Wakurugenzi wa Halmashauri 2 wasimamishwa kazi kwa kushindwa kusimamia Miradi ya Maendeleo

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,502
9,282
photo_2023-11-21_12-40-28.jpg
 
Haya ndiyo matunda ya kazi za kitaalamu kupewa makada, marafiki na familia.

Mtu hajui kufunga hata fungu la shs 1,000,000/ ati kwa vile ni kada, kwa vile ni mtoto wa shangazi, kwa vile kamuoa mtoto wangu ngoja nimpe ukurugenzi.

Na anae toa hizo nafasi kaapa kuilinda katiba. Ccm mme potea sana.. Bii ita wagharimu. Historia ita wahukumu.
 
Hadi tume imepeleka ripoti kuwa ni wazembe. Sasa huo uchunguzi ni upi tena? Cha muhimu ni hao wakurugenzo kuvuliwa madaraka na kupelekwa mahakamani kwa Kutumia ushahidi wa uchunguzi wa tume. Serikali itoe mfano ili wengine waogope kufanya uzembe.
 
Haa Haa Hapo Sasa Ndiyo Wazaramo/Wakwere Wanasema Mambo Ni Mwayangumwayangu
 
Back
Top Bottom