Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,398
- 3,907
📌📌 UIMARA WA CHAMA NI VIKAO, UIMARA WA CHAMA NI TAARIFA, SASA TUNAWAPA TAARIFA RASMI
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kitakuwa na Vikao vya Kitaifa Vitakavyofanyika Jijini Dar es salaam Kuanzia Tarehe 27 - 29 Novemba, 2023 .
#CCMImara
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kitakuwa na Vikao vya Kitaifa Vitakavyofanyika Jijini Dar es salaam Kuanzia Tarehe 27 - 29 Novemba, 2023 .
Kuanza na Kikao cha Halmashauri Kuu ya Sekretarieti ya CCM Taifa ikiongozwa na Katibu Mkuu Ndg. Daniel Chongolo.
Mafunzo kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa Kikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa pia Kikiongozwa na Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
#CCMImara
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee