Waziri Mwigulu: Watanzania mnasahau mapema alikuwepo CAG Assad kwani kilimkuta nini?

Mwigulu mpuuuzi sana anamtisha CAG ili serikali iliwe tuuu na CSG akae kimya daaa namshangaa eti na yeye anataka urais
Reading between the lines: anawaambia wizi ulikuwepo hata wakati wa yule mzalendo na ndiyo sababu CAG wa wakati ule yalimkuta makubwa(kutekwa na kufukuzwa kazi). Kwa sasa wizi ungalipo lakini CAG yupo huru kufanya kazi zake.
 
Marehemu alikuwa fisadi ndio maana alimuondoa CAG kimizengwe.
Nyie hamtumiagi akili mnaendana na upepo kutegemea Lissu na Mbowe wamesemaje!!, kwenye historia ya Tanzania tangu uwe na akili timamu kwenye awamu zote uliwahi kuona wananchi wanatafuta USD hadi uvunguni!?,uliwahi kuona watu wanashindwa kuagiza vitu nje na benki zinauza mwisho dola 100 tu!?.., mpompo tu kama k.enge, kuna wakati nchi imewahi kukumbwa na ufisadi kama awamu hii ya 6!?, Sasa hivi nchi inajiendesha tu kama gari bovu,na muda sio mrefu itashindwa kujiendesha lisipofanyika jambo kwa dharula. Kwasababu mmeshikiwa akili mtamlaumu Magufuli hata mkishindwa kuwafikisha wake zenu kileleni. PUMBAVU KABISAA.
 
Back
Top Bottom