IGP Sirro: Namshukuru sana ASAS kwa kutujengea ghala la kuhifadhia silaha mimi ni mwenzenu nimesoma Tosamaganga High school!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,653
143,028
IGP Sirro amemshukuru mfanyabiashara maarufu mjini Iringa ASAS kea kulijengea Jeshi la Polisi ghala la kuhifadhia silaha

Sirro amesema yeye ni mwenyeji wa Iringa kwani Form 5 na 6 amesoma Tosamaganga High school

Ikumbukwe tu JPM alisoma Mkwawa na JK alisoma Tosamaganga pia

Source ITV habari

Mungu ni mwema wakati wote
 
Duh! Lyalamo primary shule yangu jirani pale, tulikua tunawasogezea mademu mabroh!.Tosa boys ndo nilijifunzia kikapu uwanja wao ule wa lami🀣 Nakumbuka mengi
 
Duh! Lyalamo primary shule yangu jirani pale, tulikua tunawasogezea mademu mabroh!.Tosa boys ndo nilijifunzia kikapu uwanja wao ule wa lami🀣 Nakumbuka mengi
Hahaaa.
Madogo wa o-level walikuwa wanaenda kupiga chabo na kuwazingua watoto wa Liyalamo hadi mkuu wa shule ya Liyalamo akaiomba serikali iwarudishie angalau madarasa ya o-level kati ua yote seriksli ya Nyerere iliyotaifisha toka kwa kanisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom