Kwa CCM kuingiza siasa kwenye taifa stars, dua langu ni kesho tuaibishwe na Morocco

Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
9,792
14,873
Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM.

Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe katika michezo iliyobaki kuanzia kesho, amina.
 
Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la ccm. Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya kumbe la dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe katika michezo iliyobaki kuanzia kesho, amina
Mimi kesho natinga uzi wangu wa Morocco kwenda kuishangilia Morocco.
 
Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la ccm. Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya kumbe la dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe katika michezo iliyobaki kuanzia kesho, amina
Nyinyi ni wa chama gani?
 
Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM.

Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe katika michezo iliyobaki kuanzia kesho, amina.
Mpuuzi wewe, Taifa Stars ipo kabla hata CCM haijaanzishwa mwaka 1977, uzalendo kwanza kwa Taifa lako CCM mwalimu Nyerere alisema sio Baba yake lakini hakuwa na jeuri ya kusema Tanzania sio nchi yake.
 
Back
Top Bottom