Kama serikali imeamua tarehe 14.10 kila mwaka ndio sio ya kuzima mwenge ambayo pia ni siku ya Nyerere. Basi mwenge huo uwe unazimwa Butiama kila mwaka.
Unaweza kuwashwa popote lakini uzimwe...
Kama Taifa, leo ni siku maalum ya kumkumbuka Mwal JK Nyerere, Rais wa kwanza wa Tanganyika na Tanzania aliyefariki dunia mnamo tarehe 14 Oktoba 1999.
kuna vitu vingi sana vinatufanya tuendelee...
Kwa tunaofuatilia maisha ya mwanadamu, tunajua pasi na shaka kuwa dhambi ni asili kwa wanadamu wote. Na hiyo ndiyo sababu kila siku tunafundishwa kutenda mema.
Ukiangalia yanayoendelea nchini na...
Miezi kadhaa iliyopita Wanasiasa wa Upinzani hasa chama cha demokrasia na maendeleo kwa mda mrefu wamezunguka na kuhabarisha umma juu ya mkataba wa bandari ambao walisema kwa dhati kabisa kuwa...
Ukiwa na Kituo cha Television mambo yote muhimu utayafikisha kwa Wananchi kwa Wakati Mmoja badala ya Kufanya mikutano kila Kanda huku mkihubiri mambo yale yale
Kuna maeneo Chadema mko Vizuri...
CDM Poleni!
CCM Hongereni!
Kuteuliwa kwa miamba hiyo miwili kwa mkupuo mmoja ni ishara ya kuiimarisha CCM na kuizika CDM Sacco's.
Jakote na Lulandala ni watu makini kiutendaji na kwa vyovyote...
Katibu Mkuu wa CCM , chama ambacho kimeasisi kila dhiki unayoiona Nchini Tanzania , Ndugu Chongolo , amegonga mwamba huko Rukwa , pale alipotembelea Jimbo la Kwela (ngome ya Chadema)
Mbwembwe...
Salaam Wakuu,
Kulingana na Ratiba ya kazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kesho 13 Oct 2023, anatakiwa afanye ziara Mkoa wa Manyara.
Kumbuka Jana ndo amerudi kutoka ziarani India...
Tanzania hususan Bara kuna eneo kubwa tu ambalo halitumiki hasa mikoani Tanga na Lindi.
Je, katika kuenzi Urafiki wa baba wa taifa Mwalimu Nyerere na mpigania Haki za Palestine Yasser Arafat...
Msomi Tundu Lissu anatarajiwa kurejea nchi wakati wowote ili aweze kuendelea na ziara zake mikoani ambazo ndio amekuwa akizutumia kama chanzo kikuu cha mapato yanayotokana na michango ya wananchi...
CHADEMA wanategemewa kuanza yale makongamano ya kukusanya michango toka kwa wananchi wa mikoa ya Mbeya, Iringa na Songwe kuanzia tarehee 13/10/23.
Kigogo wa chama Mrema ambae ni mkurugenzi wa...
Kumekuwa na Uzi mbalimbali humu JF zinazoonesha malalamiko mbalimbali ya jinsi bodi ya mikopo Elimu ya juu (HESLB) Kwa kushirikiana na maafisa utumishi kuingiza makato kwenye mishahara ya...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Bungeni Dododma amewasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi wa Kitaifa kwa Mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2023/2024 ambapo moja ya...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameilekeza Bodi ya Filamu nchini ishirikiane na Sekta binafsi katika kuhakikisha filamu za Tanzania zinakua bora zaidi na zinapata...
KARIBU SINGIDA "IYUU" SAMIA.
Rais Dkt Samia ana ziara ya siku 3 Mkoa niliyozaliwa wa Singida. Hii ni ziara yake ya kwanza Singida tangu awe Rais ambapo pamoja na mambo mengine ataadhimisha...
Waziri January Makamba alivyoteuliwa pale Nishati alipasafisha na kuweka Watendaji wapya kuanzia Tanesco na kwingineko.
Sasa amepelekwa Mambo ya Nje tayari ameanza kuisafisha na Rais Samia...
John Malecela
Salim Ahmed Salim
Mrisho Kikwete
Balozi Mahiga
Liberata Mulamula
Balozi Asha Rose Migiro( kunradhi balozi)
Prof Anna Tibaijuka( kunradhi Prof)
Kuna wakati Tanzania tulikuwa...
Watu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe...
https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==...
Kama siyo wote baadhi ya mawaziri na hata wakuu wa mikoa na WA wilaya utawasikia wanapotekeleza majukumu Yao hujinasibu kwamba mheshimiwa Rais amewapa agizo la kutekeleza jambo Fulani.
Waziri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.