Kadi ya mwaliko ya TEC kwenda kushuhudia mikataba mitatu ya bandari ni ishara kwamba hakuna uchaguzi 2025 wala katiba ya wananchi 2026

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
887
4,131
Kadi ya mwaliko tu inaulaghai tena kwa viongozi wa taasisi za dini. Kwamba kadi imeandikwa bila kueleza washiriki wanakwenda kusikia nini.

Kama kadi pekee inaweza ikawa na ulaghai uchaguzi utakuwa na nini? Kama kadi ina ukakasi, je dhamira ya waandishi wa kadi kwenye katiba mpya mnaona? Tukubali hakuna uchaguzi wala katiba.

Tutaendelea kuishi kwa dana dana kwa sababu wanaopaswa kutenda haki wanafaidika na mfumo usio wa haki. Kwanini watafute mfumo wa haki wasiojua kama itawaacha wakineemeka?
 
Bado nyie wapinzani mnawaza 2025 na Katiba?
Rest assured , rejea katuni za Kipanya, lile kaburi mtu katoka, rejea katuni zakipanya za wiki hii: Kama viongozi wa Dini, wawakilishi wa Mungu hapa duniani wanadanganywa huo utawala ni MUNGU pekee ndio ataaamua , Muachieni Mungu.
 
Kwa ufupi ni kama Katibu wa TEC alitekwa mateka japo kimkakati!!

Mbaya zaidi Mpoto akaleta na maneno ya kebehi!!

Kama Katibu wa TEC anaweza kulaghaiwa ili aonekane kwenye hafla tete,je kuelekea uchaguzi na nyakati za uchaguzi wangapi watatekwa na kupotezwa?!

Kwa ufupi ni kua hakika Ikulu walimteka nyara katibu wa TEC na kumshurutisha kuhudhuria tukio ambalo hakua na taarifa yak. Soma barua ya mwaliko!!
20231027_182425.jpg
 
Na sasa mnaletewa Makonda ili tu alazimishwe kuwalazimisha kanda ya ziwa!
Amelazimishwa kuwasafisha waliochafuka!
Analazimishwa kuiokoa CCM kule ilikozowea kuponea!
 
Mkuu ulitegemea kuwa 2025 kutakuwa na uchaguzi? Kwa Sasa Tanzania hakuna uchaguzi bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Hayo maridhiano ni utapeli wa mchana kweupe. Heshima ya box la kura nchi hii itarejea baada ya machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi.
 
Huyu KITIME ajitazame...

Najiuliza , nani aliipiga picha hiyo kadi ya mwaliko? Ok imepigwa picha.. why exposed!?
Haiko sawa na haiko salama ktk usalama wa nchi. Ifike mahala hata kama tunatofautiana kisiasa tuheshimu mamlaka.

Something went wrong somewhere..
 
Bado nyie wapinzani mnawaza 2025 na Katiba?
Rest assured , rejea katuni za Kipanya, lile kaburi mtu katoka, rejea katuni zakipanya za wiki hii: Kama viongozi wa Dini, wawakilishi wa Mungu hapa duniani wanadanganywa huo utawala ni MUNGU pekee ndio ataaamua , Muachieni Mungu.
Tunaomba utuwekee hzo katuni. Sisi wa Mbwinde hatukuziona
 
Kadi ya mwaliko tu inaulaghai tena kwa viongozi wa taasisi za dini. Kwamba kadi imeandikwa bila kueleza washiriki wanakwenda kusikia nini.

Kama kadi pekee inaweza ikawa na ulaghai uchaguzi utakuwa na nini? Kama kadi ina ukakasi, je dhamira ya waandishi wa kadi kwenye katiba mpya mnaona? Tukubali hakuna uchaguzi wala katiba.

Tutaendelea kuishi kwa dana dana kwa sababu wanaopaswa kutenda haki wanafaidika na mfumo usio wa haki. Kwanini watafute mfumo wa haki wasiojua kama itawaacha wakineemeka?
Ya Malawi yanatatajiwa huku pia.

2026 ni mwaka wa kupatikana Katiba mpya.

Na Kuna Kila dalili uchaguzi kuyeyuka, au ukifanyika utabatilishwa.

Mungu amtunze Mzee Warioba.

Tusubiri.
 
Kadi ya mwaliko tu inaulaghai tena kwa viongozi wa taasisi za dini. Kwamba kadi imeandikwa bila kueleza washiriki wanakwenda kusikia nini.

Kama kadi pekee inaweza ikawa na ulaghai uchaguzi utakuwa na nini? Kama kadi ina ukakasi, je dhamira ya waandishi wa kadi kwenye katiba mpya mnaona? Tukubali hakuna uchaguzi wala katiba.

Tutaendelea kuishi kwa dana dana kwa sababu wanaopaswa kutenda haki wanafaidika na mfumo usio wa haki. Kwanini watafute mfumo wa haki wasiojua kama itawaacha wakineemeka?
Kadi yenyewe iko wapi? Tunaomba link kwa sababu wengine hatujaiona. Kama ikulu ilifanya utapeli basi maaskofu wanatakiwa kutoa tamko kali sana sana na kususia shughuli zote za ikulu.
 
Huyu KITIME ajitazame...

Najiuliza , nani aliipiga picha hiyo kadi ya mwaliko? Ok imepigwa picha.. why exposed!?
Haiko sawa na haiko salama ktk usalama wa nchi. Ifike mahala hata kama tunatofautiana kisiasa tuheshimu mamlaka.

Something went wrong somewhere..
Wewe ni mjinga kabisa. Unaona utapeli waliofanya ikulu ni sawa? Kutumia utapeli kuita askofu ni kutofautiana kisiasa? Idiot!
 
Bro, nieleweshe. Je kadi siku hizi zinakuwa na kile utakachoenda kuambiwa?
Yaani unaambiwa karibu kwenye hafla ya chakula kumbe unakuta ni Harusi ya X Wako ?; Si wangekwambia huenda usingeenda na Mke wako ?

Au Unaambiwa njoo unadhani ni Kipaimara kumbe ni Kitchen Party...; Bila kuambiwa utajuaje kama uvae Kanzu, Jeans au Nguo za Kitamaduni kama issue ni Kumsimika Chief?

Tukubaliane tu hii Awamu imejaa USANII
 
Mi nilipoona maaskofu hawana furaha mikono ikiwa shavuni na wasiwasi wa mzungu aliyekuwa upande wa mwarabu nilinotice something fishy!!
 
Huyu KITIME ajitazame...

Najiuliza , nani aliipiga picha hiyo kadi ya mwaliko? Ok imepigwa picha.. why exposed!?
Haiko sawa na haiko salama ktk usalama wa nchi. Ifike mahala hata kama tunatofautiana kisiasa tuheshimu mamlaka.

Something went wrong somewhere..
Point yako ni ipi-? Kwamba hiyo kadi ni siri? Hiyo kadi sio HGA ya Dpw.
 
Kufa wewe
Siwezi kufa twice mm!! Nilishakufa nikafufuka.

Malawi alipokufa wa Kiume, Makamo aliyerithi Mikoba alikuwa wa kike kama kwetu,

Na ulipofanyika uchaguzi, waliiba kama jadi Yao bt kitu ilienda Kwa upinzani!!

So CCM Ina machaguo mawili,

1. Agombee kitu iende upinzani,

2. Asigombee, aje mgombea mwingine tubadili Katiba tupate tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya.

Sababu CCM ni chama kikubwa,

Bado HATOGOMBEA!!
 
Yaani unaambiwa karibu kwenye hafla ya chakula kumbe unakuta ni Harusi ya X Wako ?; Si wangekwambia huenda usingeenda na Mke wako ?

Au Unaambiwa njoo unadhani ni Kipaimara kumbe ni Kitchen Party...; Bila kuambiwa utajuaje kama uvae Kanzu, Jeans au Nguo za Kitamaduni kama issue ni Kumsimika Chief?

Tukubaliane tu hii Awamu imejaa USANII
Sidhani kama ni kweli ulichoandika na kile mleta uzi alimaanisha. Mleta uzi alimaanisha kwenye kadi ya mualiko iandikwe nini kitazungumziwa. Alitaka kadi ya mualiko kwa ajili ya kushuhudia utiaji Saini wa Mkataba wa Bandari iandikwe Rais ataongea moja mbili tatu na sio kama ulivyosema wewe.
 
Back
Top Bottom