25 November 2023
Jenerali Ulimwengu - "Kuhusu Mfumo wa Serikali,Tuna jidanganya Hatuoni Tatizo"
https://m.youtube.com/watch?v=PWrarDLQBCA
Kuongezeka mikoa na wilaya kila siku Jenerali Ulimwengu...
Hawa ndio Wabunge wa Chadema waliounga mkono Juhudi na kuhamia CCM na Ubunge wao tayari kuwa Manaibu Waziri
Rais Samia bila hiyana na kwa Upendo aliamua kuendelea nao
Sema wameanza kumuangusha...
Mbunge Kapufi akabidhi zaidi ya Shilingi Milioni 2 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa CCM Wilaya ya Mpanda.
MBUNGE wa Jimbo la Mpanda Mjini Sebastian Kapufi amekabidhi zaidi ya Milioni 2 kwa Jumuiya...
Kwanza nikupongeze Kwa hili ulilofanya Jana Kwa Gekul maana alisitahili.
Lakini usiishie hapo maana Gekul hakufanikisha unyama huu Peke yake. Baada ya kumtesa na kujeruhi kijana Hashimu ndani ya...
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo ametoa msaada wa gari la kusafirisha mwili wa marehemu kwa wanajimbo wake.
Hata hivyo, wana Arusha wameuponda msaada huo huku wakihoji kwa nini asipeleke...
ZIARA YA MHE. DANIEL SILLO KATIKA JIMBO LA BABATI VIJIJINI NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO
Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti bungeni Mhe. Daniel Sillo ameendelea...
📌📌 UIMARA WA CHAMA NI VIKAO, UIMARA WA CHAMA NI TAARIFA, SASA TUNAWAPA TAARIFA RASMI
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kitakuwa na Vikao vya Kitaifa Vitakavyofanyika Jijini Dar es salaam Kuanzia Tarehe...
Wanajamvi nadhani kuna haja kubwa ya kuijadili kwa kina iliyoitwa EAMWS (East African Muslim Welfare Society) iliyoanzishwa na jumuia ya Isma'ili Khoja mjini Mombasa, Kenya mwaka 1945 na baadaye...
Binafsi mara ya kwanza nimefika Dodoma miaka 26 iliyopita. Kweli wakati huo maisha yalikuwa magumu sana kuishi Dodoma kwa sababu zifuatazo;
Mosi, mji ulikuwa ni mfinyu mno, ulikuwa unaweza...
#HABARI Kitabu kiitwacho Africa Magufuli na Badiliko kilichoandikwa na Profesa Malango Chinthenga wa Malawi kimetajwa kuvutia nchi nyingi za Afrika Mashariki zikiwamo Tanzania na Kenya huku...
Nimemsikiliza Prof Kitila Mkumbo , kwanza napingana na wanaoamini kila Prof ana akili. Baadhi wana uwezo wa kufaulu mitihani ya darasani aidha kwa kukariri au kubahatisha ila siyo akili. Moja ya...
Katika mahojiano ya zamani, msanii maarufu wa Kiarabu, mwigizaji wa Misri Adel Imam, alikashifu "fukufuku" ya Palestina kwa kuamini kwamba wanaweza kukabiliana na #Israel, akisema kwamba watu...
Wadau nimejaribu kuipitia KATIBA iliyopo ili kupata Kifungu kinachokipa Mamlaka CHAMA TAWALA kuisimamia SERIKALI lakini sijakiona.Ombi kwa Wanasheria wetu.
Je, ni kifungu gani kinachokipa Mamlaka...
"Ukisoma literature utaona kwamba hakuna chama chochote cha siasa duniani ambacho kimeshinda uchaguzi kwa kuwa tu kimekuwa ni bingwa wa kukosoa.
"Chama kinashinda uchaguzi kwa kuwa kimeweka sera...
Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu...
Akizungumza kwenye kumbukumbu ya miaka 3 tangu kufariki kwa Maalim Seif, ambaye ni Gwiji la Siasa za Zanzibar, Baba Askofu Mwamakula amesema kwamba kwenye utawala wa Mkapa hakukuwahi kuwa kesi...
Salaam, shalom.
Baada ya kumsikiliza Kwa makini Mzee WARIOBA akihojiwa katika kipindi Cha Dakika 45 kituo Cha ITV, Kuna mambo nimeyatambua Mzee anajaribu Kutoa angalizo na umuhimu wa Serikali...
TAARIFA
Tumepokea taarifa za Kutaka Kumtorosha Pauline Gekul kwenda Nairobi,nchini Kenya kupitia mpaka wa NAMANGA kwa kutumia Landcruiser Hardtop nyeupe yanye namba za DFP 76551 na Vioo vyeusi...
Shule ya Arusha primary ni moja kati ya shule kongwe sana nchini Tanzania zinazofundisha kwa lugha ya kiingereza. Ilianza rasmi mwaka 1932.
Shule hii ambayo kwa sasa ipo chini ya Jiji , miezi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.