2030 Uvuvi Uchangie Asilimia 10 ya Pato la Taifa

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,035
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema katika bajeti ya mwaka 2024/25 mpango wa Serikali kupitia Wizara yake ni kuendelea kutenga kiasi kikubwa cha fedha katika sekta ya uvuvi ili kuiwezesha kuchangia katika Pato la Taifa kwa Asilimia 10 ifikapo mwaka 2030.

Waziri Ulega amesema hayo katika Maadhimisho ya Siku ya Uvuvi Duniani yanayofanyika Zanzibar leo Novemba 22, 2023.
 
SIO KWA NCHI HII LABDA NCHI NYINGINE WACHINA WANAVUNA SAMAKI WETU WATAWALA WAPO KIMYA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom