Happy birthday Benjamin Mkapa. Champion of Economic Reforms and Private Sector

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,053
49,737
Leo ni Birthday ya Miaka 85 ya marehemu Rais Benjamin Mkapa ,Rais wa awamu ya 3 wa Tanzania.

Mkapa alisifiwa kama Kiongozi aloyepata mafanikio makubwa ya Kiuchumi Kufuatia kuongoza Mageuzi ya Uchumi yaliyoasisiwa na Rais Mwinyi na kujifanya Tanzania kupaa kiuchumi.

Happy birthday baba wa Uchumi wa Tanzania.

Nyayo zako zinaendelea kutekeleza Kwa Kasi zaidi na Rais Samia Kwa kuasisi falsafa ya Mageuzi ya Kisiasa na Uchumi unaoongozwa na sekta binafsi.

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1723669679724478871?t=mqQ1yJVCoeEMm4-UUiquZA&s=19
 
Visionary leader Rip

Tatizo la nchi hii ni uwepo wa chama chakavu
 
Leo ni Birthday ya Miaka 85 ya marehemu Rais Benjamin Mkapa ,Rais wa awamu ya 3 wa Tanzania.

Mkapa alisifiwa kama Kiongozi aloyepata mafanikio makubwa ya Kiuchumi Kufuatia kuongoza Mageuzi ya Uchumi yaliyoasisiwa na Rais Mwinyi na kujifanya Tanzania kupaa kiuchumi.

Happy birthday baba wa Uchumi wa Tanzania.

Nyayo zako zinaendelea kutekeleza Kwa Kasi zaidi na Rais Samia Kwa kuasisi falsafa ya Mageuzi ya Kisiasa na Uchumi unaoongozwa na sekta binafsi.
Mimi ndie Freelance Journalist niliyezindua mialiko ya waandishi wa habari kutoka vyombo binafsi kujumuishwa kwenye ziara za nje za rais, hivyo nimepasua sana anga na Mkapa and he never missed any UNGA!. JPM never attended a single one!.
View: https://youtu.be/DUOg28gosy8?feature=shared
HBD Ben
RIP Ben
P
 
Huyu ndie Rais mwizi kuliko wote kuwai kutokea Tanzania

Alifanya biashara ikulu alijiuzia mgodi wa kiwira

Wizi wa Epa alipitisha hela yeye zichotwe bot

IPTL aliwaleta awamu yake yeye.

Nyumba za serikali aliuza yeye na akajiuzia

Halafu asivyo na aibu akajifanya anaomba msamaha kwenye kitabu chake.

Yaani unashiriki wizi wa mabilioni halafu unaomba samahani..

Huyu china ananyongwa na maiti yake inachapwa fimbo na kuingizwa vijiti
 
Leo ni Birthday ya Miaka 85 ya marehemu Rais Benjamin Mkapa ,Rais wa awamu ya 3 wa Tanzania.

Mkapa alisifiwa kama Kiongozi aloyepata mafanikio makubwa ya Kiuchumi Kufuatia kuongoza Mageuzi ya Uchumi yaliyoasisiwa na Rais Mwinyi na kujifanya Tanzania kupaa kiuchumi.

Happy birthday baba wa Uchumi wa Tanzania.

Nyayo zako zinaendelea kutekeleza Kwa Kasi zaidi na Rais Samia Kwa kuasisi falsafa ya Mageuzi ya Kisiasa na Uchumi unaoongozwa na sekta binafsi.

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1723669679724478871?t=mqQ1yJVCoeEMm4-UUiquZA&s=19

Unamtumiaje happy birthday aliye kuzimu?
 
Ukiwa na akili ya kuungaunga huwezi kumuelewa Pope

Continue to rest in peace Former President Big Ben the genius
 
Huyu ndie Rais mwizi kuliko wote kuwai kutokea Tanzania

Alifanya biashara ikulu alijiuzia mgodi wa kiwira

Wizi wa Epa alipitisha hela yeye zichotwe bot

IPTL aliwaleta awamu yake yeye.

Nyumba za serikali aliuza yeye na akajiuzia

Halafu asivyo na aibu akajifanya anaomba msamaha kwenye kitabu chake.

Yaani unashiriki wizi wa mabilioni halafu unaomba samahani..

Huyu china ananyongwa na maiti yake inachapwa fimbo na kuingizwa vijiti
Acha uongo
 
Hapa unaonesha Tu ulivyo 'ignorant ' wa uliyoyasikia....
Mihemko inakufanya utukane kiongozi alieshiriki kufanya maisha yako yawe nafuu sana
 
Why unasema hivyo bila kupinga hoja zangu kwa evidence.

Hoja inapingwa kwa hoja.

Weka evidence za kupinga hoja zangu kwamba hakufanya niliyoyaandika
 
Back
Top Bottom