Naomba kujuzwa uhusiano wa Msikiti wa Al Aqsa na UKUTA wa Kulia unaotumiwa na Wayahudi kuabudu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,018
142,058
Kwa wale wenye uelewa mpana zaidi kuhusu Msikiti wa Al Aqsa unaoaminiwa kuanzia Palestine hadi Makka na Madina na UKUTA wa Kulia unaotumiwa na Wayahudi kuabudu lakini hata Wakristo wa duniani Kote huandika Maombi yao kwenye karatasi na kwenda kuchomeka ukutani

Ahsanteni

Nawatakia Sabato njema!
 
Back
Top Bottom