ππ KISHINDO CHA MAKONDA KATORO NA BUSERESERE - GEITA
Maelfu ya Wananchi wa Katoro na Buseresere Wamejitokeza kwa Wingi Kumpokea Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda wakati...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC), Charles Kitima, amesema dhamira ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kufanya mageuzi makubwa kwa kutumia falsafa ya uongozi kwa kutumia 4Rs...
Mwanzoni mwa mwaka huu, nilienda Mutukula kufanya manunuzi ya vitu fulani. Niliamua kuvifuata huko kwa sababu niliamini bei ni nafuu zaidi kuliko nilikokuwa. Kuna wafanyabiashara wanaofuata mizigo...
Ndugu wana jf ni siku za karibuni tuu wananchi wa Loliondo ngorongoro wameondolewa kwenye maeneo yao ya asili...na sasa zoezi hilo limeshaanza wilaya ya Longido ambapo vijiji zaidi ya 30 vya mlima...
ππ MAKONDA AKIHOTUBIA MKUTANO WA HADHARA - MWANZA
"CCM ni Chama bora kwa sababu kinao uwezo wa kujikosoa, kujisahihisha na sifa ya kubadilika kutokana na mazingira. Chama kimepita katika nyakati...
Mara pap Bashiru kateuliwa awe Katibu Mkuu wa Chama cha CCM.
Alafu Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri.
Polepole aende Tamisemi kisha Mchengerwa awe...
Salaam,
Ni kweli bila Polisi hakuna utii wa Sheria.
Ila Kitendo cha Polisi kujipendekeza kwa Wanasiasa ili wasifiwe au wapewe vyeo vya kisiasa ni kuwaonea wananchi.
Ni kweli Polisi...
Mara nyingi wanasiasa ndio wamekuwa chachu ya ukabila Afrika. Watanzania tunapaswa kuwa makini na wanasiasa hawa ambao hawaangalii maslahi mapana ya nchi bali huangalia nafasi zao madarakani...
Fikiria suala dogo kama kupeleka maji kwenye mji mdogo wa Katoro ambao upo jirani na ziwa Victoria nalo linahitaji waziri wa maji kupigiwa simu. Huu ni uzembe wa serikali ilyopo madarakani wala...
Daraja la Aga Khan-Cocobeach halina uharaka sana wala ulazima kujengwa kwa wakati huu ukilinganisha na umuhimu wa flyover ya Magomeni-Fire, wazungu wanasema it's important but not necessary.
Kama...
Kwa macho ya kawaida unaweza kufikiri lengo la daraja hili ni kupunguza foleni ya Salender Bridge na kuwaondolea wananchi wa Dar kero ya foleni. La hasha daraja hili linalojengwa kwa gharama kubwa...
Kwa siku za hivi karibuni, chama cha Mapinduzi (CCM) Kimeanza kurejesha imani kwa wananchi na wanachama waliokuwa wamekata tamaa.
Kila kona ni mjadala kuhusu Katibu Mwrnyezi wa Chama Cha...
Huyo kijana hapo atakufaa sana... combination yake na Makonda itakuwa ni moto wa kuotea mbali. Kwanza kaonesha ukomavu sana, tangu apumzishwe anapiga zake shughuli za kilimo.
Marekani ni nchi tajiri, hiyo inafahamika!
Pamoja na hayo, bado kuna raia wake wasiokuwa na makazi wala chakula, ambao wanaishi kwa kuomba omba.
Lakini ndiyo nchi inayoongoza dunianai kwa kutoa...
1. Huyu bwana kwanza anaipenda siasa.
2. Anapenda kuongea
3. Hachoki kuongea
4. Hachoshi akiwa anaongea na wananchi.
Basi tu ila nchi yetu inahitaji viongozi kama hawa.
Tungeongezea na nguvu...
Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na...
"Ndugu zangu wa kanda ya ziwa tulipata bahati ya kuwa na Mwasisi wa Taifa hili Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere, tukapata bahati tena ya kuwa na Rais wa awamu ya 5 Hayati John...
Tanzania ni nchi inayodondoshwa na wananchi ni vile tu lawama tumeamua kumpa Rais. Yes katiba imempa mamlaka makubwa sanaa rais lakini nchi haiwezi kuendeshwa wala kujengwa na mtu mmoja labda uwe...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa TANESCO wa miezi 6 kwa Kassim Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania .
Bado...
Msikile Waitara akitema cheche hapa
Asema watanzania wengi wanaisha maisha ya ufukara sana kiasi cha kushindwa hata kuwalipia ada watoto wao na kwenda kuomba msaada wa kufanikishiwa jambo hilo...