benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Aliyekuwa Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi wa CCM, Sophia Mjema ambaye ameteuliwa kuwa Msaidizi wa Rais Makundi Maalum na Wanawake huku nafasi yake ikichukuliwa na Paul Makonda kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe ufuatao.

"Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan (@samia_suluhu_hassan ), kipekeee niweze kumshukuru yeye kwa kuweza kuniamini tena ili niweze kumsaidia katika jukumu la Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum."

#Kaziiendelee
 
Back
Top Bottom