CCM yaiga mbinu ya Putin. Je, itafanikiwa?

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,557
41,067
Putin, majeshi yake yalipoanza kuelemewa kutokana na mashambulio ya Ukraine kwa msaada wa sialaha za mataifa ya Magharibi, huku maeneo ambayo aliyokuwa ameyateka awali, yakirudi kwenye himaya ya Ukraine, aliamua kufanya maamuzi magumu na ya aibu lakini ya kuokoa jahazi.

Putin aliamua kuwatumia waovu (wafungwa) kumkwamua. Akaamuru wafungwa wote ambao watakuwa tayari kwenda mstari wa mbele kwenye vita dhidi ya Ukraine na kupigana upande wa Russia, kwanza wangepata msamaha wa vifungo walivyokuwa wakitumikia, na pia wangelipwa pesa iliyo sawa na dola 5,000 kwa mwezi. Wengi walichangamkia hiyo offer, japo kwa wengi, vifungo vyao vikabadilika kuwa adhabu ya kifo, kwa sababu walipopelekwa mstari wa mbele ilikuwa ndiyo mwisho wa maisha, na malipo ya dola 5,000 kwa mwezi yakageuka kuwa malipo hewa.

Kwa hali inavyoenda, inaonekana CCM imeamua kuiga mbinu ya Putin. Wale ambao, bila mashaka yoyote, ni watu waovu kwa kipimo cha aina yoyote, tena uovu mkubwa, kama kushiriki na kusimamia mauaji, utekaji wa watu, uporaji wa mali za watu kwa kutumia nafasi walizokuwa nao, ambao kuna wakati ili kujitakasa, CCM iliamua kuwaweka kando, sasa imeamua kuwarudisha na kuwapeleka mstari wa mbele. Je, watafia mstari wa mbele, lakini wataiokoa CCM AU watafia mstari wa mbele na kuimalizia CCM, tujipe muda.

Lakini historia inatueleza ni vigumu sana kuupata ushindi mwema kwa kutumia waovu, japo kuna nafasi ya kuupata ushindi katika uovu kwa kuwatumia waovu.
 
Itafanikiwa pakubwa
 
Ujinga sana,nani alikwambia Urusi imewahi kushindwa na Ukraine?

Kifupi niseme mleta uzi unautapiamlo na kamasi ndani Ubongo wake
 
Watu kama kama ninyi kukiwepo mada inayohitaji akili,.msiwe mnachangia.

Mtu huelewi hata kilichoandikwa halafu unachangia, utachangia kitu gani?

Ndani ya mada nzima ni wapi pameandikwa kuwa Urusi ilishindwa vita? Kama Urusi ingekuwa ilishindwa vita, sahizi kungekuwa bado kuna vita inaendelea?

Mtu huelewi hata utofauti wa kushindwa na kuelemewa. Wala huelewi kuwa mara nyingi katika ushindani, kuna wakati hutokea mmoja wa washindani kuelemewa, na kuelemewa huko kukifanyiwa kazi, huyo huyo aliyelemewa mwishoni anaweza akawa mshindi.

Punguani inaonekana hata hujui kuwa wakati Urusi ilipoivamia Ukraine, iliteka maeneo kadhaa, mojawapo ikiwa ni Kaskazini mwa Kiev, lengo likiwa kuuchukua mji mkuu, Kiev. Lakini ilipoelemewa na kupoteza askari wengi, tena kutoka elite group, ikalazimika kuondoka maeneo ya Kaskazini mwa Kiev na Kiev yenyewe, ikaenda kwenye majimbo ya Mashariki. Huko, Urusi ilitwaa maeneo mengi, lakini baadaye ikaelemewa tena, ikayapoteza baadhi ya maeneo iliyokuwa imeyakalia mwanzo. Ikabadilisha mbinu, ikiwa ni pamoja na kuwatumia kundi la Wagner na wafungwa, akayateka maeneo mengine mapya, likiwemo eneo la Bukhmut, ambalo baadaye tena imelipoteza.
 
Putin, majeshi yake yalipoanza kuelemewa kutokana na mashambulio ya Ukraine kwa msaada wa sialaha za mataifa ya Magharibi, huku maeneo ambayo aliyokuwa ameyateka awali, yakirudi kwenye himaya ya Ukraine, aliamua kufanya maamuzi magumu na ya aibu lakini ya kuokoa jahazi.

Putin aliamua kuwatumia waovu (wafungwa) kumkwamua. Akaamuru wafungwa wote ambao watakuwa tayari kwenda mstari wa mbele kwenye vita dhidi ya Ukraine na kupigana upande wa Russia, kwanza wangepata msamaha wa vifungo walivyokuwa wakitumikia, na pia wangelipwa pesa iliyo sawa na dola 5,000 kwa mwezi. Wengi walichangamkia hiyo offer, japo kwa wengi, vifungo vyao vikabadilika kuwa adhabu ya kifo, kwa sababu walipopelekwa mstari wa mbele ilikuwa ndiyo mwisho wa maisha, na malipo ya dola 5,000 kwa mwezi yakageuka kuwa malipo hewa.

Kwa hali inavyoenda, inaonekana CCM imeamua kuiga mbinu ya Putin. Wale ambao, bila mashaka yoyote, ni watu waovu kwa kipimo cha aina yoyote, tena uovu mkubwa, kama kushiriki na kusimamia mauaji, utekaji wa watu, uporaji wa mali za watu kwa kutumia nafasi walizokuwa nao, ambao kuna wakati ili kujitakasa, CCM iliamua kuwaweka kando, sasa imeamua kuwarudisha na kuwapeleka mstari wa mbele. Je, watafia mstari wa mbele, lakini wataiokoa CCM AU watafia mstari wa mbele na kuimalizia CCM, tujipe muda.

Lakini historia inatueleza ni vigumu sana kuupata ushindi mwema kwa kutumia waovu, japo kuna nafasi ya kuupata ushindi katika uovu kwa kuwatumia waovu.
Akili kubwa bravo 👏👏👏
 
Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom