Sugu ana nguvu mara 100% kuliko Tulia na sababu ni moja tu - USA!

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Raisi Samia, usalama wa taifa, Chadema wenyewe, Spika Tulia wote wanajuwa ukweli.

Katika viongozi wa kisiasa wenye nguvu Tanzania kwa sasa ni Sugu. Sababu kubwa ni mmoja tu Serikali ya USA mabalozi wote wa USA wa kotoka maraisi wa vyama vyote vikubwa repuplicans na democrats ndiyo mtu wao na Samia anajua hilo. Katika watu ambao hawawezi kuguswa kwa sasa ni Sugu kwasabu yeye ndiye CIA na mabalozi wa marekani wanamuamini kuliko mtu mwingine yeyote.

Msije mkashangaa mabalozi wa US wanaenda mpaka Mbeya kuongea na Sugu sio bure. Sugu amefanikiwa kuaminika kwasababu (1) Wanajua ni mwana haki na mpenda demokrasia wa kweli (2) Ameishi Marekani na kujua utamaduni wao (3) Amewahi kuwa mwanasiasa na anajua mfumo wa siasa za Tanzania (4) Anafanya biashara na ni capitalist (5) Amewahi kuwa mwana sanaa na Tanzania ni nchi ya vijana (6) Anapendwa na rafiki binafsi wa Raisi Samia (7) Anapendwa na ni rafiki binafsi wa Mbowe.

CCM kama mkijidanganya kwamba Sugu ni mtafuta Ubunge tu mtakuwa mnakosea. Sugu ni zaidi ya Mbunge au hata spika. Tumeona Spika kabla ya Tulia akifukuzwa kama mbwa na sasa amesahaulika. Wengi ambao haufahamu iko siku mtanielewa ingawa leo mnaweza kudharau. Sugu kwa Wamarekani ni pandikizo lao muhimu na ni lazima afanikiwe na sio lazima iwe ubunge lakini wameshaamua ndiyo mtu wao.

Lazaro Nyalandu alikuwa na tamaa ya rushwa, ubinafsi na ni opportunistic/mtafuta donge ndiyo maana project yake ilishindikana

View: https://youtu.be/XhNlecpJkmw?si=t5qSej6GXt8MM-G8

Huyu wakati wa Repulicans

View: https://youtu.be/LgbB_2vXRm0?si=2IkzWK3fmcyjFW9G
 
Binafsi namkubali sana Sugu (Mr 2) kwani kauli zake huwa zimenyooka tofauti na Wabunge wengine.
Kimsingi Uchaguzi ukiwa huru na haki Tulia hawezi kumshinda Sugu kamwe.
Mleta hoja Kamundu anaonekana yupo deep kwenye mahusiano ya kimataifa. Asante kwa kutujuza.
 
Raisi Samia, usalama wa taifa, Chadema wenyewe, Spika Tulia wote wanajuwa ukweli.

Katika viongozi wa kisiasa wenye nguvu Tanzania kwa sasa ni Sugu. Sababu kubwa ni mmoja tu Serikali ya USA mabalozi wote wa USA wa kotoka maraisi wa vyama vyote vikubwa repuplicans na democrats ndiyo mtu wao na Samia anajua hilo. Katika watu ambao hawawezi kuguswa kwa sasa ni Sugu kwasabu yeye ndiye CIA na mabalozi wa marekani wanamuamini kuliko mtu mwingine yeyote.

Msije mkashangaa mabalozi wa Mbeya wanaenda mpaka Mbeya kuongea na Sugu sio bure. Sugu amefanikiwa kuaminika kwasababu (1) Wanajua ni mwana haki na mpenda demokrasia wa kweli (2) Ameishi Marekani na kujua utamaduni wao (3) Amewahi kuwa mwanasiasa na anajua mfumo wa siasa za Tanzania (4) Anafanya biashara na ni capitalist (5) Amewahi kuwa mwana sanaa na Tanzania ni nchi ya vijana (6) Anapendwa na rafiki binafsi wa Raisi Samia (7) Anapendwa na ni rafiki binafsi wa Mbowe.

CCM kama mkijidanganya kwamba Sugu ni mtafuta Ubunge tu mtakuwa mnakosea. Sugu ni zaidi ya Mbunge au hata spika. Tumeona Spika kabla ya Tulia akifukuzwa kama mbwa na sasa amesahaulika. Wengi ambao haufahamu iko siku mtanielewa ingawa leo mnaweza kudharau. Sugu kwa Wamarekani ni pandikizo lao muhimu na ni lazima afanikiwe na sio lazima iwe ubunge lakini wameshaamua ndiyo mtu wao.

Lazaro Nyalandu alikuwa na tamaa ya rushwa, ubinafsi na ni opportunistic/mtafuta donge ndiyo maana project yake ilishindikana

View: https://youtu.be/XhNlecpJkmw?si=t5qSej6GXt8MM-G8

Huyu wakati wa Repulicans

View: https://youtu.be/LgbB_2vXRm0?si=2IkzWK3fmcyjFW9G

Nikuhakikishie tu,
atashindana lakini hata shinda.

Kiburi na Majivuno ni kiza totoro
 
Mbona kua karibu na marekani na kuungwa mkono na marekani ndio sifa mbaya kwa watanzania wazalendo. Sugu ni mtu mkora tu kwa hivyo wamarekani wanahitaji mtu wa kutetea mashoga na uhuru zisizo na mpaka ili kufarakanisha watu na kufanikisha mipango yao kuiweka nchi kiganjani kwao. Binafsi simpendi tulia kwa jinsi alichangia kutuingiza mkata wa kibeberu na dubai ila sugu sio chaguo zuri kwa wana mbeya.
 
Raisi Samia, usalama wa taifa, Chadema wenyewe, Spika Tulia wote wanajuwa ukweli.

Katika viongozi wa kisiasa wenye nguvu Tanzania kwa sasa ni Sugu. Sababu kubwa ni mmoja tu Serikali ya USA mabalozi wote wa USA wa kotoka maraisi wa vyama vyote vikubwa repuplicans na democrats ndiyo mtu wao na Samia anajua hilo. Katika watu ambao hawawezi kuguswa kwa sasa ni Sugu kwasabu yeye ndiye CIA na mabalozi wa marekani wanamuamini kuliko mtu mwingine yeyote.

Msije mkashangaa mabalozi wa Mbeya wanaenda mpaka Mbeya kuongea na Sugu sio bure. Sugu amefanikiwa kuaminika kwasababu (1) Wanajua ni mwana haki na mpenda demokrasia wa kweli (2) Ameishi Marekani na kujua utamaduni wao (3) Amewahi kuwa mwanasiasa na anajua mfumo wa siasa za Tanzania (4) Anafanya biashara na ni capitalist (5) Amewahi kuwa mwana sanaa na Tanzania ni nchi ya vijana (6) Anapendwa na rafiki binafsi wa Raisi Samia (7) Anapendwa na ni rafiki binafsi wa Mbowe.

CCM kama mkijidanganya kwamba Sugu ni mtafuta Ubunge tu mtakuwa mnakosea. Sugu ni zaidi ya Mbunge au hata spika. Tumeona Spika kabla ya Tulia akifukuzwa kama mbwa na sasa amesahaulika. Wengi ambao haufahamu iko siku mtanielewa ingawa leo mnaweza kudharau. Sugu kwa Wamarekani ni pandikizo lao muhimu na ni lazima afanikiwe na sio lazima iwe ubunge lakini wameshaamua ndiyo mtu wao.

Lazaro Nyalandu alikuwa na tamaa ya rushwa, ubinafsi na ni opportunistic/mtafuta donge ndiyo maana project yake ilishindikana

View: https://youtu.be/XhNlecpJkmw?si=t5qSej6GXt8MM-G8

Huyu wakati wa Repulicans

View: https://youtu.be/LgbB_2vXRm0?si=2IkzWK3fmcyjFW9G

Mkuu CIA ndio wapiga kura wa Mbeya mjini?
 
Sugu amefanikiwa kuaminika kwasababu (1) Wanajua ni mwana haki na mpenda demokrasia wa kweli (2) Ameishi Marekani na kujua utamaduni wao (3) Amewahi kuwa mwanasiasa na anajua mfumo wa siasa za Tanzania (4) Anafanya biashara na ni capitalist (5) Amewahi kuwa mwana sanaa na Tanzania ni nchi ya vijana (6) Anapendwa na rafiki binafsi wa Raisi Samia (7) Anapendwa na ni rafiki binafsi wa Mbowe.

Sugu kwa Wamarekani ni pandikizo lao muhimu na ni lazima afanikiwe na sio lazima iwe ubunge lakini wameshaamua ndiyo mtu wao.
Mkuu Kamundu, kweli Sugu was powerful kuliko Dr. Tulia by then, lakini kwa sasa Dr. Tulia ndio the number 2 most powerful person in Tanzania save for Samia!.

Hujamtendea haki Sugu kusema power yake ni kwasababu ni Project US!. Huku ni kumu undermines Sugu kumfanya aonekane ni puppet wa hawa mabeberu wa Marekani, Sugu is powerful on his own na sio kwasababu ya Wamarekani wala Desderia!.
P
 
Badala ya kumsaidia mnazidi kumuharibia mwenzenu.

Nani atamchagua kibaraka wa wazungu.

Hiyo pekee inatosha kabisa kumnyima kura.

Wapinzani sijui huwa kwanini mnajiona smart sana kuliko kila mtu.
 
Mkuu aliyeleta hoja ni mtu wa Tulia, na ndio siasa ilivyo, kazi ipo kwa Sugu kukanusha!
 
ana bahati sana, though sidhani kama watamsaidia kwenye uchaguzi au kwa chochote. sijui wana mission gani.
 
Back
Top Bottom