Kama kuna kiporo kiliachwa na uongozi wa hayati Magufuli katika chama basi ni ile orodha ya mali za CCM nchi nzima.
Tuliwaomba sana Dkt. Bashiru na komredi Polepole wazitangaze mbele ya Wanachama...
JE, KANDA YA ZIWA KUTUMIKA KAMA DARAJA LA KUWAVUSHA WANASIASA 2025 WALIODIRIKI KUMKEJELI DR JOHN POMBE MAGUFULI?
Baada ya kifo cha marehemu Dr John Pombe Magufuli tuliona wanasiasa waliokuwa...
Lazima tukubali kwamba watu wana uhuru wa kutoa maoni. Tufanye mambo ambayo yataonyesha kuwa Dr. Tulia alistahili kuwa rais wa IPU.
Ni kama two sides of the coin. Tunazungumzia coin ile ile...
Bashiru Ali kasema hadharani bila kupepesa macho wala haya kusema kinachofanyika kwa wakulima wadogowadogo si sahihi na kuna haja ya watawala kufanyia kazi mtazamo wake,sio kutumia nguvu kuzima...
Nawasalimu kwa jina la Walamba Asali.
Nawakumbusha tu ile ripoti ya ukwapuaji wa mali za CCM Dkt. Bashiru hajaitoa hadharani.
Tutulie siku akitibuka mbona mtashangaa kuna wakubwa walipokonywa V8...
Ukaguzi wa Mali za CCM uligundua mengi ikiwemo upigaji uliofanywa na akina Nape Nnauye
Ile ripoti kuifanya Siri hamkuitendea haki nchi na wananchi
Wizi wa Akina Nape ulistahili kuanikwa wazi ona...
"....Tuna-uwezo wa kukusanya taarifa za Nchi yetu kwa mda mfupi sana na hii ni kwa sababu ya ukubwa wa Taasisi yetu.
Tambua, Kanisa Katoliki limeenea hadi ngazi ya kaya na kwalo sisi si Taasisi...
Siku zote nyota njema hung'aa tu hata kiza kikiwa kinene. Ni ukweli usiopingika kwamba kuna watanzania wengi wanakukubali sana comred Paul. Japo kuna machache yakuzingatia ili ufike mbali zaidi...
Tulizani itachukua muda mrefu kuona mgawanyiko wa kisiasa ndani ya CCM ila sasa hali si shwari.
Wazee walipoambiwa wakae kimya wameamua kukaa kimya kuanzia juu hadi kwenye mikoa. Vijana...
Mambo mengine yanatia aibu sana kuyasikia.
Wakati Wezi wakiiba mabilioni ya pesa,tukilipa mabilioni kwenye riba na mikataba mibovu eti Leo hii Nchi inakopa Bilioni 32.
Viongozi wa Serikali muwe...
Rais Samia Suluhu Hassan amemrudisha Dk Jones A Killimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), akiibua maswali kadhaa ya kisheria miongoni mwa wadadisi...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa amemuagiza Naibu Waziri, Mhe. Deogratius Ndejembi kufuatilia Wakurugenzi ambao bado hawawalipa fedha za kujikimu watumishi wapya...
Wakati wa awamu ya kwanza enzi za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere,na awamu ya pili iliyoongozwa na Rais Ali Hassan Mwinyi,katibu wa CCM Mkoa ndiye alikuwa Mkuu wa Mkoa,katika mfumo wa vyama...
Bila shaka sasa Badala ya kukiaibisha chama chao Pekee, Wameamua kudhalilisha Taifa lote.
Lakini je, Wananchi hata kama ni wajinga watakubali kudanganywa kibwege namna hii?
Yaani utumie V8 kwa...
Mwendo alioanza nao katibu wa itikadi na uenezi Paul makonda naona nyot yake inaenda vizuri ni kijana ambaye katika majukumu yake anathubutu siyo mtu wa porojo kumbukumbu ni mwalimu
1. Dar es...
Anasema chama cha siasa kisichokukwa na majadiliano ni chama mfu. Lissu anasema yeye na Mbowe ni watu wawili tofauti ambao wanaweza na iko hivyo kuwa na mtazamo tofauti juu ya kitu kimoja. Na...
Ni dhahiri kwamba Wakati wa Shambulio lile la kishamba lililofanywa na watu washamba na Masikini wa akili, walioshindwa hoja za majukwaani, Lissu aliombewa na kutibiwa na Dunia nzima nzima, huyu...
Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete ameishukuru serikali na Uongozi wa Wizara na DAWASA kwa kutatua tatizo la Maji katika...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Hakika kuna mambo ambayo yanaendelea katika faifa letu. Mambo ambayo yanadhalilisha, yanaumiza na kumvunjia heshima mtu ambae alikuwa anaonekana ana hadhi ya juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.