Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kiongozi ukiitisha maandamano halafu siku ya tukio ukakamatwa unakuwa umeeleweka na Ujumbe umefika Ila Sema wanasiasa wa vyama vya Upinzani hawako serious kabisa Mlale Unono 😀😀
10 Reactions
59 Replies
4K Views
Moja ya malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wadau wa demokrasia nchinina kitendo cha Tume kutumia watumishi wa umma katika michakato ya kiuchaguzi. Kwa mujibu wa kifungu cha 21 cha Mswada, Tume...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk Tulia Ackson, leo tarehe 22 Novemba, 2023 amewasili Geneva, Uswisi kuanza utekelezaji wa...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Uwepo wa CCM madarakani kwa miaka mingi ni matunda ya nidhamu na umoja uliotamalaki ndani ya CCM na miongoni mwa wanachama wake. Nidhamu ya kuheshimu maamuzi halali ya...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema katika bajeti ya mwaka 2024/25 mpango wa Serikali kupitia Wizara yake ni kuendelea kutenga kiasi kikubwa cha fedha katika sekta ya uvuvi ili...
0 Reactions
2 Replies
635 Views
Aahidi UVCCM itaendelea kuwashika mkono vijana Na MWANDISHI WETU MAKAMU Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Rehema Sombi, amesema umoja huo utaendelea kuwaunga mkono...
0 Reactions
0 Replies
336 Views
Ameongeza kwa kusema " kwa nchi zenye kufuatia utawala wa sheria Makonda alipaswa kuwa jela".
25 Reactions
107 Replies
10K Views
Wadau nawasabahi.Binafsi sioni sababu ya kufanya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025. Sababu zangu ni pamoja na 1. KATIBA iliyopo inaruhusu CCM kuingia Madarakani itakavyo...
3 Reactions
7 Replies
682 Views
Kama hekta moja ni 16mil na points kadhaa hivi ,budget hiyo iko sahihi na wamejitahidi Sana kuibana . Mfano tu; kwa kilimo cha kitaalam cha green house ,green house ya robo ekari yaani ukubwa wa...
2 Reactions
5 Replies
837 Views
Nikiri kuwa Dumila ni mji mdogo unaopatikana wilaya ya Kilosa ambao kwa miaka ya hiv kalibuni umekuwa kwa kasi sana, ukichagizwa na uwepo wa kiwanda cha sukari umbali wa kama kama 30 hivi cha...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Ukijiita Chawa utabaki Kuwa kama mdudu maisha Yako yote Ukiitwa Chawa ukaitika itaendelea Kuwa Chawa maisha Yako yote Lakini ukiitwa Rafiki utabeba Baraka za Urafiki kwani Yesu Kwetu ni Rafiki...
12 Reactions
24 Replies
1K Views
Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM. Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta...
36 Reactions
208 Replies
17K Views
Wananchi wa Kata ya Makame Wamemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mbalimbali mingi ya Maendeleo huku wakimuomba Mbunge wao, Mhe. Edward Ole Lekaita kumfikishia Mhe. Rais Samia...
1 Reactions
5 Replies
765 Views
Wote tunafahamu kwamba Vijijini ndiko kunafanyika shughuli za Kilimo na hivyo msimu wa mazao Barabara za huko Huwa busy sana. Sasa Tarura eti wanajenga km 19.25 za lami Kwa Bilioni 9.86 sawa na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Chama cha Mawakili (TLS) chatoa TAMKO KALI kuhusu kitendo cha Mwenyekiti (Jaji Ntemi) wa Kamati ya Maadili ya Mawakili kumsimamisha uwakili kwa miezi 6 Wakili Mkongwe Mpale Mpoki. Kwamba...
7 Reactions
32 Replies
6K Views
Kuna wale waliofika bungeni kwa mbeleko ya Shujaa Magufuli Kuna wale waliojipitisha bila kupingwa Kuna hawa Covid-19 Kuna wale waliounga Juhudi kwa mikataba maalumu Wote hawa " The End" ni...
11 Reactions
34 Replies
2K Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeuhakikishia Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mazingira salama ya biashara na uwekezaji nchini. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
1 Reactions
4 Replies
802 Views
Inashangaza sana kuona CCM imeshindwa kabisa kuwapatia Watanzania KATIBA MPYA. CCM ya Kikwete ilianzisha Mchakato kwa kaunda Tume ya Warioba Tume iliyozunguka Nchi nzima kukusanya Maoni na...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika...
1 Reactions
1 Replies
828 Views
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita ameshiriki hafla ya utiaji saini Mkataba wa Mwekezaji mpya wa Kampuni ya Untamed Horizons kutoka Lake Group na WMA Makame ambapo...
0 Reactions
3 Replies
652 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…