Kama Wewe ni mbunge uliyeingia bungeni kiujanjaujanja Usitapeliwe na CHAWA safari yako inaishia Julai 2025

Kuna wale waliofika bungeni kwa mbeleko ya Shujaa Magufuli

Kuna wale waliojipitisha bila kupingwa

Kuna hawa Covid-19

Kuna wale waliounga Juhudi kwa mikataba maalumu

Wote hawa " The End" ni July 2025 au Wahamie Chadema

Sasa tunajenga CCM ya Wananchi

Ahsanteni kwa kunisikiliza

Mzee Mgaya

Kalenga, Iringa

Nimeikuta mahali fulani 😂😂

Kuna ukweli mkubwa Tu na endapo CCM hawataliona Hilo basi wajiandae kusaga meno
 
Kuna wale waliofika bungeni kwa mbeleko ya Shujaa Magufuli

Kuna wale waliojipitisha bila kupingwa

Kuna hawa Covid-19

Kuna wale waliounga Juhudi kwa mikataba maalumu

Wote hawa " The End" ni July 2025 au Wahamie Chadema

Sasa tunajenga CCM ya Wananchi

Ahsanteni kwa kunisikiliza

Mzee Mgaya

Kalenga, Iringa

Nimeikuta mahali fulani 😂😂
Aahaaa
 
Wanajivunia kazi nzuri za Rais Samia nchi nzima na kwa kuwa wao ni sehemu ya awamu hizi mbili wanaamini watashinda kwa kishindo. Tunawatakia kila la kheri.
 
Kiukweli CCM ni ya Wananchi

Twende kwa Wananchi wakaamuwe kwa haki Kiongozi wanayemtaka bungeni
Nakubaliana na wewe,matokeo hayatakuwa exactly kama mwandishi anavyoamini. Wananchi hawafanani,wapo wanaoangalia chama,jinsia,kabila,dini na wapo wa mgombea anatuachaje. Tuwaachie waamue but kujiaminisha kuwa Nape aliyepita bila kupingwa atashindwa Mtama ni kujifurahisha.
 
Tulia akae akijua Mbeya ni ya Sugu
Londo akae akijua safari hii Mikumi ni ya Nkya
Kabudi akae akijua Kilosa safari hii inaenda kwa Ameir
 
Nakubaliana na wewe,matokeo hayatakuwa exactly kama mwandishi anavyoamini. Wananchi hawafanani,wapo wanaoangalia chama,jinsia,kabila,dini na wapo wa mgombea anatuachaje. Tuwaachie waamue but kujiaminisha kuwa Nape aliyepita bila kupingwa atashindwa Mtama ni kujifurahisha.
Kwani alipita bila kupingwa?
 
Back
Top Bottom