Hamas Wameteka na Kuua Watanzania, Serikali Kimya

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,768
Reaction score
49,948
Kwa nchi zilizostaarabika zinazoongozwa na Setikali zilizostaarabika, hakuna kilicho muhimu kama uhai wa wananchi wao.

Magaidi ya Hamas, yalipoingia Israel na kufanya mauaji makubwa na kisha kuchukua mateka, hayakuchagua mtu. Yaliua na kuwateka Wayahudi, Waarabu, Wapalestina, Wazungu, Wahindi na jamii nyingine zote, alimradi ulikuwa nchini Israel, na kwamba yaliweza kukufikia.

Tofauti na nchi nyingine zote ambazo zilifuatilia hali za wananchi wao na kutoa taarifa rasmi kwa wananchi wao, Serikali ya Tanzania haikufanya hivyo. Habari za Watanzania waliotekwa, zilisikika juu juu tu! Na wala hakukuonekana kuwepo uzito mkubwa ambao Serikali iliweka kwenye tukio hilo.

Magaidi ya Hamas, ni sehemu ya utawala wa Palestina. Na Palestina ina ubalozi wake nchini Tanzania. Na hiyo ni kutokana na ukaribu uliokuwepo kati ya Yasar Arafat (RIP) na Mwalimu Nyerere (RIP). Ifahamike kuwa Yasar Arafat, aliyekuwa rafiki mkubwa wa Mwalimu, alikuja kugeuka kuwa adui wa Hamas kwa sababu Yasar Arafat alikaribisha mazungumzo kati ya Palestine na Israel, jambo ambalo makundi haya ya kigaidi ya Hamas na Hizbollah, hayakutaka. Baadaye Yasar Arafat, kwa uchunguzi uliofanyika iligundulika kuwa aliuawa kwa njia ya sumu.

Kwa hiyo kiuhalisia, Tanzania haijawahi kuwa karibu kwa namna yoypte na kundi la kigaidi la Hamas.

Maswali ya kujiuliza, ni kwa nini Serikali ya Tanzania haikutoa uzito mkubwa kwa maisha ya Watanzania waliochukuliwa mateka na Hamas? Kwa nini Serikali ya Tanzania, haikutoa amri kwa balozi wa Palestina nchini kuwa Watanzania waachiwe au la ubalozi wao nchini ufungwe mara moja? Kuna haja gani ya kuwa na mahusiano ya kibalozi na watu wanaoteka na kuua watu wenu?

Yawezekana Setikali ya Tanzania haikufanya chochote kwa sababu haijali uhai wa Watanzania? Au ni kwa sababu kama ni kutekwa au kupotezwa watu moja kwa moja, mambo hayo yamekuwa yanafanyika nchini bila ya Serikali kuchukua hatua yoyote? Hivyo Serikali iliona ni jambo dogo, kwa sababu mambo hayo yamekuwa yakifanyika hata hapa nchini?
 
Setikali [emoji23]
 
Serikali inaona aibu kusema ukweli. Inawafichia siri magaidi waliotoa uhai wa raia wa tanganyika.

Hii serikali ya hovyo iliyojitoa kuwalinda waarabu wa DPW kwenye ule mkataba wa hovyo wa bandari, inaendelea na tabia zake za kupuuza thamani ya utu wa mtanganyika bila aibu wala huruma yoyote.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kwa nchi zilizostaarabika zinazoongozwa na Setikali zilizostaarabika, hakuna kilicho muhimu kama uhai wa wananchi wao.

Magaidi ya Hamas, yalipoingia Israel na kufanya mauaji makubwa na kisha kuchukua mateka, hayakuchagua mtu. Yaliua na kuwateka Wayahudi, Waarabu, Wapalestina, Wazungu, Wahindi na jamii nyingine zote, alimradi ulikuwa nchini Israel, na kwamba yaliweza kukufikia.

Tofauti na nchi nyingine zote ambazo zilifuatilia hali za wananchi wao na kutoa taarifa rasmi kwa wananchi wao, Serikali ya Tanzania haikufanya hivyo. Habari za Watanzania waliotekwa, zilisikika juu juu tu! Na wala hakukuonekana kuwepo uzito mkubwa ambao Serikali iliweka kwenye tukio hilo.

Magaidi ya Hamas, ni sehemu ya utawala wa Palestina. Na Palestina ina ubalozi wake nchini Tanzania. Na hiyo ni kutokana na ukaribu uliokuwepo kati ya Yasar Arafat (RIP) na Mwalimu Nyerere (RIP). Ifahamike kuwa Yasar Arafat, aliyekuwa rafiki mkubwa wa Mwalimu, alikuja kugeuka kuwa adui wa Hamas kwa sababu Yasar Arafat alikaribisha mazungumzo kati ya Palestine na Israel, jambo ambalo makundi haya ya kigaidi ya Hamas na Hizbollah, hayakutaka. Baadaye Yasar Arafat, kwa uchunguzi uliofanyika iligundulika kuwa aliuawa kwa njia ya sumu.

Kwa hiyo kiuhalisia, Tanzania haijawahi kuwa karibu kwa namna yoypte na kundi la kigaidi la Hamas.

Maswali ya kujiuliza, ni kwa nini Serikali ya Tanzania haikutoa uzito mkubwa kwa maisha ya Watanzania waliochukuliwa mateka na Hamas? Kwa nini Serikali ya Tanzania, haikutoa amri kwa balozi wa Palestina nchini kuwa Watanzania waachiwe au la ubalozi wao nchini ufungwe mara moja? Kuna haja gani ya kuwa na mahusiano ya kibalozi na watu wanaoteka na kuua watu wenu?

Yawezekana Setikali ya Tanzania haikufanya chochote kwa sababu haijali uhai wa Watanzania? Au ni kwa sababu kama ni kutekwa au kupotezwa watu moja kwa moja, mambo hayo yamekuwa yanafanyika nchini bila ya Serikali kuchukua hatua yoyote? Hivyo Serikali iliona ni jambo dogo, kwa sababu mambo hayo yamekuwa yakifanyika hata hapa nchini?
Na kuna watz wanawashabikia hao magaidi walioua mtz mwenzao kisa dini moja
Israeli piga hao kenge ua kabisa
 
Ni ajabu kwamba anayepigania uhuru wa nchi yake na haki ya wananchi wake anaitwa gaidi!!!
Nchi za magharibi zimefaulu sana kuwahadaa watu kwamba maadui wao ni magaidi,na ww ni mmoja wao.
Kuua na kuteka Raia ambao ni wanawake watoto vijana na wazee ambao hawahusiki na jeshi mbaya zaidi unavamia na kuua mpaka Raia wa nchi nyingine hio ndio njia ya kupigania uhuru wa nchi Eti?
 
Kwa nchi zilizostaarabika zinazoongozwa na Setikali zilizostaarabika, hakuna kilicho muhimu kama uhai wa wananchi wao.

Magaidi ya Hamas, yalipoingia Israel na kufanya mauaji makubwa na kisha kuchukua mateka, hayakuchagua mtu. Yaliua na kuwateka Wayahudi, Waarabu, Wapalestina, Wazungu, Wahindi na jamii nyingine zote, alimradi ulikuwa nchini Israel, na kwamba yaliweza kukufikia.

Tofauti na nchi nyingine zote ambazo zilifuatilia hali za wananchi wao na kutoa taarifa rasmi kwa wananchi wao, Serikali ya Tanzania haikufanya hivyo. Habari za Watanzania waliotekwa, zilisikika juu juu tu! Na wala hakukuonekana kuwepo uzito mkubwa ambao Serikali iliweka kwenye tukio hilo.

Magaidi ya Hamas, ni sehemu ya utawala wa Palestina. Na Palestina ina ubalozi wake nchini Tanzania. Na hiyo ni kutokana na ukaribu uliokuwepo kati ya Yasar Arafat (RIP) na Mwalimu Nyerere (RIP). Ifahamike kuwa Yasar Arafat, aliyekuwa rafiki mkubwa wa Mwalimu, alikuja kugeuka kuwa adui wa Hamas kwa sababu Yasar Arafat alikaribisha mazungumzo kati ya Palestine na Israel, jambo ambalo makundi haya ya kigaidi ya Hamas na Hizbollah, hayakutaka. Baadaye Yasar Arafat, kwa uchunguzi uliofanyika iligundulika kuwa aliuawa kwa njia ya sumu.

Kwa hiyo kiuhalisia, Tanzania haijawahi kuwa karibu kwa namna yoypte na kundi la kigaidi la Hamas.

Maswali ya kujiuliza, ni kwa nini Serikali ya Tanzania haikutoa uzito mkubwa kwa maisha ya Watanzania waliochukuliwa mateka na Hamas? Kwa nini Serikali ya Tanzania, haikutoa amri kwa balozi wa Palestina nchini kuwa Watanzania waachiwe au la ubalozi wao nchini ufungwe mara moja? Kuna haja gani ya kuwa na mahusiano ya kibalozi na watu wanaoteka na kuua watu wenu?

Yawezekana Setikali ya Tanzania haikufanya chochote kwa sababu haijali uhai wa Watanzania? Au ni kwa sababu kama ni kutekwa au kupotezwa watu moja kwa moja, mambo hayo yamekuwa yanafanyika nchini bila ya Serikali kuchukua hatua yoyote? Hivyo Serikali iliona ni jambo dogo, kwa sababu mambo hayo yamekuwa yakifanyika hata hapa nchini?
Itawafanya nini hatuna uwezo hata wa kujikuna mbele yao

Kingine serikali ya Tanzania imekuwa hivyo hata kwa mataifa mengine huwa hawatilii uzito kwa raia wao huwa wanaishia kuwasingizia kuwa wameuwawa kwa kubeba ngada
 
Kwa nchi zilizostaarabika zinazoongozwa na Setikali zilizostaarabika, hakuna kilicho muhimu kama uhai wa wananchi wao.

Magaidi ya Hamas, yalipoingia Israel na kufanya mauaji makubwa na kisha kuchukua mateka, hayakuchagua mtu. Yaliua na kuwateka Wayahudi, Waarabu, Wapalestina, Wazungu, Wahindi na jamii nyingine zote, alimradi ulikuwa nchini Israel, na kwamba yaliweza kukufikia.

Tofauti na nchi nyingine zote ambazo zilifuatilia hali za wananchi wao na kutoa taarifa rasmi kwa wananchi wao, Serikali ya Tanzania haikufanya hivyo. Habari za Watanzania waliotekwa, zilisikika juu juu tu! Na wala hakukuonekana kuwepo uzito mkubwa ambao Serikali iliweka kwenye tukio hilo.

Magaidi ya Hamas, ni sehemu ya utawala wa Palestina. Na Palestina ina ubalozi wake nchini Tanzania. Na hiyo ni kutokana na ukaribu uliokuwepo kati ya Yasar Arafat (RIP) na Mwalimu Nyerere (RIP). Ifahamike kuwa Yasar Arafat, aliyekuwa rafiki mkubwa wa Mwalimu, alikuja kugeuka kuwa adui wa Hamas kwa sababu Yasar Arafat alikaribisha mazungumzo kati ya Palestine na Israel, jambo ambalo makundi haya ya kigaidi ya Hamas na Hizbollah, hayakutaka. Baadaye Yasar Arafat, kwa uchunguzi uliofanyika iligundulika kuwa aliuawa kwa njia ya sumu.

Kwa hiyo kiuhalisia, Tanzania haijawahi kuwa karibu kwa namna yoypte na kundi la kigaidi la Hamas.

Maswali ya kujiuliza, ni kwa nini Serikali ya Tanzania haikutoa uzito mkubwa kwa maisha ya Watanzania waliochukuliwa mateka na Hamas? Kwa nini Serikali ya Tanzania, haikutoa amri kwa balozi wa Palestina nchini kuwa Watanzania waachiwe au la ubalozi wao nchini ufungwe mara moja? Kuna haja gani ya kuwa na mahusiano ya kibalozi na watu wanaoteka na kuua watu wenu?

Yawezekana Setikali ya Tanzania haikufanya chochote kwa sababu haijali uhai wa Watanzania? Au ni kwa sababu kama ni kutekwa au kupotezwa watu moja kwa moja, mambo hayo yamekuwa yanafanyika nchini bila ya Serikali kuchukua hatua yoyote? Hivyo Serikali iliona ni jambo dogo, kwa sababu mambo hayo yamekuwa yakifanyika hata hapa nchini?
Ukimya wa serikali ni ushahidi mwingine wa serikali ya mzenji SAA 100 inavyothamini ndugu zake wa damu/ujombani (waarabu) na ndugu zake katika imani badala ya watanzania (Tanganyika's).
 
Back
Top Bottom