Ni ngumu sana kwa Mtanzania Mwenye akili timamu kumuunga mkono mtu asiye na adabu kama Mdude Nyagali kwa jambo lolote lile

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,264
9,715
Ndugu zangu Watanzania,

Unapotoka hadharani mbele ya watanzania kuzungumza jambo lolote lile katika kutaka wakuunge mkono ni lazima ujipime, ujitathimini mwenendo wako na tabia yako katika jamii, ujiangalie katika kioo na kuangalia kama unastahili kutoka hadharani na kuzungumza kuomba Watanzania wenye akili Timamu wakuunge mkono.

Jiangalie taswira yako katika jamii ipoje, matendo yako yakoje,adabu yako ipoje, malezi yako yapoje, umefundwa na kuiva kiasi gani, umelelewa katika mazingira gani na historiaa yako ipoje .

Hivi ni Mtanzania gani anayejiheshimu na mwenye kuheshimika katika jamii anayeweza kukaa meza moja na kufanya mipango na Mdude Nyagali au kumuunga mkono katika jambo lolote lile? Mdude Nyagali namfahamu vizuri, ni kijana aliyekosa adabu kabisa, hana maadili, amekosa malezi ya wazazi wake, amejikulia tu kama vifaranga vilivyopotelewa na mama yake.ndio maana mnaona hata anapoongea mbele ya watu au kamera anaongea bila staha, adabu, nidhamu na mpangilio wa kueleweka ni kijana mropokaji sana, mpayukaji na mkurupukaji.

Kwake lolote linalotua katika mdomo wake ndilo hilo hilo linalotoka.mdomo wake na akili havina muunganiko wala mawasiliano, mdomo wake hauna nepi wala chujio, hauna pazia wala mlango, haelewi aongee nini na wapi na kwa lugha gani. Ndio maana wenye akili hukaa naye mbali, humkwepa, humkimbia kiakili, humpa kisogo, hawaambatani naye maana ni kujichafua na kujiharibia sifa katika jamii yako.

Mdude hawezi akaongea lugha ambayo ikasikilizwa bila ukakasi na watu wamakundi yote kuanzia viongozi wa dini, serikali, wazazi, walezi, vijana wenzie, n.k.hii ni kutokana nakuwa Mdude hana adabuu. Yupo kihuni huni tu.

Ndio maana chochote ambacho akizungumza lazima kipate upinzani, lazima kipingwe,lazima ashambuliwe na siku zote haungwi mkono zaidi ya kuishia kupiga makelele yake tu.

Vijana ni lazima tujifunze kujenga taswira zetu na tabia zetu njema katika jamii , ni lazima tuwe na adabu , hekima, busara na unyenyekevu ili tupate uungwaji mkono kutoka kwa watu na makundi mbalimbali ndani ya jamii yetu. Ni lazima tuwe watulivu na wenye hoja tuzungumzapo.vinywa vyetu na bongo zetu zijifunze kutafuta hekima, busara, maarifa na kuyatoa kwa watu katika namna itakayovuta na kuteka hisia za wengi na kupata uungwaji mkono.

Ukiwa na tabia mbaya na ya hovyo katika jamii hakuna anayeweza kukuunga mkono kwa jambo lolote lile hata kama ni zuri au baya au linahitaji maboresho.watu siku zote wanaanza kukunua wewe au kukuunga mkono wewe binafsi kabla ya kusikiliza unachotaka wakuunge mkono .ili watu wakununue wewe na hoja zako ni lazima kwanza uwe msafi wa akili na mawazo mwenye mtiririko wa kuvutia,mwenye tabia njema,nidhamu,hekima,staha,busara na unyenyekevu.huwezi ukawa upo kihuni huni ,mwenye kuporomosha matusi kama kichaa au mwendawazimu halafu unataka watu wakuunge mkono na kukuita au kukutambua kama kiongozi wao katika jambo fulani, hiyo haiwezekani na huwezi katu na kamwe kufanikiwa katika jambo lolote lile.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Wewe mwenyewe ungekuwa na adabu ungeeleweka! Lakini mlamba nyayo za wanaume wenzako!
 
Ndugu zangu watanzania,

Unapotoka hadharani mbele ya watanzania kuzungumza jambo lolote lile katika kutaka wakuunge mkono ni lazima ujipime, ujitathimini mwenendo wako na tabia yako katika jamii, ujiangalie katika kioo na kuangalia kama unastahili kutoka hadharani na kuzungumza kuomba Watanzania wenye akili Timamu wakuunge mkono.

Jiangalie taswira yako katika jamii ipoje, matendo yako yakoje,adabu yako ipoje, malezi yako yapoje, umefundwa na kuiva kiasi gani, umelelewa katika mazingira gani na historiaa yako ipoje .

Hivi ni mtanzania gani anayejiheshimu na mwenye kuheshimika katika jamii anayeweza kukaa meza moja na kufanya mipango na Mdude Nyagali au kumuunga mkono katika jambo lolote lile? Mdude Nyagali namfahamu vizuri, ni kijana aliyekosa adabu kabisa, hana maadili, amekosa malezi ya wazazi wake, amejikulia tu kama vifaranga vilivyopotelewa na mama yake.ndio maana mnaona hata anapoongea mbele ya watu au kamera anaongea bila staha, adabu, nidhamu na mpangilio wa kueleweka ni kijana mropokaji sana, mpayukaji na mkurupukaji.

Kwake lolote linalotua katika mdomo wake ndilo hilo hilo linalotoka.mdomo wake na akili havina muunganiko wala mawasiliano, mdomo wake hauna nepi wala chujio, hauna pazia wala mlango, haelewi aongee nini na wapi na kwa lugha gani. Ndio maana wenye akili hukaa naye mbali, humkwepa, humkimbia kiakili, humpa kisogo, hawaambatani naye maana ni kujichafua na kujiharibia sifa katika jamii yako.

Mdude hawezi akaongea lugha ambayo ikasikilizwa bila ukakasi na watu wamakundi yote kuanzia viongozi wa dini, serikali, wazazi, walezi, vijana wenzie, n.k.hii ni kutokana nakuwa Mdude hana adabuu. Yupo kihuni huni tu.

Ndio maana chochote ambacho akizungumza lazima kipate upinzani, lazima kipingwe,lazima ashambuliwe na siku zote haungwi mkono zaidi ya kuishia kupiga makelele yake tu.

Vijana ni lazima tujifunze kujenga taswira zetu na tabia zetu njema katika jamii , ni lazima tuwe na adabu , hekima, busara na unyenyekevu ili tupate uungwaji mkono kutoka kwa watu na makundi mbalimbali ndani ya jamii yetu. Ni lazima tuwe watulivu na wenye hoja tuzungumzapo.vinywa vyetu na bongo zetu zijifunze kutafuta hekima, busara,maarifa na kuyatoa kwa watu katika namna itakayovuta na kuteka hisia za wengi na kupata uungwaji mkono.

Ukiwa na tabia mbaya na ya hovyo katika jamii hakuna anayeweza kukuunga mkono kwa jambo lolote lile hata kama ni zuri au baya au linahitaji maboresho.watu siku zote wanaanza kukunua wewe au kukuunga mkono wewe binafsi kabla ya kusikiliza unachotaka wakuunge mkono .ili watu wakununue wewe na hoja zako ni lazima kwanza uwe msafi wa akili na mawazo mwenye mtiririko wa kuvutia,mwenye tabia njema,nidhamu,hekima,staha,busara na unyenyekevu.huwezi ukawa upo kihuni huni ,mwenye kuporomosha matusi kama kichaa au mwendawazimu halafu unataka watu wakuunge mkono na kukuita au kukutambua kama kiongozi wao katika jambo fulani .hiyo haiwezekani na huwezi katu na kamwe kufanikiwa katika jambo lolote lile.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
yule km siyo kichaa ni mwehu. Mtu anasema OCD ni mtu mdogo sana kwake, kiongozi wa jeshi la polisi wa wilaya nzima, eti ni nyau tu anaweza kumfanya kitu mbaya hataamini. Huyu unaweza kumwelezeaje, halafu kuna watu wanmwuunga mkono, ila tu hajawajua vizuri watanzania kwasababu lenyewe ni zezeta.
 
Mdude hana akili na ndio maana Watanzania wanamchora tu halafu wanamruka kama mwewe na kumuacha mwenyewe ,maana wameshatambua kuwa akili yake haipo sawa.
 
Ndugu zangu watanzania,

Unapotoka hadharani mbele ya watanzania kuzungumza jambo lolote lile katika kutaka wakuunge mkono ni lazima ujipime, ujitathimini mwenendo wako na tabia yako katika jamii, ujiangalie katika kioo na kuangalia kama unastahili kutoka hadharani na kuzungumza kuomba Watanzania wenye akili Timamu wakuunge mkono.

Jiangalie taswira yako katika jamii ipoje, matendo yako yakoje,adabu yako ipoje, malezi yako yapoje, umefundwa na kuiva kiasi gani, umelelewa katika mazingira gani na historiaa yako ipoje .

Hivi ni mtanzania gani anayejiheshimu na mwenye kuheshimika katika jamii anayeweza kukaa meza moja na kufanya mipango na Mdude Nyagali au kumuunga mkono katika jambo lolote lile? Mdude Nyagali namfahamu vizuri, ni kijana aliyekosa adabu kabisa, hana maadili, amekosa malezi ya wazazi wake, amejikulia tu kama vifaranga vilivyopotelewa na mama yake.ndio maana mnaona hata anapoongea mbele ya watu au kamera anaongea bila staha, adabu, nidhamu na mpangilio wa kueleweka ni kijana mropokaji sana, mpayukaji na mkurupukaji.

Kwake lolote linalotua katika mdomo wake ndilo hilo hilo linalotoka.mdomo wake na akili havina muunganiko wala mawasiliano, mdomo wake hauna nepi wala chujio, hauna pazia wala mlango, haelewi aongee nini na wapi na kwa lugha gani. Ndio maana wenye akili hukaa naye mbali, humkwepa, humkimbia kiakili, humpa kisogo, hawaambatani naye maana ni kujichafua na kujiharibia sifa katika jamii yako.

Mdude hawezi akaongea lugha ambayo ikasikilizwa bila ukakasi na watu wamakundi yote kuanzia viongozi wa dini, serikali, wazazi, walezi, vijana wenzie, n.k.hii ni kutokana nakuwa Mdude hana adabuu. Yupo kihuni huni tu.

Ndio maana chochote ambacho akizungumza lazima kipate upinzani, lazima kipingwe,lazima ashambuliwe na siku zote haungwi mkono zaidi ya kuishia kupiga makelele yake tu.

Vijana ni lazima tujifunze kujenga taswira zetu na tabia zetu njema katika jamii , ni lazima tuwe na adabu , hekima, busara na unyenyekevu ili tupate uungwaji mkono kutoka kwa watu na makundi mbalimbali ndani ya jamii yetu. Ni lazima tuwe watulivu na wenye hoja tuzungumzapo.vinywa vyetu na bongo zetu zijifunze kutafuta hekima, busara,maarifa na kuyatoa kwa watu katika namna itakayovuta na kuteka hisia za wengi na kupata uungwaji mkono.

Ukiwa na tabia mbaya na ya hovyo katika jamii hakuna anayeweza kukuunga mkono kwa jambo lolote lile hata kama ni zuri au baya au linahitaji maboresho.watu siku zote wanaanza kukunua wewe au kukuunga mkono wewe binafsi kabla ya kusikiliza unachotaka wakuunge mkono .ili watu wakununue wewe na hoja zako ni lazima kwanza uwe msafi wa akili na mawazo mwenye mtiririko wa kuvutia,mwenye tabia njema,nidhamu,hekima,staha,busara na unyenyekevu.huwezi ukawa upo kihuni huni ,mwenye kuporomosha matusi kama kichaa au mwendawazimu halafu unataka watu wakuunge mkono na kukuita au kukutambua kama kiongozi wao katika jambo fulani .hiyo haiwezekani na huwezi katu na kamwe kufanikiwa katika jambo lolote lile.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kuna majitu mawili hapa siyaungi mkono
1. Lucas chawa mleta mada
2. Mdude
Wote wa hovyo kabisa.
 
Ilitakiwa uende kituo kikuu cha polisi pale Mbeya,uwaambie hayo maneno ili wasihangaike hata kuzuia maandamano,maana hakuna atakayejitokeza kuandamana,uone wangekujibu nini,inamaana wewe unalidharau jeshi la polisi ambalo limechukua tahadhari zote,kuzuia maandamano?
Punguza dharau kwa vyombo vya ulinzi na usalama,kwakuona havina haja ya kujipanga kuzuia,as if wewe unawafundisha kazi.
 
Back
Top Bottom