Spika wa Bunge Dkt. Tulia Acksoni, achukua fomu kugombea Urais IPU

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
357
611
IMG_20231019_194343.jpg

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 147 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Angola.

Katika Mkutano huo pamoja na mengineyo utafanyika Uchaguzi wa Rais mpya wa Umoja huo ambapo Dkt. Tulia ni miongoni mwa Wagombea.
 
Anafikiria Kuongoza Punda wake wa Hapa Dodoma ambao Kigezo chao ni Kujua Kusoma na Kuandika tu Ni Rahisi kam kuongoza hivyo Vichwa vyenye PHD za Kusomea.

Hebu ajitoe haraka sana Asije akalitia aibu Taifa maan Huko hakuna wabunge wa Darasa la Saba B.
 
SPIKA Tulia Ackson anajipigia debe kuchaguliwa kuwa Rais wa Bunge la Dunia huku akiwa na Kashfa kubwa ya Bunge la Tanzania kuridihia Mkataba wa kuuza bandari zote za Tanzania kwa Mwarabu.

Bila aibu anagombea nafasi hiyo ili akauze mali zote za dunia nzima kwa waarabu?

Tulia ameshindwa kuendesha Bunge la Tanzania ataweza kuongoza dunia? tuache unafiki jamani tunaompigia debe tulia.

Tumesahau Bunge lake hivi majuzi limetunga sheria ya kuruhusu kununua ndege chakavu, meli chakavu, mabehewa chakavu, vichwa vya treni chakavu leo anapata wapi sifa za kuwa spika wa dunia?
 
View attachment 2786635
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 147 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Angola.

Katika Mkutano huo pamoja na mengineyo utafanyika Uchaguzi wa Rais mpya wa Umoja huo ambapo Dkt. Tulia ni miongoni mwa Wagombea.
Hivi akiulizwa manufaa na mafanikio yake katika Bunge la Tanzania atajibu nini? Najiuliza?!
 
View attachment 2786635
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 147 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Angola.

Katika Mkutano huo pamoja na mengineyo utafanyika Uchaguzi wa Rais mpya wa Umoja huo ambapo Dkt. Tulia ni miongoni mwa Wagombea.

Inasaidia Nini? Hata awe Rais wa mabunge ya Dunia nzima bado ni kilaza. Kwa jinsi alivoendesha mjadala wa bandari nilimvua thamani. Spika inakuwaje na upande? Wanasonga mkono kimya, wanaopinga anabishana nao. Very stupid speaker. Tanzania tuna uhaba wa Viongozi, vilaza na machawa ndio wanaongoza nchi.
 
Hapa tu pamemshinda.ashukuru Mungu uku misukule ni mingi vinginevyo ilitakiwa awe ameshafurushwa.
 
View attachment 2786635
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 147 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Angola.

Katika Mkutano huo pamoja na mengineyo utafanyika Uchaguzi wa Rais mpya wa Umoja huo ambapo Dkt. Tulia ni miongoni mwa Wagombea.
Afya yake ya akili ataangukia pua,huko ni akili kubwa tu
 
View attachment 2786635
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 147 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Angola.

Katika Mkutano huo pamoja na mengineyo utafanyika Uchaguzi wa Rais mpya wa Umoja huo ambapo Dkt. Tulia ni miongoni mwa Wagombea.
Kuna yule Mwanamke kutoka Senegal ambaye kwa sasa ni Vice-president wa Executive committee ya IPU na anagombea.Napenda yule ndiyo awe maana kwao Demokrasia ya kweli ipo na watu wakishindwa wanakubali siyo huyu Tulia aliyewai kusema kuwa CCM haiwezi kuachia Dola.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom