Dodoma ya leo siyo ile ya jana, asante sana Hayati Magufuli

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,738
15,211
Binafsi mara ya kwanza nimefika Dodoma miaka 26 iliyopita. Kweli wakati huo maisha yalikuwa magumu sana kuishi Dodoma kwa sababu zifuatazo;

Mosi, mji ulikuwa ni mfinyu mno, ulikuwa unaweza kutumia dk zisizozidi 40 ukatembea mji mzima. Kipindi hicho hata daladala hazikuwepo.

Pili, maji yalikuwa ya shida sana kiasi kwamba tulilazimika kufukua makorongoni kutafuta maji. Hali hiyo ilichangia sana kuwepo kwa magonjwa mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa macho, kipindupindu, homa ya matumbo n.k.

Tatu, sehemu kubwa ya mji ulikuwa ni jangwa hali iliyopelekea kuwa na hali mbaya ya hewa hasa kipindi cha kuanzia mwezi Mei hadi Julai.

Nne, mzunguko wa fedha ulikuwa mdogo kutokana na kukosekana kwa shughuli za uzalishaji mali.

Kuanzia mwaka 2018 hali imekuwa tofauti. Changamoto nilizozibainisha hapo juu sasa zimefanyiwa kazi. Mji umekuwa sana na miundombinu ya kisasa imewekwa.

Dodoma kwa sasa hakuna nyumba iliyokamilika yenye kuhitaji wapangapi ikakosa wapangaji tena kwa bei nzuri ukilinganisha na bei katika miji mingine ya nchi yetu.

Hata suala la usafiri sasa hivi limeboreshwa sana. Kwa upande wa usafiri wa anga, zamani ili kupanda ndege mfano kwenda Dar au kokote ilikubidi ukodi ndege nzima ambapo nakumbuka mwaka 2011 tulikuwa na na shida ya haraka kwenda Arusha ili ilibidi tukodi ndege nzima kwa Tshs 6,000,000/ kutoka shirika la ndege la MAF. Sasa hivi Dodoma kupitia mashirika ya ATCL na PRECISION karibu kila siku kuna safari za kwenda miji yote muhimu kutokea Dodoma tena kwa bei nafuu.

Dada hivi kupitia mpango kabambe wa kuendeleza mji wa Dodoma inatarajiwa kuanzishwa usafiri wa treni za mjini (commuter) utakaounganisha maeneo yote muhimu kuanzia Ikulu, mji wa kiserikali, uwanja wa ndege Msalata, stendi ya mkoa na mjini kati.

Pia sasa hivi serikali inaendelea na ujenzi wa majengo 24 ya ghorofa 6 ya wizara mbalimbali katika mji wa kiserikali Mtumba sambamba na ujenzi wa barabara za lami katika mji huo na maeneo mengine.

Jambo pekee linalohitaji kufanyiwa kazi na mamlaka za jiji na wakazi ni kuhakikisha tunaongeza kasi ya upandaji miti na kuitunza iliyopo kwani kupitia miti hiyo sasa hivi hali ya hewa na mandhari ya mji ni ya kuvutia tofauti na zamani. Pia mradi wa kuchukua maji ziwa Victoria na kuyaleta Dodoma ukitekelezwa kama serikali ilivyoahidi mji utakuwa wenye kuvutia zaidi kwani maji ya ziwa Victoria ni baridi kupita haya tunayoyatumia sasa.

Fursa za uwekezaji katika mji huu ni nyingi kuanzia nyumba za makazi, shule za binafsi, viwanda vya kukamua/ kusindika/ kukoboa mazao kama zabibu, alizeti, mahindi, mchele, ubuyu n.k. Pia kutokana na uwepo wa vyuo vingi kuku na mayai vinahitajika sana.

Dodoma sio pa kusimuliwa, fika mwenyewe ujionee na uwekeze kabla hujachelewa kwani miaka mitano ijayo hata Gaborone Botswana itakuwa imepitwa.
 
Unamshukuru marehemu? Nyie watu mmechanganyikiwa.
 
images.jpeg
 
Kazi kubwa alifanya JK
 
Kuna vitu ume-exaggerate sio vya kweli unaongea uwongo.Umesema umefika mara ya mwisho miaka26 iliyopita ambayo ni sawa na mwaka 1997.Yaani mwaka 1997 mji wa Dodoma watu walikua wanachota maji makorongoni....makorongo gani hayo ebu tutajie na utuambie DUWASA ilikua wapi😆😆.Alafu unasema mwaka 1997 Dodoma kulikua hakuna usafiri wa daladala 😆😆.
Kingine hali ya hewa ya Dodoma sio jangwa kama unavyosema manake Jangwani hakuna mvua na hawalimi mazao labda iwe kwa njia ya Irrigation.Dodoma wanategemea msimu mmoja wa mvua za masika na ndio wanaongoza Tanzania nzima kwa uzalishaji wa Zabibu,Mtama,Ubuyu,Uwele,Alizeti,Tende,Rosella bila kusahau soko la kimataifa la mahindi na nafaka Kibaigwa.Kuanzia kipindi cha mwezi Mei mpaka Agosti hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi kali kama vile upo Mbeya au Arusha.
 
Binafsi mara ya kwanza nimefika Dodoma miaka 26 iliyopita. Kweli wakati huo maisha yalikuwa magumu sana kuishi Dodoma kwa sababu zifuatazo;

Mosi, mji ulikuwa ni mfinyu mno, ulikuwa unaweza kutumia dk zisizozidi 40 ukatembea mji mzima. Kipindi hicho hata daladala hazikuwepo.

Pili, maji yalikuwa ya shida sana kiasi kwamba tulilazimika kufukua makorongoni kutafuta maji. Hali hiyo ilichangia sana kuwepo kwa magonjwa mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa macho, kipindupindu, homa ya matumbo n.k.

Tatu, sehemu kubwa ya mji ulikuwa ni jangwa hali iliyopelekea kuwa na hali mbaya ya hewa hasa kipindi cha kuanzia mwezi Mei hadi Julai.

Nne, mzunguko wa fedha ulikuwa mdogo kutokana na kukosekana kwa shughuli za uzalishaji mali.

Kuanzia mwaka 2018 hali imekuwa tofauti. Changamoto nilizozibainisha hapo juu sasa zimefanyiwa kazi. Mji umekuwa sana na miundombinu ya kisasa imewekwa.

Dodoma kwa sasa hakuna nyumba iliyokamilika yenye kuhitaji wapangapi ikakosa wapangaji tena kwa bei nzuri ukilinganisha na bei katika miji mingine ya nchi yetu.

Hata suala la usafiri sasa hivi limeboreshwa sana. Kwa upande wa usafiri wa anga, zamani ili kupanda ndege mfano kwenda Dar au kokote ilikubidi ukodi ndege nzima ambapo nakumbuka mwaka 2011 tulikuwa na na shida ya haraka kwenda Arusha ili ilibidi tukodi ndege nzima kwa Tshs 6,000,000/ kutoka shirika la ndege la MAF. Sasa hivi Dodoma kupitia mashirika ya ATCL na PRECISION karibu kila siku kuna safari za kwenda miji yote muhimu kutokea Dodoma tena kwa bei nafuu.

Dada hivi kupitia mpango kabambe wa kuendeleza mji wa Dodoma inatarajiwa kuanzishwa usafiri wa treni za mjini (commuter) utakaounganisha maeneo yote muhimu kuanzia Ikulu, mji wa kiserikali, uwanja wa ndege Msalata, stendi ya mkoa na mjini kati.

Pia sasa hivi serikali inaendelea na ujenzi wa majengo 24 ya ghorofa 6 ya wizara mbalimbali katika mji wa kiserikali Mtumba sambamba na ujenzi wa barabara za lami katika mji huo na maeneo mengine.

Jambo pekee linalohitaji kufanyiwa kazi na mamlaka za jiji na wakazi ni kuhakikisha tunaongeza kasi ya upandaji miti na kuitunza iliyopo kwani kupitia miti hiyo sasa hivi hali ya hewa na mandhari ya mji ni ya kuvutia tofauti na zamani. Pia mradi wa kuchukua maji ziwa Victoria na kuyaleta Dodoma ukitekelezwa kama serikali ilivyoahidi mji utakuwa wenye kuvutia zaidi kwani maji ya ziwa Victoria ni baridi kupita haya tunayoyatumia sasa.

Fursa za uwekezaji katika mji huu ni nyingi kuanzia nyumba za makazi, shule za binafsi, viwanda vya kukamua/ kusindika/ kukoboa mazao kama zabibu, alizeti, mahindi, mchele, ubuyu n.k. Pia kutokana na uwepo wa vyuo vingi kuku na mayai vinahitajika sana.

Dodoma sio pa kusimuliwa, fika mwenyewe ujionee na uwekeze kabla hujachelewa kwani miaka mitano ijayo hata Gaborone Botswana itakuwa imepitwa.
R.I.P MAGUFULI, mzee hakuwa na nia mbaya...
 
Back
Top Bottom