Kitila Mkumbo: Hakuna chama chochote cha siasa Duniani kimeshinda uchaguzi kwa kuwa ni bingwa wa kukosoa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
Screenshot 2023-11-26 155823.png

"Ukisoma literature utaona kwamba hakuna chama chochote cha siasa duniani ambacho kimeshinda uchaguzi kwa kuwa tu kimekuwa ni bingwa wa kukosoa.

"Chama kinashinda uchaguzi kwa kuwa kimeweka sera mbadala na kikaonekana, kina safu mbadala ya uongozi, kuwa na mikakati mbadala ya ya kutatua changamoto za wananchi na kuonesha uzoefu katika kutatua changamoto za wananchi." - Prof. Kitila Mkumbo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

Jambo TV
 
Huyu ni Kabudi part two. Pumbafu! (in Magufuli's voice)
 
Hii ni principle pia kwenye maisha.... Blaming and complaining doesnt solve problems.

Wanaojiita wapunzani tanzania ni wakosoaji badala ya kuwa wana preach solutions zaidi.

Wakosoe ila pia watoe na solutions
Kazi ya wapinzani ni kukosoa, na serikali kazi yake ni kufanyia kazi mapungufu wanayooneshwa na wapinzani, wapinzani wakiifanya hii kazi yao kwa usahihi, wataaminiwa na wananchi hiyo inakuwa tiketi kwao kushinda uchaguzi popote.

Wewe na Kitila mnaamini wapinzani hawawezi kushinda uchaguzi sio kwasababu ya kazi wanayofanya ya kukosoa, mnaamini hawawezi kushinda uchaguzi kwasababu mmezoea kuishi kwenye mazingira yasiyo na usawa kati ya chama tawala na upinzani.

Simply mmezoea kuishi kwenye tatizo mpaka sasa mmelizoea, mmeligeuza kuwa ndio sehemu ya maisha.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
"Ukisoma literature utaona kwamba hakuna chama chochote cha siasa duniani ambacho kimeshinda uchaguzi kwa kuwa tu kimekuwa ni bingwa wa kukosoa.

"Chama kinashinda uchaguzi kwa kuwa kimeweka sera mbadala na kikaonekana, kina safu mbadala ya uongozi, kuwa na mikakati mbadala ya ya kutatua changamoto za wananchi na kuonesha uzoefu katika kutatua changamoto za wananchi." - Prof. Kitila Mkumbo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

Jambo TV
This is a hopeless guy, sijui nani wanamualika mtu ambaye ni msaliti. Huyu hawezi kusema la kweli maana anakuwa driven na tumbo! Mnasikiliza nini kutoka kwake? wastage of time and resources inviting such a stupid guy!
 
"Ukisoma literature utaona kwamba hakuna chama chochote cha siasa duniani ambacho kimeshinda uchaguzi kwa kuwa tu kimekuwa ni bingwa wa kukosoa.

"Chama kinashinda uchaguzi kwa kuwa kimeweka sera mbadala na kikaonekana, kina safu mbadala ya uongozi, kuwa na mikakati mbadala ya ya kutatua changamoto za wananchi na kuonesha uzoefu katika kutatua changamoto za wananchi." - Prof. Kitila Mkumbo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

Jambo TV
Hamna lolote! Siyo kwa mazingira ya uchaguzi wa 2020. Never!
 
Hii ni principle pia kwenye maisha.... Blaming and complaining doesnt solve problems.

Wanaojiita wapunzani tanzania ni wakosoaji badala ya kuwa wana preach solutions zaidi.

Wakosoe ila pia watoe na solutions

Mbona wametoa solutions nyingi sana.
 
Back
Top Bottom