Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ameandika Dr. Sisimizi Bado viongozi wa Chadema wameendelea kuwashangaza wanachama wao na hasa hatua yao ya kusitisha Oparesheni za chama walizokua wakizifanya kwa kutaja sababu ya uongo kuwa...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Kinachokwenda kutokea CCM, ni kuwajengea imani wote waliokuwa na hasira juu ya kutukanwa na kubagazwa kwa aliyekuwa kipenzi cha Watanzania wengi hayati John Pombe Magufuli Mabadiriko...
14 Reactions
46 Replies
3K Views
Putin, majeshi yake yalipoanza kuelemewa kutokana na mashambulio ya Ukraine kwa msaada wa sialaha za mataifa ya Magharibi, huku maeneo ambayo aliyokuwa ameyateka awali, yakirudi kwenye himaya ya...
11 Reactions
10 Replies
1K Views
Huyu jamaa juzi kapita hapa hometown kwangu, BRD. Ana bahati nilikuwa nimeenda shambani mida aliyoingia na punda wake la sivyo ningemfurusha. https://youtu.be/HuL99sGZsQU?si=XcITaZdUwXk_d3Tp...
60 Reactions
98 Replies
7K Views
Nini msimamo WA nchi yangu Kwa Mgogoro huko Niger? Tunasimama upande gani? Sisi wananchi wananchi wa Kisiju tunapaswa kujua
2 Reactions
6 Replies
697 Views
Hakuna kipindi ambacho siasa za vyama vingi zilikuwa zimepambana moto kama enzi za JK na Mkapa. Kila nikikumbuka enzi za Ukawa, CuF ipo moto, NCCR mageuzi ipo moto, Chadema ipo moto, CCM nayo ipo...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
KATIBU mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Willbroad Slaa amesema anazo nyaraka maalumu za CCM zinazowaagiza wakuu wa wilaya kuwaita wafanyabiashara ili wakichangie chama hicho...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
CCM sasa wanachosha watu kwa zimamoto yao ya kuchukua hela kwa makampuni na wafanya biashara kwa ajili ya chaguzi zao.Wengi wao wanatoa tuu kwa vile kuna vitishi vingi hutolewa na viongozi wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu Nchemba amesema serikali ya Awamu 6 ina political will ndio sababu CAG ameongezewa Fedha Mwigullu amesema Watanzania wanasahau mapema kwa sababu alikuwepo CAG Prof...
15 Reactions
81 Replies
7K Views
Leo ni Birthday ya Miaka 85 ya marehemu Rais Benjamin Mkapa ,Rais wa awamu ya 3 wa Tanzania. Mkapa alisifiwa kama Kiongozi aloyepata mafanikio makubwa ya Kiuchumi Kufuatia kuongoza Mageuzi ya...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna watu "wataalamu". Mkutano wa Makonda Tarime umevurugika baada ya mvua kubwa kunyesha. Mvua hiyo imefanya wananchi kutoka mbio na kumuacha Makonda na timu yake jukwaani. Shikamoo Heche
6 Reactions
32 Replies
5K Views
Pale Chadema mtu yoyote anafanya jambo lolote ndio sababu mzee Duni Haji wa ACT Wazalendo aliwaita ni Ukoo wa Kambale wote Wana ndevu. CCM ni Chama kikubwa chenye Idara na Kurugenzi mbalimbali...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Naandika hapa nikiwa na maumivu binafsi juu ya clip ya wakili Peter Madeleka. Sipingani na hoja alizotoa kwa sababu nyingi zina mashiko na mjadala aliouibua unatija kwa haki jinai Tanzania...
29 Reactions
66 Replies
10K Views
Wakili Madeleka amesema yapo mambo ambayo yanashughulikiwana muungano wa falme za Kiarabu na yapo mambo yanashughulikiwa 'individual emirate' Madeleka ametolea mfano wa Zanzibar isivyoweza kusain...
9 Reactions
47 Replies
4K Views
Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Polisi Arusha, Amekamatwa mara baada ya High Court Arusha kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP Taarifa zaidi kukujia ======== Tweet yake ya mwisho ilikuwa...
13 Reactions
164 Replies
18K Views
Mnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa...
12 Reactions
126 Replies
11K Views
Julai 17 2023 Mahakama ya Rufaa ilitoa maamuzi ya rufani iliyowasilishwa na Wakili Msomi Peter Madeleka dhidi ya plea bargain iliyoingiwa kati yake na DPP. Tangu siku hiyo ya hukumu Wakili...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Wasukuma ni wengi zaidi Tanzania, ni wachapakazi kwa asili. Wasukuma na wanyamwezi idadi Yao ni kubwa inakaribia theluthi ya Watanzania wote. Pamoja na wingi wao, uchapakazi wao mkubwa na wingi wa...
25 Reactions
162 Replies
12K Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kukamilisha utaratibu wa kuwapatia Hadhi Maalum Watanzania waishio nje ya nchi, yaani diaspora ifikapo mwaka 2024. Hayo yamesemwa katika...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…