Tundu Lissu: Makonda ni mhalifu mkubwa sana hapa Tanzania

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Ameongeza kwa kusema " kwa nchi zenye kufuatia utawala wa sheria Makonda alipaswa kuwa jela".

Screenshot_20231120-220634_1.jpg
 
Lisu kachanganyikiwa baada ya mikutano yake kukosa watu, huku ya Makonda ikifunga mitaa 🤣🤣🤣

Mwaka 2025 nashauri Chadema wabadilishe mgombea, ili angalau wapate wabunge wengi. Akigombea Lisu itakuwa yale yale ya 2020.
 

Attachments

  • IMG-20230520-WA0008.jpg
    IMG-20230520-WA0008.jpg
    109.8 KB · Views: 3
  • images (8).jpeg
    images (8).jpeg
    104.2 KB · Views: 5
  • images (7).jpeg
    images (7).jpeg
    96.1 KB · Views: 6
Lissu ni bwege tu

Mtu anarandaranda ulaya kusaka mabwana nae ni wa kumsikiliza!
Ukimuona anakuja Africa ujue watoto wanadaiwa ada za shule. Hivyo huja kuanzisha mikutano na operation uchwara, alaf kila mkutano au operation lazima lipitishwa bakuli la kuchangia chama.

Michango ikishakusanywa ya kutosha katika mikutano miwili mitatu, wanakaa chini na mwenyekiti wa chama, kila mtu anachukua cha kwake, Lisu anarudi Ulaya kuwalipia wanae ada, na kulipa madeni aliyochukua mama watoto kwa watu mbali mbali, kisha zinazobaki anaenda kujichana sehemu na familia yake huku akipanga mikakati ya kurudi tena kuanzisha mikutano na michango mingine.

Wajinga ndio waliwao mkuu 🤣🤣
 

Attachments

  • IMG_20211028_071405.jpg
    IMG_20211028_071405.jpg
    35.8 KB · Views: 5
Back
Top Bottom