Makonda: Naishukuru Halmashauri Kuu ya CCM kwa kupitisha Uteuzi wangu kwa 100%

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,147
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Makonda amepitishwa kwa kishindo na Halmashauri Kuu hivyo tutegemee Ushindi wa sunami kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu.

Source: Channel ten

Jumaa Mubarak 😀🔥
 
Kuna kiapo kule Cha unafiki (hypocris oath) ambacho hata kama mgombea alimuua
mkeo na inatakiwa kura Yako Ili apate wadhifa flani utampa kura tena Kwa kishindo na unaweza teuliwa kuwa meneja kampeni wake na utaifanya hiyo kazi Kwa weledi wakati huohuo umeficha jambia ukisubir mazingira condusive uondoke na koo lake
 
Back
Top Bottom