Naendelea kuchunguza hizi takwimu za sensa za mwaka 2022 na kuendelea kujiuliza sababu ya kugawanya mikoa na wilaya. Kwa watoto lazima mjua baadhi ya mikoa ilikuwa wilaya tu awali, mikoa hiyo ni...
Mike Tyson alipozidiwa ujanja na Evander Holyfield, Tyson alimng’ata Evander sikio na ilikuwa aibu kwelikweli siku hizo na pia ulikuwa mwisho wa umaarufu wa Tyson.
Je watanzania mnajua kwanini...
Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja...
Unaweza kusema ziara ya Paul Makonda mkoani Kagera imemlipa mwalimu Adela baada ya kupewa gari mpya na Makonda baada ya kumlilia kutokana na shida yake ya kutapeliwa gari lake la kwanza mara tu...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi- Taifa Ndugu Fadhili Maganya (mwenye suti nyeusi) wiki hii Jumanne Novemba 14, 2023 akiongozana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Tanga Ndugu Mbezi pamoja...
Uwepo wa Makonda ndani ya mfumo hakika si jambo rafiki kwa mafisadi na wezi wa mali za Umma.
Majambazi yale hutengeneza wigo mpana wa kutetewa na kusifiwa ili kwalo yaendelee kuiba, kuficha na...
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi amesisitiza umuhimu wa kubadili mtindo wa maisha kwa kuzingatia...
Nikipita mitandaoni nimekutana na video ya kiongozi wa CHADEMA anaitwa ndugu Daniel Ngogo Naftali akitoa press statement kuhusiana na masuala ya Tegeta Escrow na ufisadi uliofanyika kimfumo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi wameipongeza timu ya Taifa ya Zanzibar chini ya miaka 15 (Karume...
~Yataka yasaidie kukuza uchumi wa nchi zinazoendelea
SERIKALI imezitaka Jumuiya za Kimataifa zisaidie kukuza uchumi wa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania ili kupanua wigo wa ushiriki wa wananchi...
DODOMA
Kundi la Watalii 120 wakiwemo wachezaji maarufu wa tenisi wa Marekani watakuja nchini Tanzania kutalii katika ziara ya kifahari ya McEnroe na mashindano ya tenisi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea Klaus Werner lohannis, Rais wa Romania Ikulu - Dar es Salaam leo tarehe 17 Novemba, 2023...
Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Songwe ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Mhe. Solomon Itunda imetembelea na kufanya ukaguzi wa athari zilizosababishwa na mvua na upepo katika Kijiji cha...
Kwa takwimu nilizonazo ni kuwa Tanzania ina majimbo 264 ambapo ni Wabunge 264 bila kujumuisha Wabunge wa Viti Maalumu na Wabunge wa kuteuliwa na Rais.
Katika majimbo hayo, jimbo lenye watu wengi...
Wakuu JF,
Greetings and I hope you are doing well.
Niende kwenye Mada, Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi, CCM, Imemteua Ndugu Paul Makonda kuwa Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa...
"President Magufuli needs to listen this. Too much taxes kill economy. For example Tanzania has 30% tax and 20% Value added Tax” ~ Mr. Senator
Some African tax rate is highest in the world. In...
MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI ALAANI VIKALI UKATILI ULIOFANYWA DHIDI YA MAMA MJASILIAMALI.
Mhe. Abdulaziz M. Abood Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini mapema hii leo amefika wodini Hospitali ya...
Uchaguzi ni gharama kubwa sana kwa wagombea, vyama vya siasa na taifa kwa ujumla wake. Kupata pesa za kugharamia kupita kwenye kura za maoni, kupiga kampeni, kuchaguliwa, kulinda kura na...
Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili...