUMUIYA YA WAZAZI MBEZI JUU Kamati ya utelekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi ikiongozwa na Mwenyekiti Oswald Mwasuka, imefanya ziara kwenye matawi ya CCM kukutana na...
1 Reactions
8 Replies
701 Views
Wanajamvi Nauliza iwapo kampeni zimeanza, maana ninachokiona kwa CCM ni kama wameanza mapema mno bila vyama vingine kushtukia. Mifano na viashiria ni vingi lakini leo nitazungumzia ziara ya...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa mtizamo wangu Mwalimu Nyerere alifanikiwa sana katika kukataa kwa vitendo dhana ya kujilimbikizia mali. Aliridhika na kile kidogo alichopata na kuamua kwa dhati kutokubali kumvumilia mwizi wa...
1 Reactions
1 Replies
456 Views
Akizungumza kwenye Ibada ya Mazishi ya Mwanzilishi wa Shirika la ndege la Precision Shirima , Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ameiomba Serikali ya Tanzania kutambua Mchango wa Mzee huyo katika...
18 Reactions
87 Replies
9K Views
Nani anajua tumemaliza vipi hoja ya bandari na DP world? Mwaka unaisha sasa, je wale waliokuwa wanatudanganya tutashtakiwa wameanza kushawishi DP world watushtaki ili walipwe fidia? Wale...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanabodi, kama kawa, kila nipatapo fursa huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni pongezi kwa Rais Samia kwa kutunukiwa Ph.D nyingine ya heshima, Je wajua mtu kutunukiwa Ph.D...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Aliyepita alisaidiwa na kelele nyingi kila anapoenda anawapiga fix wananchi kwa mbwembwe nyingi wakabaki wanamuomba yeye tu. Si unajua wananchi wanavyopenda kuongopewa mbaya zaidi ukienda na...
23 Reactions
138 Replies
10K Views
Nimeona katazo la Tcra kuzuia matumizi ya Vpn nakusema kuwa kuna faini ya mil 5. Sasa kwa sababu karibu kila Mtanzania mwenye smart foni amedownload VPN na anaitumia kuangalia mambo yake binafsi...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Ukifuatilia historia ya dunia utaona bila shaka kuwa Walimwengu wamechanyikiwa siku zote. Vita kila kona ya dunia, mauwaji, majanga, visa vya kutisha, uchafuzi wa hali ya hewa na mazingira, wizi...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Doto Biteko amewataka mawaziri, wakuu wa mikoa na viongozi wengine kuhakikisha wanatoa elimu ya namna ya kukabiliana na mvua za El-Nino zinazotarajiwa kuanza kunyesha...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
SASA HIVI ANAYEVURUNDA KAZINI AKAE PEMBENI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kupokea ripoti ya Kamati ya Kutathmini Ufanisi na utendaji wa Wizara ya...
11 Reactions
96 Replies
8K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Mbio za mwenge wa Uhuru na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Baba Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Wiki ya...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawa TTB [Tanzania Tourist Board] walikana kumtuma huyu Mwijaku nchini Ufaransa na kutuandikia barua ndefu ya kanusho huku Mwijaku naye akifuta post yake aliyojirekodi siku akiondoka na kuwataja...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Misa Maalum ya Kumuombea Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere leo tarehe 14 Oktoba, 2023 Babati, Mkoani Manyara...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Mwaipaya na Pambalu Ndio huongoza mapokezi ya Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe na makamu wake Tundu Lisu katika kila mkoa panapofanyika mikutano ya Chadema hasa Operesheni +255 Katiba mpya Okoa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Jambo linalonisikitisha na kunishangaza na kuacha swali juu yangu. Ni kwa nini ZANZIBAR haipewi uhuru wake na kutoka mikononi mwa makucha na ukoloni wa Tanganyika na kuendesha mambo yake kivyake...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Back
Top Bottom