Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) akipokea taarifa Maalum ya kutathmini hali ya utumishi, majengo na uwakilishi katika Balozi zote za Tanzania...
1 Reactions
7 Replies
589 Views
Uwekezaji wa Moja kwa Moja wa Nchi za Nje (FDI) nchini Tanzania umeongezeka karibu mara mbili kwa mwaka mmoja hadi kufikia dola bilioni 1.05 kati ya Julai na Septemba ikilinganishwa na dola...
0 Reactions
0 Replies
628 Views
Hapo nyuma walikuwa wanatudanganya kuwa wao ni wapambanaji na wapo kwa ajili ya maslahi ya taifa. Pamoja na ugumu wa kufanya siasa zao za ujanja ujanja kwenye awamu ya tano lakini walikuwa...
14 Reactions
115 Replies
8K Views
Tundu Lissu akiwa Alabama nchini USA wakati anazungumza na watanzania waishio huko, ameulizwa swali kama Freeman Mbowe alihusika kwa namna moja au nyingine kutokana na kupigwa risasi kwake...
15 Reactions
282 Replies
38K Views
Mfumo wetu wa siasa unakataza indirectly Kiongoz wa kisiasa au chama tawala kuhojiwa anapotenda jinai . Vinginevyo lazima wapokee maelekezo kutoka kwa viongozi wa kisiasa wasipofanya hivyo ...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Kwa kifupi Tanzania ndio pekee ina mgao wa umeme kwa sasa.Kenya walikuwa nao kipindi cha ukame ila baada ya masika mgao ukaisha na hadi leo hawana tena mgao. Uganda hakuna kitu kama hicho, Zambia...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Baada ya Rais Samia kumtengua naibu waziri wa wizara ya katiba na sheria, Pauline Gekul ambaye siku tatu kabla ya utenguzi huo kulijaa tuhuma nzito za vitendo viovu dhidi yake kumeibuka watetezi...
11 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wanajamvi. Nimesoma kwenye mitandao kuwa Mh RAIS ametengua uteuzi wa mh Gekul. Je, yule naibu waziri tamisemi alichukuliwa hatua zipi? Baada ya tuhuma za kuhusishwa na kifo cha...
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Maendeleo na mabadiliko ya Babati yataletwa na kijana wa Babati ambaye anajua ni nini wanababati wamekosa kwa muda mrefu. Pamoja na kuwa anafanya kazi Babati mjini pia ni kijana mzalendo na...
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu wa kina wa barabara za Mwanza Mjini hadi Round about ya Usagara na barabara ya Mwanza Mjini hadi Igoma ili...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Tamasha Kubwa la Utalii linafunguliwa leo Chato Burigi wilayani Chato mkoa wa Geita Mawaziri Kairuki, Bashe, Kijaj na Naibu Waziri mkuu ni miongoni mwa Mawaziri wengi watakuwepo Wasanii...
2 Reactions
13 Replies
743 Views
Hii nchi imekua ya mateso kwa miaka mingi hasa kwa watu wanyonge na maskini. Wanasiasa na wenye mamlaka wamekua wakionea sana watu wadogo, wamekua wakichukua uhai wa watu wanyonge mfano ditopile...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
1. Unda timu ya kijasusi kwa ajili ya ukusanyaji wa data, uchambuzi, na mapendekezo mbadala kwa maeneo yote yenye matatizo 2. Wawezeshe wakuu wote wa vitengo kuanzia Watendaji Wakuu hadi viongozi...
1 Reactions
2 Replies
319 Views
Nchi hii inahitaji marekebisho makubwa sana ya katiba kuhusu ukiukwaji wa maadili wa viongozi wa umma, hasa eneo la wabunge inapobainika wamevunja maadili ya utumishi wa umma. Paulina Gekuli...
4 Reactions
14 Replies
919 Views
Huyu jamaa anayeitwa Jenerali Ulimwengu (sijui hata huo ujenerali alivishwa na nani), nimeona anawafokea wanavyuo kuwa ati hawafanyi midahalo! Kwanza aelewe, hizi sio zama za TANU na ASP, zama za...
4 Reactions
69 Replies
4K Views
Serikali ya awamu ya sita imeendelea kufungua Nchi kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya Maendeleo Mkoani Songwe ikiwemo ujenzi wa barabara ya kimkakati ya TANZAM inayojengwa kwa njia nne kutoka...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Inawezekana kweli? Yani asubuhi unakuta vyombo vya habari vimepambwa na habari 5 Nyingi "Atuhumiwa Kubaka, Aliyebakwa Asimulia Kilicho tokea" Halafu eti habari hiyo iwe ya uongo yani waitunge...
1 Reactions
2 Replies
546 Views
Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 25/11/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya...
1 Reactions
1 Replies
650 Views
Wakili Msomi Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi ameitwa kwenye kamati ya kinidhamu kujibu tuhuma za kinidhamu dhidi yake alizotuhumiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Wafuatao ni wajumbe...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Ngurdoto ilikua/ipo chini ya The Impala Group of Hotels (IGH) ambayo ilikua ina jumuisha Impala Hotel (Arusha), Impala Hotel (Moshi), Ngurdoto Mountain Lodge (Arusha), Naira Springs Hotel...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
Back
Top Bottom