Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,278
- 2,040
Wadau nawasabahi.Binafsi sioni sababu ya kufanya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025. Sababu zangu ni pamoja na
1. KATIBA iliyopo inaruhusu CCM kuingia Madarakani itakavyo Kama tulivyoona Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 Na Uchaguzi Mkuu 2020 ulivyo CHAFULIWA na CCM ikaingia MADARAKANI na hakuna walichofanywa.
2. Katiba iliyopo inaruhusu CCM KUIBA KURA na Hakuna wa kuhoji au Kupinga.
3. CCM ikikataa Jambo Lake hakuna wa kubisha
Tumeshuhudia IMEKATAA Kuendeleza Mchakato wa Rasimu ya Warioba na kuamua kuanza moja ili mradi kuchelewesha Upatikanaji wa KATIBA MPYA.
Hivyo basi Kufanya Uchaguzi ni Kupoteza Fedha za Umma nashauri Hakuna Haja ya Uchaguzi badala yake VIONGOZI wote wa KUCHAGULIWA waendelee kushika Nyadhifa zao mpaka Mwaka 2030 ili KUOKOA MABILIONI ya Fedha badala ya kuzitumia kwenye Uchaguzi Uchaguzi ambao hauna TIJA YOYOTE.