Prof. Kabudi anafaa kuwa Spika wa Bunge 2025

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,619
Mwanazuoni nguli wa sheria Prof. Palamagamba Kabudi anafaa sana kuwa Speaker wa Bunge la JMT baada ya Mhe. Tulia Ackson kuhitimisha awamu yake.

Prof. Kabudi (The Rod of Grace) ataifaa sana nchi kwenye nafasi hiyo.
 
Acheni kupiga piga madebe. Kabudi na usomi wake wote ila hajitambui. Vp ile dawa ya korona aliyoenda kuifuata kule madagaska iliishia wapi?

Kulialia mpaka kujidhalilisha eti magufuli alimtoa majalalani.!!!! My foot.

Huyu hata ubunge hawezi kupita kama hatasaidiwa na tume na wizi wa ccm
 
Mwanazuoni nguli wa sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi anafaa sana kuwa Speaker wa Bunge la JMT baada ya Mhe. Tulia Ackson kuhitimisha awamu yake. Prof. Kabudi (The Rod of Grace) ataifaa sana nchi kwenye nafasi hiyo.
Huyu Kabudi ni yule aliyemuita Magufuli Mungu? Bunge sio jalala.
 
Acheni kupiga piga madebe. Kabudi na usomi wake wote ila hajitambui. Vp ile dawa ya korona aliyoenda kuifuata kule madagaska iliishia wapi...
Pale kwenye ile dawa ya corona ndio nilijua ni kwa kiwango gani huyo mzee ni mjinga. Eti akawa anasema ukitaka kujua hiyo dawa ni nzuri, kule Madagascar rais ndio anaigawa!

Yaani kwake alikuwa anaona urais ni kitu Cha maana sana. Na alikuwa anasema hivyo ili kujipendekeza kwa Magufuli. Akiwa spika ndio hilo bunge litazidi kuwa rubber stamp wa serekali kuliko sasa.
 
Pale kwenye ile dawa ya corona ndio nilijua ni kwa kiwango gani huyo mzee ni mjinga. Eti akawa anasema ukitaka kujua hiyo dawa ni nzuri, kule Madagascar rais ndio anaigawa! Yaani kwake alikuwa anaona urais ni kitu Cha maana sana. Na alikuwa anasema hivyo ili kujipendekeza kwa Magufuli. Akiwa spika ndio hilo bunge litazidi kuwa rubber stamp wa serekali kuliko sasa.
Bora kutafuta jina jingine rubber stamp ndio sasa.
 
Atakuwa na umri gani? Tumechoka kuwa jobless! Ni enzi yetu kuandaa historia ya kizazi kijacho. Muda wao umetosha! Asante
 
M
Mwanazuoni nguli wa sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi anafaa sana kuwa Speaker wa Bunge la JMT baada ya Mhe. Tulia Ackson kuhitimisha awamu yake. Prof. Kabudi (The Rod of Grace) ataifaa sana nchi kwenye nafasi hiyo.
Mungu apishe mbali.
 
Pale kwenye ile dawa ya corona ndio nilijua ni kwa kiwango gani huyo mzee ni mjinga. Eti akawa anasema ukitaka kujua hiyo dawa ni nzuri, kule Madagascar rais ndio anaigawa! Yaani kwake alikuwa anaona urais ni kitu Cha maana sana. Na alikuwa anasema hivyo ili kujipendekeza kwa Magufuli. Akiwa spika ndio hilo bunge litazidi kuwa rubber stamp wa serekali kuliko sasa.
Na wewe unataka tukupime kwa lipi?
 
Mwanazuoni nguli wa sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi anafaa sana kuwa Speaker wa Bunge la JMT baada ya Mhe. Tulia Ackson kuhitimisha awamu yake. Prof. Kabudi (The Rod of Grace) ataifaa sana nchi kwenye nafasi hiyo.
Spika anatakiwa kuwa mtu anayejitambua, mwenye mawazo huru, siyo chawa wa mtu.

Kabudi ni mtu aliyedhihirisha kuwa hana mawazo huru, ni mlamba nyayo za watu ili tu mkono uende kinywani. Ni aheri hata Chenge kuliko Kabudi.
 
Mama kweli bingwa wa siasa.anakutoa huku ukijiona upo.Tulia ndio basi tena.
 
Spika anatakiwa kuwa mtu anayejitambua, mwenye mawazo huru, siyo chawa wa mtu.

Kabudi ni mtu aliyedhihirisha kuwa hana mawazo huru, ni mlamba nyayo za watu ili tu mkono uende kinywani. Ni aheri hata Chenge kuliko Kabudi.
Una fikra zenye matege wewe change!!??, bonge la fisadi.??!!.
 
Mwanazuoni nguli wa sheria Prof. Palamagamba Kabudi anafaa sana kuwa Speaker wa Bunge la JMT baada ya Mhe. Tulia Ackson kuhitimisha awamu yake.

Prof. Kabudi (The Rod of Grace) ataifaa sana nchi kwenye nafasi hiyo.
Unasema yule mzee mwenye macho kama bundi aliyekwenda kuleta lile togwa la Ki Madagascar akidai ni dawa ya corona? Never!!!!!!
 
Back
Top Bottom