CCM sasa wawachosha watu kupitisha bakuli kwa wafanyabiashara na makampuni kukwapua hela-Wamefulia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM sasa wawachosha watu kupitisha bakuli kwa wafanyabiashara na makampuni kukwapua hela-Wamefulia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Oct 12, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  CCM sasa wanachosha watu kwa zimamoto yao ya kuchukua hela kwa makampuni na wafanya biashara kwa ajili ya chaguzi zao.Wengi wao wanatoa tuu kwa vile kuna vitishi vingi hutolewa na viongozi wa CCM.Na mara nyingine kutumia wakuu wa wilaya na Mikoa ili kuficha u CCM wao.Kipindi hiki ndipo wamezidi tia kichefuchefu zaidi, wanalazimisha hadi watu wanajisikia vibaya.

  Mfanya biashara aliyepata hela kwa kubana matumizi sana, anashuhudia akilazimishwa toa hela huku ikibidi aandike cheque late jioni au hata ktk mahoteli na bar ili CCM wakatoe rushwa.Na muda si mrefu anashuhudia magamba wakitumbua kwa staili mbaya hizo hela.

  CCM si tuu kuwa hawajui tafuta hela ila pia hawajui kuheshimu hela.Kuna upuuzi mkubwa katika chama.Wanachama wanakimbilia CCM wakidhani ina hela ila inachezea hela za watu na siku zinapigwa stop hiki chama kinazama.
   
 2. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,094
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mkuu hayo yanafahamika ila ungeweka na angalau katukio kamoja ingeleta ladha zaidi
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  evidence!mfanyabiashara anayewapa ccm pesa kwa sasa ameliwa!na hakuna kwani wanajua wakati wowote ccm inaangushwa
   
 4. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naasema hivi pesa zote ziende m4c kufanya kazi na makamanda sehemu mbalimbali za nchi nyinyiemu mda wao ulishapita.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  POle CCM, umechelewa sana kusoma alama za nyakati
   
 6. T

  Twasila JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,913
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  Mamlaka za Serikali za Mitaa wanachangia pia uendeshaji wa CCM. Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanatumika kuwaagiza Wakurugenzi. Mwenye ndugu au rafiki wa Mkurugenzi wa Halmashauri amuulize, atathibitisha haya nisemayo.
   
 7. M

  Makyomwango JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Achana nao hao, ni wakwepa kodi. Mfanya biashara makini hawezi kutoa pesa yake aliyoisumbukia kirahisi rahisi isipokuwa kama ameipata kifisadi
   
 8. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Wafanya biashara wengi ni wale hawajasoma ndio huwa hawapendi sana kukimbizana na mamlaka kwa vile pia hawana hakika jamaa wa TRA kama wakija hawatakuwa kama traffic na Hiace,hawakosi kosa.Yaani hawawezi kosa matatizo ktk records ambayo kama hujaweza weka mahesabu yako sawa wanaweza sema ni makosa ukaadhibiwa na baaday ekujikuta kuwa hukustahili.

  Wale wasomi kidogo au wenye nguvu kupitia wakubwa hao hufuatwa na hawa wakuu wa wilaya na mikoa kudai,pamoja na wakurugenzi hasa wale waliowahi uzia hawa wafanya biashara viwanja na mali za umma.Sasa hivi kuna kama blackmailing fulani.Kupitia hawa makuadi wa CCM.

  Ni wajibu wa kila mtu kuwaelimisha watanzania wenye mapenzi na CDM na hata wale wenye mapenzi na CCM ila sasa wanajisikia kama vile CCM amekuwa jambazi mbabe anayepokea kodi nje ya mfumo wa nchi.Sasa wanahitaji pa kutokea katik hii illigal cycle.

  Wengi kinawauma sana, hata wale waliokuwa wakifaidika na CCM kwani sasa wanachotoa ni kingi kuliko kuingiza.
   
 9. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ukitaka kudhibitisha hilo ingia kwenye ofisi za wafanyabiashara wenye asili ya kiasia utakuta kuta zao zimepambwa na Appreciation certificate kutoka Magamba kwa michango yao
   
 10. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Katika kuchangia chama cha magamba pia huwa wanamtumia mkweree kama bidhaa yao ya kuiuza kwa kuruhusu yule anaetoa mchango mkubwa kwa chama kupiga picha na mwenyekiti!! Hivyo utakuta picha za aina hiyo kwenye maduka na mahoteli mengi!!
   
 11. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Soon watazibandua haraka sana maofisini.Nao pia wanaichukia ila wanahofu ya matendo yao.
   
 12. B

  BigMan JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  hujamaliza tu elimu ya watu wazima ? maana mpaka leo hujafahamu kuandika ?
   
 13. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  kipi bora kujua kusoma au kuandika?
   
 14. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Ukitaka kujuwa ni kweli sasa ccm ni chama cha matajiri au wafanya biashara hebu niambie ni watu wangapi masikini wamechagiliwa kuwa wenyeviti wa mikoa?

  watu masikini wanatumika tu kuwapitisha matajiri si mliona morogoro waligombana kwa sababu ya chai ....hebu itawezekana kweli ukunje ngumi kwa chai tu?
   
 15. B

  BigMan JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  bahati mbaya kwako wewe ni kkk yaani kusoma,kuandika na kuhesabu bonge la zero
   
 16. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  mbona umewekeza nishambulia zaidi ya kujadili mada?Au wewe ni msukule wa CCM?Au uzao wa binamu nyama ya hamu,kwani wao automatically wana ubongo wenye mtindio,ukiongeza na dozi ya uarabuni basi fikra zao ni kama za maiti tuu.Hujaenda choma makanisa kwa msaafu kushindwa mfanya mtu mjusi?
   
Loading...