Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama IGP atashindwa kuchukua hatua kwa RPC Manyara ambaye alishuhudia kijana akiteswa na kufanyiwa ukatili wa hali ya juu mbele ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Gekul basi...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini, (CCM) Reuben Kwagilwa amewatembelea na kutoa misaada kwa wananchi waliathirika na mvua wilayani Handeni, huku akitoa tahadhari kwao. Akizungumza na baadhi ya...
0 Reactions
3 Replies
499 Views
Tunaposema Sheria ni msumeno ni lazima ionekane !!. Siwezi kufurahia Hatua ya Rais Samia , hatua inayofata ,SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE. Hii tabia wanao hawa watu wanaojiita Viongozi, ni vile...
6 Reactions
31 Replies
6K Views
Ingekuwa mawaziri na baadhi ya viongozi wanachomolewa kwa sababu ya skendo basi wengi wangekuwa wametoka. Hakuna serikali ambayo viongozi wana maskendo kama hii awamu ya sita. Kuanzia...
40 Reactions
159 Replies
13K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki hafla ya chakula cha mchana alichowaandalia Wachezaji na Viongozi wa Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 15...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Komredi Makonda amekutana na Mkuu wa Majeshi mstaafu General Mabeyo jijini DSM na kuibadilishana mawazo. ------ Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Chama Cha...
10 Reactions
24 Replies
4K Views
Hii hapa ni kata ya Ikoma Jimbo la Rorya Mkoani Mara. Moja ya Kata ambazo zimeteuliwa na kinachoitwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania katika kinachoitwa maboresho ya Daftari la Kudumu la...
3 Reactions
12 Replies
931 Views
Ngoja leo niawachane wakurugenzi na manyapara wote waliomaliza chuo kikuu cha DSM 1997/2002 na wakapata kazi serikalini. Wengi kwa sasa ndio wakurugenzi, makamishna, wakuu wa polisi mikoa nk...
3 Reactions
7 Replies
982 Views
Botto Biteko mesema TANESCO ina wadaiwa sugu ambao wanadaiwa takribani Bilioni 224 za matumizi ya umeme na hawajalipa. Naunga mkono hoja, ila hapo utakuta 99% ni Taasisi za Serikali kama...
0 Reactions
2 Replies
665 Views
Ukikaa kwenye gambe lazima uwe na akili nyingi kama siyo maarifa. Walevi sometimes hatuna siri na tukipayuka tunaaminigi watu wote wameziba masikio. Nimesikia mjadala kwamba serikali...
0 Reactions
0 Replies
532 Views
Sote tunajua kwamba matokeo ya darasa la Saba mwaka 2023 yametoka. Matokeo haya yanajumuisha ya wanafunzi waliosoma shule za serikali na wale wa sekta binafsi. Ukiyaangalia matokeo haya...
15 Reactions
109 Replies
8K Views
UTAASISI WA CHAMA CHA MAPINDUZI KATIKA KUISIMAMIA SERIKALI KATIKA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI Nyandi Raphael Jr. K/UVCCM [M]SHINYANGA 0718695061 November 26,2023. CHAMA CHA MAPINDUZI ni...
0 Reactions
0 Replies
564 Views
Nimeona taarifa kutoka mitandaoni zikieleza kwamba walioshirikiana na Mbunge wa Babati kwemwekea kijana wa Kitanzania chupa Makalioni wamekimbia na kwenda kujificha nje ya nchi kwa maelekezo ya...
10 Reactions
32 Replies
5K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuongoza matembezi ya hiyari, ikiwa ni hatua ya kuunga mkono maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili na...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Katibu Mwenezi Ndugu Paul Makonda amtembelea Mwadhama Kardinali Pengo Nyumbani kwake. Lengo ni kumjulia hali na zaidi kuchota Hekima na Busara mbali na hayo! Kubwa zaidi ni Kujikabidhi Mbele za...
13 Reactions
85 Replies
7K Views
Taasisi ya Maalim Seif Foundation ikishirikiana na Taasisi ya Friedrich Naumann Foundation imeratibu Mkutano wa Tatu wa Kumkumbuka na Kumuenzi Maalim Seif Sharif Hamad unaofanyika kwa siku mbili...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Kwa kuwa vyombo hivi vimeonyesha uhasama wa wazi kwa kumkamata kila kukicha bwana Tundu Lissu,nashauri mashirika ya kimataifa ya ujasusi yahusike kuchunguza sakata la Lissu kurushiwa risasi karibu...
39 Reactions
157 Replies
19K Views
Baadhi ya Mawaziri wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wameunga mkono na kujipanga kutekeleza ushauri wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuachana na mifumo ya kuzuia bidhaa na...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Jacqueline Kainja Andrew, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora katika Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Ndugu Jokate Urban Mwegelo katika Mkoa wa Tabora...
1 Reactions
0 Replies
672 Views
Najua wewe ni mchapa kazi sana, kuna watumishi wa mamlaka ya serikali za mitaa na halmashauri ambao wanahamishwa kutoka kituo kimoja kwenda kingine na wanastahili kulipwa kwa mujibu wa taratibu za...
1 Reactions
8 Replies
696 Views
Back
Top Bottom