uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 3,987
- 8,362
Ubalozi wa Palestine umeweka poster kwenye bango la barabara ya kwenda Mlimani kufanya propaganda juu ya mtazamo wao
Sisi kama Taifa hatuwezi kuwazuia kuwa na mtazamo ni haki yao hata kama wana mtazamo usiokuwa na maana
Lkn kiasi cha serkali ya Tanzania kuruhusu hawa jamaa kufanya propaganda kwenye nchi yetu hii sio haki hata kidogo kwa kuwa hata Israeli wana haki kubwa pengine kushinda Palestine
Pia kama Taifa tunamalizia I ya karibu mno na Israeli kwani kwa awamu ya tano chini ya Hayati Magufuli, Tanzania tulipeleka vijana wengi Israeli kujifunza utaalamu mbalimbali hasa kilimo
Kwa hiyo tunapowadekeza Palestine kwenye nchini yetu na kuwabagaza Israeli hii si haki hata kidogo
Kitu kibaya zaidi ni kuwa poster imekwa kwenye njia inayotumiwa na wanazuoni wetu hii inatuma picha mbaya
Hili ni tukio la pili ndani ya wiki moja baada ya kituo cha Azam tv kutumia mpira wa super CAF Africa kuingiza maudhui yenye malengo eti ya kuitetea Palestine ( hatuwashangai Azam TV kwa kuwa wamekuwa na maudhui ya namna hiyo
Watu wetu wa Serkali wajifunze kutofautisha kati ya hisia binafsi na suala la kitaifa
Wapelestina watanganyika wasijisahau pia kuwa TANGANYIKA sio kwao hata kama wanadekezwa na baadhi ya viongozi