Ukisema hutalipa kisasi ni kwamba hilo jambo utalihifadhi moyoni, ni ama useme utalipa kisasi au umesamehe na kuachilia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,012
142,046
Falsafa ya Kisasi ni pana ndio sababu Yesu Kristo aliposulubiwa na Wayahudi alisema " Baba Uwasamehe hawajui Walitendalo"

Sisi Wakristo tunaamini Kisasi ni cha Mungu siyo chetu ndio Yesu Kristo aliwasamehe kwanza Wayahudi kisha akawaombea msamaha kwa Mungu wa mbinguni

Waislamu wao wanalipa Kisasi na anakuahidi kabisa na akishalipa mnakuwa mmemalizana kwa hapa Duniani na hilo jambo analifuta moyoni mwake

Ukisema Sitalipa Kisasi ni sawa na kusema " nimekusamehe lakini Sitasahau" sasa kwetu Wakristo Msamaha hauna Masharti kama ulivyo Upendo wa agape. Kusamehe ni Kuachilia

Hivyo Mwanasiasa ukisema Sitalipa Kisasi inabidi uende mbali zaidi kwamba Nimesamehe na nimesahau

Jumaa Mubarak 😀
 
Aahaaaaa

Mkuu uliwahi mkosea Makonda?
 
Jumaa Mubarak
Kazi ya Uchokonozi wa chama inakustahili sana ewe johnthebaptist
Mtafute Nape akupatie majukumu ili msaidiane na Said Kubenea mfungue kesi ingine tena!
 
Haya maandiko mnayasoma kinyume eti
Dawa ya moto ni moto
Ukiua kwa upanga utakuta kwa upanga
Unachotoa ndicho unachopata.
Hutakiwi kusahau kosa ulilokosewa hata kama umesamehe. hutumika kama references

Mimi ni mkristo. Kosa la usaliti halina msamaha iwe mbinguni au duniani.
Yesu: Baba Katika wote ulionipa sijampoteza hata mmoja

Maana yake hata Yuda Iskarioti hajapotea 😀
 
Kazi ya Uchokonozi wa chama inakustahili sana ewe johnthebaptist
Mtafute Nape akupatie majukumu ili msaidiane na Said Kubenea mfungue kesi ingine tena!
Kesi ya nini?

Kwa mfano Makonda ni Mtumishi wa Mungu wa mbinguni, yeye na Chongolo tumeabudu nao kwa mchungaji Matsahi pale Kimara

Ataufurahia sana Ujumbe wangu kama hujui 😄😄
 
Falsafa ya Kisasi ni pana ndio sababu Yesu Kristo aliposulubiwa na Wayahudi alisema " Baba Uwasamehe hawajui Walitendalo"

Sisi Wakristo tunaamini Kisasi ni cha Mungu siyo chetu ndio Yesu Kristo aliwasamehe kwanza Wayahudi kisha akawaombea msamaha kwa Mungu wa mbinguni

Waislamu wao wanalipa Kisasi na anakuahidi kabisa na akishalipa mnakuwa mmemalizana kwa hapa Duniani na hilo jambo analifuta moyoni mwake

Ukisema Sitalipa Kisasi ni sawa na kusema " nimekusamehe lakini Sitasahau" sasa kwetu Wakristo Msamaha hauna Masharti kama ulivyo Upendo wa agape. Kusamehe ni Kuachilia

Hivyo Mwanasiasa ukisema Sitalipa Kisasi inabidi uende mbali zaidi kwamba Nimesamehe na nimesahau

Jumaa Mubarak
Hili bwege kweli,mc ana ubavu gani wa kulipa kisasi,angesema hivyo KM sawa kwani ndiye mtendaji mkuu wa chama lakini msema chochote !!!!!!
 
Ndugu wa Ben Saa8, Azory Gwanda , Mo Roma na Tundu Lisu bado wanamliliq Mungu kwa alichowafanyia wapendwa wao.

Haki ya Mungu naapa kwa Mungu wangu aliye hai, Makonda kuna siku atlipwa tu. Malipo ya dhulma ya uhai wa mtu ni hapa hapa duniani.
 
Back
Top Bottom