Bila Kanda ya Ziwa hamna Ushindi 2025

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
7,046
8,623
Kanda ya Ziwa ndio inaamua nani ni nani katika Siasa za Tangonyeka. Mwenezi ndio kioo cha Chama Chetu. Hivyo kumrejesha DAB pale kutahakikishia mboga mboga Ushindi wa kishindo 2024 na 2025. Maridhiano 'feki' tupa kule.
 
Kanda ya Ziwa ndio inaamua nani ni nani katika Siasa za Tangonyeka. Mwenezi ndio kioo cha Chama Chetu. Hivyo kumrejesha DAB pale kutahakikishia mboga mboga Ushindi wa kishindo 2024 na 2025. Maridhiano 'feki' tupa kule
Acheni uongo kanda ya ziwa ina wananchi 33% ila wapigakura 28% sasa wanaamuaje Rais? Pia uchaguzi wa 2020 Kanda ya ziwa ilikua na turnout ndogo kuliko kanda zingine.

NB,: CCM haitegemei kura za kanda yoyote kubaki madarakani ingekua hivyo wangeshatolewa 2010 ambako kanda ya ziwa ilimkataa kabisa JK.
 
Siyo kweli. Kanda ya Ziwa ina 29% ya watanzania wote.

Kanda ya Ziwa ina mikoa 6: Mwanza, Kagera, Geita, Mara, Simiyu na Shinyanga.
 
Kanda ya Ziwa ndio inaamua nani ni nani katika Siasa za Tangonyeka. Mwenezi ndio kioo cha Chama Chetu. Hivyo kumrejesha DAB pale kutahakikishia mboga mboga Ushindi wa kishindo 2024 na 2025. Maridhiano 'feki' tupa kule
Ndio maana akina Lissu na kampani yake walirandaranda kule karibu mwezi mzima😁
 
Kanda ya Ziwa ndio inaamua nani ni nani katika Siasa za Tangonyeka. Mwenezi ndio kioo cha Chama Chetu. Hivyo kumrejesha DAB pale kutahakikishia mboga mboga Ushindi wa kishindo 2024 na 2025. Maridhiano 'feki' tupa kule
Nikuulize ukitoa Jimboni kwake huyo Biteko ana inflyance gani? Hizi ni siasa za Kenya Tanzania haziko applicable.Waziri Mkuu Majariwa una influence jimboni kwake tu?

Ni Lowasa pekeee aliwe wahi kufanikiwa kuwa na influnce kwa Wasai wote,nje ya Jimbo la Monduli
 
Mnajidanganya kwamba Samia akichagua wasukuma basi atapara kura za Wasukuma,Upigaji Kura Tanzania hauko hivyo hata siku 1.

Hii ni Kenya wanaiwezea nako pia watu walisha anza kuwa wajanja
 
Acheni uongo kanda ya ziwa ina wananchi 33% ila wapigakura 28% sasa wanaamuaje Rais? Pia uchaguzi wa 2020 Kanda ya ziwa ilikua na turnout ndogo kuliko kanda zingine.

NB,: CCM haitegemei kura za kanda yoyote kubaki madarakani ingekua hivyo wangeshatolewa 2010 ambako kanda ya ziwa ilimkataa kabisa JK.
Watu wanadanganywa na dola na wanaingia kwenye huu mkenge. Kwenye kura za urais, CCM haitegemei kura yoyote kushinda.
 
Karibu robo tatu ya kanda ziwa ilikua na wabunge wa upinzani lakini rais alitoka ccm.
 
Back
Top Bottom