Nyuma ya pazia nchi hii kuna ufisadi na uvunjaji mkubwa wa sheria

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,426
7,213
Ukitaka kujua nyuma ya pazia nchi hii kuna ufisadi mkubwa na uvunjaji wa sheria angalia mambo haya mawili tu yaliyopigiwa kelele sana na wananchi.

Kwanza kuna wale wabunge 19 wa chadema waliyotimuliwa uanachama na chama chao. Utaratibu tunaoujua tanzania mbunge akitimuliwa uanachama na chama chake mara moja speaker anamuondoa bungeni. Wala sio jambo la speaker kuhoji sababu na jinsi mbunge alivyofukuzwa kwenye chama.

La ajabu ni jinsi bunge linaingilia mambo ya ndani ya chama cha siasa kitu ambacho si wajibu wake. Kama mbunge au wabunge wanaotimuliwa uanachama wanaona kukiukwa kwa haki ingekua jukumu lao kwenda mahakamani huku wakiwa nje ya bunge. La kushangaza wabunge 19 wa chadema wameendelea kua bungeni huku wakiwa sio wanachama wa chama chochote.

Wanakula mishahara na marupurupu manene ya umma huku hawana ridhaa ya chama chochote. Wananchi wengi tunaamini mahakama haitamaliza mashauri kuhusu wabunge hao hadi wamemaliza ubunge wao usio halali hadi 2025.

Jambo la pili ni jinsi wabunge walivyopelekwa dubai na kushawishiwa kwa njia inaonekana sio nzuri hadi kuja kupitisha mkataba wa bandari wenye masharti yasiofaa chembe kwa maslahi ya taifa. Yuko kiongozi mmoja serikalini aliyetofautiana hadharani na vigogo wengine akasema mkataba huo wa bandari haufai hata kulumangia ugali.

La ajabu speaker wa bunge alisimama kidete kutetea mkataba huo ambao ungekabidhi bandari zetu kwa nchi ya dubai kuziendesha kama mali yake hadi kufikia kuwaita wote waliyopinga wapumbavu. Japo kuna mkataba mwingine kati ya kampuni ya DP na serikali kuhusu uendeshaji wa bandari ambapo serikali inadai umezingatia maoni ya wananchi ni vigumu kuamini hadi mkataba huo uwekwe hadharani.

Pia wananchi wanahitaji kujua hadhi 'status' ya ule mkataba uliyopitishwa na bunge chini ya speaker tulia uliyoipa dubai hati miliki kuendesha bandari zetu zote kama mali yao kwa muda usiokua na mwisho kwamba uko hai au sasa ni 'non and void'.
 
Nchi yoyote lazima inakuwa na wale wazee wa ku pull the string behind the scene for their common good
 
habari kama hizi hua naogopa kufunguka ya moyoni,tusije kuwindana bure,ila sa% "5265278052055200207557228888722207727705""Matuc niliyotukana nayaelewa mwenyewe,hata mods hawawez ng'amua
 
Ukitaka kujua nyuma ya pazia nchi hii kuna ufisadi mkubwa na uvunjaji wa sheria angalia mambo haya mawili tu yaliyopigiwa kelele sana na wananchi.

Kwanza kuna wale wabunge 19 wa chadema waliyotimuliwa uanachama na chama chao. Utaratibu tunaoujua tanzania mbunge akitimuliwa uanachama na chama chake mara moja speaker anamuondoa bungeni. Wala sio jambo la speaker kuhoji sababu na jinsi mbunge alivyofukuzwa kwenye chama.

La ajabu ni jinsi bunge linaingilia mambo ya ndani ya chama cha siasa kitu ambacho si wajibu wake. Kama mbunge au wabunge wanaotimuliwa uanachama wanaona kukiukwa kwa haki ingekua jukumu lao kwenda mahakamani huku wakiwa nje ya bunge. La kushangaza wabunge 19 wa chadema wameendelea kua bungeni huku wakiwa sio wanachama wa chama chochote.

Wanakula mishahara na marupurupu manene ya umma huku hawana ridhaa ya chama chochote. Wananchi wengi tunaamini mahakama haitamaliza mashauri kuhusu wabunge hao hadi wamemaliza ubunge wao usio halali hadi 2025.

Jambo la pili ni jinsi wabunge walivyopelekwa dubai na kushawishiwa kwa njia inaonekana sio nzuri hadi kuja kupitisha mkataba wa bandari wenye masharti yasiofaa chembe kwa maslahi ya taifa. Yuko kiongozi mmoja serikalini aliyetofautiana hadharani na vigogo wengine akasema mkataba huo wa bandari haufai hata kulumangia ugali.

La ajabu speaker wa bunge alisimama kidete kutetea mkataba huo ambao ungekabidhi bandari zetu kwa nchi ya dubai kuziendesha kama mali yake hadi kufikia kuwaita wote waliyopinga wapumbavu. Japo kuna mkataba mwingine kati ya kampuni ya DP na serikali kuhusu uendeshaji wa bandari ambapo serikali inadai umezingatia maoni ya wananchi ni vigumu kuamini hadi mkataba huo uwekwe hadharani.

Pia wananchi wanahitaji kujua hadhi 'status' ya ule mkataba uliyopitishwa na bunge chini ya speaker tulia uliyoipa dubai hati miliki kuendesha bandari zetu zote kama mali yao kwa muda usiokua na mwisho kwamba uko hai au sasa ni 'non and void'.
Mkuu wenzako wanaandamana huko Mbeya. We uko wapi?
 
Umeongea petty issue sana ,wakati kuna kadco ,DP world ww unaongelea wabunge 19 are you serious
 
Back
Top Bottom