Mkuu wa Mkoa Dar Chalamila ni ithibati kuwa CCM imeishiwa kabisa ubunifu

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,252
113,647
Huyu RC ameanzisha hii operesheni dhidi ya dada poa. Hakuna jipya na hatofanikiwa kamwe. Yeye si wa kwanza na si wa mwisho.

Hana lolote jipya kwenye hiyo operesheni. Nilichokiona labda kilicho na ubunifu [kwa viwango vyao vya akili] ni badala ya askari kupiga doria kwenye maeneo yenye dada poa wengi kwa difenda, badala yake wanajazana kwenye Noah, Bajaji, na vi Ist kwenda kuwastukiza hao wachuuzi. Ni mbinu za kijima na haziko sustainable.

Biashara haijaisha. Ipo na inaendelea vizuri tu. Wachuuzi wamebadili tu namna ya kuifanya kwa muda mfupi halafu watarudia hali yao ya kawaida siku si nyingi zijazo.

Sasa anachofanya huyu RC Chalamila ni microcosm ya kushindwa kuongoza kwa CCM kwa zaidi ya miaka 60 sasa. CCM hawana kabisa mbinu mpya za kutatua matatizo.

Angalia tu hata Rais wao, Kila baada ya muda fulani, anabadili baraza la mawazi.

Wewe mdau toka umeanza kufuatilia mabadiliko ya Mabaraza ya Mawaziri, umeona tofauti gani iliyo ya msingi?

Chama kinachofanya mambo yaleyale na kutegemea yatokee mabadiliko, ni chama kilichofilisika kifikra.

Governor Chalamila hawezi kuua ukahaba kwa kufanya yaleyale ambayo yalishafanywa kabla yake yaliyokuwa na lengo hilo hilo.
 
Ukahaba ni kazi, ukahaba ni uchumi na ukahaba ni ajira.

ukahaba utachangia pato la taifa endapo taratibu nzuri za ulipaji kodi zitawekwa. Mataifa yanatupatia misaada yanakusanya Kodi kwenye ukahaba. Kwann sisi tunawasumbua?

Chalamila aache ushamba. Ukahaba ni tendo la faragha linalofanywa kwa kutumia nyeti za mwenye kukifanya. Huyu Chalamila Nini kinamuwasha?

Au ex wake/mkewe kaingia kwenye ukahaba ndiyo anatafuta sababu ya kumkomoa??
 
Huyu governor ameanzisha hii operesheni dhidi ya dada poa.

Hakuna jipya na hatofanikiwa kamwe.

Yeye si wa kwanza na si wa mwisho.

Hana lolote jipya kwenye hiyo operesheni. Nilichokiona labda kilicho na ubunifu [kwa viwango vyao vya akili] ni badala ya askari kupiga doria kwenye maeneo yenye dada poa wengi kwa difenda, badala yake wanajazana kwenye Noah, Bajaji, na vi Ist kwenda kuwastukiza hao wachuuzi.

Ni mbinu za kijima na haziko sustainable.

Biashara haijaisha. Ipo na inaendelea vizuri tu. Wachuuzi wamebadili tu namna ya kuifanya kwa muda mfupi halafu watarudia hali yao ya kawaida siku si nyingi zijazo.

Sasa anachofanya huyu governor Chalamila ni microcosm ya kushindwa kuongoza kwa CCM kwa zaidi ya miaka 60 sasa.

CCM hawana kabisa mbinu mpya za kutatua matatizo.

Angalia tu hata Rais wao. Kila baada ya muda fulani, anabadili baraza la mawazi.

Wewe mdau toka umeanza kufuatilia mabadiliko ya mabaraza ya mawaziri, umeona tofauti gani iliyo ya msingi?

Chama kinachofanya mambo yaleyale na kutegemea yatokee mabadiliko, ni chama kilichofilisika kifikra.

Governor Chalamila hawezi kuuua ukahaba kwa kufanya yaleyale ambayo yalishafanywa kabla yake yaliyokuwa na lengo hilo hilo.
Mh governor ? Please usimpaishe hivyo huyo zungu kuku
 
Ukahaba ni kazi, ukahaba ni uchumi na ukahaba ni ajira .

ukahaba utachangia pato la taifa endapo taratibu nzuri za ulipaji kodi zitawekwa. Mataifa yanatupatia misaada yanakusanya Kodi kwenye ukahaba. Kwann sisi tunawasumbua?

Chalamila aache ushamba. Ukahaba ni tendo la faragha linalofanywa kwa kutumia nyeti za mwenye kukifanya. Huyu Chalamila Nini kinamuwasha?

Au ex wake/mkewe kaingia kwenye ukahaba ndiyo anatafuta sababu ya kumkomoa??
Ukahaba ni laana.Dunia inaenda kuangamizwa shortly.
 
Angalia tu hata Rais wao. Kila baada ya muda fulani, anabadili baraza la mawazi.
Ukiona hivyo huwa ni mbinu ya ku draw attention ya watu kwenda Magharibi huku Mashariki likitendeka jambo kubwa
 
Lengo ni kufanya rotation ya ulaji wa cake ya taifa miongoni mwa Wanaccm.
 
Huyu RC ameanzisha hii operesheni dhidi ya dada poa. Hakuna jipya na hatofanikiwa kamwe. Yeye si wa kwanza na si wa mwisho.
This is the oldest professional, nimeshauri tuirasimishe ifanyike decently Opinion: Its High Time, Tanzania Tuhalalishe "The Oldest Profession?!", na Ikiwezekana, to Legalize Marijuana! ila pia huyu Mkuu wa Mkoa wa Dar ni issue! This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

Kama mtu aliyefinywangwa na Mungu mwenyewe, akakatazwa, na biashara ikafanyika, atakuwa mshamba mmoja wa kuja tuu mjini aweze?. Kama demand ipo na supply ipo, hakuna namna ya kuzuia transactions, the best way is to regulate!.
P
 
Hivi Tanzania OnlyFans inapatikana? Kuna OnlyFans models?
 
Huyu RC ameanzisha hii operesheni dhidi ya dada poa. Hakuna jipya na hatofanikiwa kamwe. Yeye si wa kwanza na si wa mwisho.

Hana lolote jipya kwenye hiyo operesheni. Nilichokiona labda kilicho na ubunifu [kwa viwango vyao vya akili] ni badala ya askari kupiga doria kwenye maeneo yenye dada poa wengi kwa difenda, badala yake wanajazana kwenye Noah, Bajaji, na vi Ist kwenda kuwastukiza hao wachuuzi. Ni mbinu za kijima na haziko sustainable.

Biashara haijaisha. Ipo na inaendelea vizuri tu. Wachuuzi wamebadili tu namna ya kuifanya kwa muda mfupi halafu watarudia hali yao ya kawaida siku si nyingi zijazo.

Sasa anachofanya huyu RC Chalamila ni microcosm ya kushindwa kuongoza kwa CCM kwa zaidi ya miaka 60 sasa. CCM hawana kabisa mbinu mpya za kutatua matatizo.

Angalia tu hata Rais wao, Kila baada ya muda fulani, anabadili baraza la mawazi.

Wewe mdau toka umeanza kufuatilia mabadiliko ya Mabaraza ya Mawaziri, umeona tofauti gani iliyo ya msingi?

Chama kinachofanya mambo yaleyale na kutegemea yatokee mabadiliko, ni chama kilichofilisika kifikra.

Governor Chalamila hawezi kuua ukahaba kwa kufanya yaleyale ambayo yalishafanywa kabla yake yaliyokuwa na lengo hilo hilo.
Kamwe hatoweza maliza ukahaba Dar, na ukahaba mwingine siku hizi upo digital sasa huo atadeal nao vipi😂🤣
 
Back
Top Bottom