Katibu Mwenezi Paul Makonda anaelekea Buseresere Muda huu alakiwa na maelfu ya vijana

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,399
3,916
📌📌 KISHINDO CHA MAKONDA KATORO NA BUSERESERE - GEITA

Maelfu ya Wananchi wa Katoro na Buseresere Wamejitokeza kwa Wingi Kumpokea Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda wakati akipita na Msafara wake akitokea Chato Kuelekea Geita Mjini Kwenye Mkutano wa Hadhara Leo Tarehe 11 Novemba 2023 Mkoani Geita.

#vitendovinasauti
#CCMImara
 
Ma-conder akili zake anazijua mwenyewe..
1699802210856.png
 
Halafu mwambieni Makonda asiendeshe sana baiskeli kwasbb ana makalio makubwa
 
Hakuna kitu hapo ni mwendo wa kulazimishana, mwanafunzi asipofika atapunguziwa mksi.
 
Back
Top Bottom