Makonda anaonyesha tabia zetu za ushabiki wa kitoto zinaturudisha nyuma

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Watu wengi wamekuwa na ushabiki sana wakati huu Makonda kupewa usemaji wa CCM. Ukianza kuuliza maswali muhimu Je Makonda kafanya nini cha maana kimaendeleo wakati wake? Hakuna majibu ya maana.

Wakati bandari inapewa DP world bila kuweka mikataba mingine wazi, nchi ina tatizo la umeme, kampuni ya ujenzi wa reli ya uturuki ina matatizo makubwa ya pesa, hatujui hatima ya chaguzi zetu za 2024 na 2025 na mabadiliko ya sheria za chaguzi na katiba.

Inasikitisha hata wale wasome wameingia kwenye kiki mbalimbali na ushabiki na kupitwa na mambo muhimu ya nchi.

Ushabiki hasa unashangaza kwa mtu ambaye anajulikana kwa kutumia madaka vibaya. Makonda kunyanyasa vyombo vya habari mpaka kwenda kutishia studio, Makonda kusingizia watu wanatumia madawa ya kulevya, kunyanyasa wapinzani, kujaribu kuchukuwa mali za wafanyabiashara.

Lakini inashangaza watu hasa wale wasomi kuweka ushabiki kama vile Makonda alikuwa anafanya cha maana.

Amechaguliwa kuwa mwongeaji basi tuendelee na mambo ya msingi. Wezi wanatumia ujinga kama huu kufanya mambo yao wakati wananchi wanaleweshwa makonda!
 
Watu wanafumania wake zao kwenye chumba chao ndani ya nyumba yao na bado yanasahaulika sasa haya ya propaganda mfu za chadema bado ziwafanye ccm wasimshabikie mtu wao,hoja za uchumi kuna wataalamu wake na muda wake!
 
Watu wengi wamekuwa na ushabiki sana wakati huu Makonda kupewa usemaji wa CCM. Ukianza kuuliza maswali muhimu Je Makonda kafanya nini cha maana kimaendeleo wakati wake? Hakuna majibu ya maana.

Wakati bandari inapewa DP world bila kuweka mikataba mingine wazi, nchi ina tatizo la umeme, kampuni ya ujenzi wa reli ya uturuki ina matatizo makubwa ya pesa, hatujui hatima ya chaguzi zetu za 2024 na 2025 na mabadiliko ya sheria za chaguzi na katiba.

Inasikitisha hata wale wasome wameingia kwenye kiki mbalimbali na ushabiki na kupitwa na mambo muhimu ya nchi.

Ushabiki hasa unashangaza kwa mtu ambaye anajulikana kwa kutumia madaka vibaya. Makonda kunyanyasa vyombo vya habari mpaka kwenda kutishia studio, Makonda kusingizia watu wanatumia madawa ya kulevya, kunyanyasa wapinzani, kujaribu kuchukuwa mali za wafanyabiashara.

Lakini inashangaza watu hasa wale wasomi kuweka ushabiki kama vile Makonda alikuwa anafanya cha maana.

Amechaguliwa kuwa mwongeaji basi tuendelee na mambo ya msingi. Wezi wanatumia ujinga kama huu kufanya mambo yao wakati wananchi wanaleweshwa makonda!
Kutesti mitambo tu mnaanza kujinyea hovyo
 
Najua kuna vijana wajinga jinga wengi tuwasamehe bure tu. Kutest mitambo gani, kumsaidia nani? Vijana acheni ujinga hii nchi ni yenu mnatakiwa kujali vitu vya msingi sio ushabiki. Usije kufikiri wanaoficha mikataba ya bandari wanaficha kwasababu wanakujali wewe?

Sisi wengine sio wanasiasa na watu tunaojali maendeleo ya nchi kwa ujumla na ndiyo maana tunaongelea katiba mpya ambayo inajali nchi sio vyama
 
Watu wengi wamekuwa na ushabiki sana wakati huu Makonda kupewa usemaji wa CCM. Ukianza kuuliza maswali muhimu Je Makonda kafanya nini cha maana kimaendeleo wakati wake? Hakuna majibu ya maana.

Wakati bandari inapewa DP world bila kuweka mikataba mingine wazi, nchi ina tatizo la umeme, kampuni ya ujenzi wa reli ya uturuki ina matatizo makubwa ya pesa, hatujui hatima ya chaguzi zetu za 2024 na 2025 na mabadiliko ya sheria za chaguzi na katiba.

Inasikitisha hata wale wasome wameingia kwenye kiki mbalimbali na ushabiki na kupitwa na mambo muhimu ya nchi.

Ushabiki hasa unashangaza kwa mtu ambaye anajulikana kwa kutumia madaka vibaya. Makonda kunyanyasa vyombo vya habari mpaka kwenda kutishia studio, Makonda kusingizia watu wanatumia madawa ya kulevya, kunyanyasa wapinzani, kujaribu kuchukuwa mali za wafanyabiashara.

Lakini inashangaza watu hasa wale wasomi kuweka ushabiki kama vile Makonda alikuwa anafanya cha maana.

Amechaguliwa kuwa mwongeaji basi tuendelee na mambo ya msingi. Wezi wanatumia ujinga kama huu kufanya mambo yao wakati wananchi wanaleweshwa makonda!
Umesahau, huyu ndiye yule aliyemzibua masikio Jaji Warioba ukumbini na akaonekana shujaa!
 
Back
Top Bottom