benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,504
- 3,034
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk Tulia Ackson, leo tarehe 22 Novemba, 2023 amewasili Geneva, Uswisi kuanza utekelezaji wa majukumu yake ya Urais wa IPU.
Dkt. Tulia amepokewa na Balozi wa Tanzania nchini Uswisi, Dkt. Abdallah Possi.
Dkt. Tulia amepokewa na Balozi wa Tanzania nchini Uswisi, Dkt. Abdallah Possi.