Katiba Mpya kaa la moto: CCM Kikwete, CCM Magufuli na CCM Samia zote zimeshindwa

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,283
2,043
Inashangaza sana kuona CCM imeshindwa kabisa kuwapatia Watanzania KATIBA MPYA. CCM ya Kikwete ilianzisha Mchakato kwa kaunda Tume ya Warioba Tume iliyozunguka Nchi nzima kukusanya Maoni na Mapendekezo Tume iliyotoa Elimu ya Katiba kwa Kugawa Nakala za Katiba iliyopo na Vipeperushi.

CCM ya Magufuli hii ni moja ya CCM MBOVU kabisa licha ya Ilani yake ya Uchaguzi kuwa Itaendeleza ilipoishia CCM ya KIKWETE CCM ya Magufuli haikutaka kabisa Kuwapitia Watanzania KATIBA MPYA kwani ilisema KATIBA MPYA sio Kipau Mbele chake na Haina Bajeti yake licha ya Wananchi Kulipa Kodi lukuki.

Baada ya Rais Magufuli Kufariki katikati ya Utawala wake Makamu wake ambaye wakati wa CCM KIKWETE alikuwa Makamu wa Bunge la Katiba na ambaye CCM Magufuli ktk ilani yake yeye akiwa Mgombea Mwenza walituahudi kuwa Wataendeleza Mchakato wa Katiba Mpya pale ilipoishia CCM Kikwete lakini ndio hao ambao walisema sio Kipau Mbele wala hawana Bajeti yake CCM Samia ikashika Uongozi na Mama akawa RAIS.

Wananchi tulijawa na Matumaini ya kupatiwa KATIBA MPYA hasa tukiamini kuwa Rais Samia alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba tulipoishia Anapajua vizuri.

Pia ahadi ya Ilani ya Ccm aliyoisema wakati anaomba kura na Magufuli ataamua kuitekeleza na pia yeye mwenyewe kujitengenezea Legacy ya kuwa Rais Mwanamke ameweza kuwapatia Wananchi KATIBA MPYA.
Matumaini hayo yamepotea kwani CCM Samia imeingia na mapya zaidi ya kujifanya Kama ndio kwanza Wananchi wanataka Katiba Mpya wakati wa Utawala wake kwani CCM Samia inataka Mchakato wa Katiba mpya uanze Upya kwa Kukusanya Maoni na Wananchi kupewa Elimu ya Katiba mambo ambayo CCM ya Kikwete chini ya Tume ya Warioba yalifanyika mpaka Bunge la Katiba liliundwa na Mama Samia akawa Makamu Mwenyekiti wa Hilo Bunge.

Binafsi sina Imani na CCM ya SAMIA ya kuwapatia Katiba Mpya watanzania kwa Kurudisha Nyuma huu mchakato wa Katiba Mpya kutoka pale ilipoishia CCM Kikwete na kutaka Mchakato uanze upya.
 
Katiba mpya haina maana yoyote kama hakutakuwa na taasisi imara kama Mahakama, TISS, Jeshi na Polisi, katiba hii hii mbovu maza anaivunja na kuita kakijitabu kwa dharau, ilipaswa ashitakiwe kwa uhaini kwa kudharau katiba ya nchi ambayo ndiyo roho ya nchi.
 
Inashangaza sana kuona CCM imeshindwa kabisa kuwapatia Watanzania KATIBA MPYA

CCM Samia ikashika Uongozi na Mama akawa RAIS.
Wananchi tulijawa na Matumaini ya kupatiwa KATIBA MPYA hasa tukiamini kuwa Rais Samia alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba tulipoishia Anapajua vizuri
Pia ahadi ya Ilani ya Ccm aliyoisema wakati anaomba kura na Magufuli ataamua kuitekeleza na pia yeye mwenyewe kujitengenezea Legacy ya kuwa Rais Mwanamke ameweza kuwapatia Wananchi KATIBA MPYA.
Hili fupa mbona Mama analigegeda!. Lile fupa lililowashinda marais wanaume 4, rais mwanamke 1 aligegeda kama mlenda!. Miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa letu yatua bungeni asubuhi hii
P
 
Inashangaza sana kuona CCM imeshindwa kabisa kuwapatia Watanzania KATIBA MPYA.CCM ya Kikwete ilianzisha Mchakato kwa kaunda Tume ya Warioba Tume iliyozunguka Nchi nzima kukusanya Maoni na Mapendekezo Tume iliyotoa Elimu ya Katiba kwa Kugawa Nakala za Katiba iliyopo na Vipeperushi.
CCM ya Magufuli hii ni moja ya CCM MBOVU kabisa licha ya Ilani yake ya Uchaguzi kuwa Itaendeleza ilipoishia CCM ya KIKWETE CCM ya Magufuli haikutaka kabisa Kuwapitia Watanzania KATIBA MPYA kwani ilisema KATIBA MPYA sio Kipau Mbele chake na Haina Bajeti yake licha ya Wananchi Kulipa Kodi lukuki.
Baada ya Rais Magufuli Kufariki katikati ya Utawala wake Makamu wake ambaye wakati wa CCM KIKWETE alikuwa Makamu wa Bunge la Katiba na ambaye CCM Magufuli ktk ilani yake yeye akiwa Mgombea Mwenza walituahudi kuwa Wataendeleza Mchakato wa Katiba Mpya pale ilipoishia CCM Kikwete lakini ndio hao ambao walisema sio Kipau Mbele wala hawana Bajeti yake CCM Samia ikashika Uongozi na Mama akawa RAIS.
Wananchi tulijawa na Matumaini ya kupatiwa KATIBA MPYA hasa tukiamini kuwa Rais Samia alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba tulipoishia Anapajua vizuri
Pia ahadi ya Ilani ya Ccm aliyoisema wakati anaomba kura na Magufuli ataamua kuitekeleza na pia yeye mwenyewe kujitengenezea Legacy ya kuwa Rais Mwanamke ameweza kuwapatia Wananchi KATIBA MPYA.
Matumaini hayo yamepotea kwani CCM SAMIA imeingia na mapya zaidi ya kujifanya Kama ndio kwanza Wananchi wanataka Katiba Mpya wakati wa Utawala wake kwani CCM Samia inataka Mchakato wa KATIBA MPYA uanze Upya kwa Kukusanya Maoni na Wananchi kupewa Elimu ya Katiba mambo ambayo CCM ya KIKWETE chini ya Tume ya WARIOBA yalifanyika mpaka Bunge la Katiba liliundwa na Mama Samia akawa Makamu Mwenyekiti wa Hilo BUNGE.
Binafsi sina IMANI na CCM ya SAMIA ya kuwapatia KATIBA MPYA watanzania kwa Kurudisha Nyuma huu MCHAKATO wa Katiba Mpya kutoka pale ilipoishia CCM Kikwete na kutaka Mchakato UANZE UPYA.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Hakuna KATIBA MPYA mzee wa twitter. Kama uliamini kuwa katiba mpya itakuja kwa mazingira ya sasa, pole sana.
Kuna sababu juu 2:
1. Swala la Muundo wa Muungano bado ni kizungumkuti. Halijapatiwa way forward ndani ya dola,serikali na CCM.
2. Bado wanaotaka katiba mpya ni wanasiasa. Hakuna nguvu ya wananchi wala makundi mengine zaidi ya vyama vya siasa.
So why kubadili katiba just kuwaridhisha wanasiasa wanaotaka madaraka?
 
Inashangaza sana kuona CCM imeshindwa kabisa kuwapatia Watanzania KATIBA MPYA. CCM ya Kikwete ilianzisha Mchakato kwa kaunda Tume ya Warioba Tume iliyozunguka Nchi nzima kukusanya Maoni na Mapendekezo Tume iliyotoa Elimu ya Katiba kwa Kugawa Nakala za Katiba iliyopo na Vipeperushi.

CCM ya Magufuli hii ni moja ya CCM MBOVU kabisa licha ya Ilani yake ya Uchaguzi kuwa Itaendeleza ilipoishia CCM ya KIKWETE CCM ya Magufuli haikutaka kabisa Kuwapitia Watanzania KATIBA MPYA kwani ilisema KATIBA MPYA sio Kipau Mbele chake na Haina Bajeti yake licha ya Wananchi Kulipa Kodi lukuki.

Baada ya Rais Magufuli Kufariki katikati ya Utawala wake Makamu wake ambaye wakati wa CCM KIKWETE alikuwa Makamu wa Bunge la Katiba na ambaye CCM Magufuli ktk ilani yake yeye akiwa Mgombea Mwenza walituahudi kuwa Wataendeleza Mchakato wa Katiba Mpya pale ilipoishia CCM Kikwete lakini ndio hao ambao walisema sio Kipau Mbele wala hawana Bajeti yake CCM Samia ikashika Uongozi na Mama akawa RAIS.

Wananchi tulijawa na Matumaini ya kupatiwa KATIBA MPYA hasa tukiamini kuwa Rais Samia alikuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba tulipoishia Anapajua vizuri.

Pia ahadi ya Ilani ya Ccm aliyoisema wakati anaomba kura na Magufuli ataamua kuitekeleza na pia yeye mwenyewe kujitengenezea Legacy ya kuwa Rais Mwanamke ameweza kuwapatia Wananchi KATIBA MPYA.
Matumaini hayo yamepotea kwani CCM Samia imeingia na mapya zaidi ya kujifanya Kama ndio kwanza Wananchi wanataka Katiba Mpya wakati wa Utawala wake kwani CCM Samia inataka Mchakato wa Katiba mpya uanze Upya kwa Kukusanya Maoni na Wananchi kupewa Elimu ya Katiba mambo ambayo CCM ya Kikwete chini ya Tume ya Warioba yalifanyika mpaka Bunge la Katiba liliundwa na Mama Samia akawa Makamu Mwenyekiti wa Hilo Bunge.

Binafsi sina Imani na CCM ya SAMIA ya kuwapatia Katiba Mpya watanzania kwa Kurudisha Nyuma huu mchakato wa Katiba Mpya kutoka pale ilipoishia CCM Kikwete na kutaka Mchakato uanze upya.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Rais George weah wa Liberia 🇱🇷 amewaonyesha Viongozi wa Africa kwamba fair play sio kwenye mpira tu bali hata kwenye siasa fair play ni muhimu kwa ustawi wa Nchi zetu za Africa !
 
Huku kwetu Zanzibar tunayo katiba yetu, tena iko vizuri.
Na kwa sababu tuna uelewa mkubwa na elimu ya kutosha kuhusu Katiba, wakati tulipoona katiba ya awali haitufai kwa miaka hii hatukuhitaji elimu wa kuipata hii Katiba imara.
Lakini ninyi Watanganyika hamna uelewa, hamuijui Katiba ni nini, lazima mpewe darasa la miaka mitatu ili muijue na kuitafsiri hii mliyonayo kisha ndio muanze kudai mpya.
 
Hakuna KATIBA MPYA mzee wa twitter. Kama uliamini kuwa katiba mpya itakuja kwa mazingira ya sasa, pole sana.
Kuna sababu juu 2:
1. Swala la Muundo wa Muungano bado ni kizungumkuti. Halijapatiwa way forward ndani ya dola,serikali na CCM.
2. Bado wanaotaka katiba mpya ni wanasiasa. Hakuna nguvu ya wananchi wala makundi mengine zaidi ya vyama vya siasa.
So why kubadili katiba just kuwaridhisha wanasiasa wanaotaka madaraka?
Kuna haja gani ya kupoteza pesa kufanya uchaguzi ili hali kwa Katiba iliyopo mshindi anajulikana ??!!
 
Huku kwetu Zanzibar tunayo katiba yetu, tena iko vizuri.
Na kwa sababu tuna uelewa mkubwa na elimu ya kutosha kuhusu Katiba, wakati tulipoona katiba ya awali haitufai kwa miaka hii hatukuhitaji elimu wa kuipata hii Katiba imara.
Lakini ninyi Watanganyika hamna uelewa, hamuijui Katiba ni nini, lazima mpewe darasa la miaka mitatu ili muijue na kuitafsiri hii mliyonayo kisha ndio muanze kudai mpya.
Hi Chat GPt au kisungura kinaongea ?
 
Back
Top Bottom