Wanachama wa Chama cha Walimu nchini tunashuhudia kwa macho yetu tabia ya kudhoofisha chama chetu inayofanywa na Bwana Maganga bila aibu. Hali hii inakasirisha na kuleta wasiwasi juu ya hatma ya...
Wadau nawasabahi.Mada yangu inajieleza hapo juu. Ili kupunguza Msongamano na foleni kubwa za magari jijini njia pekee yakuwafanya wenye Magari binafsi kuacha kuyatumia kuingia jijini na badala...
Kama kuna kosa amewahi kufanya Rais Samia na linaweza kuja kumgharimu Big time ni kumuamini huyu nyoka aliyekuwa kiongozi wa kundi la watu fulani waliokuwa wakitumika kwa mlengo wa kikundi fulani(...
Well, Tarehe 29/11/2023 Ni Siku Nyingine Tena ambayo kamati ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM itakwenda kuketi Kama ilivyo Ada, Ni Kwenda kutimiza Majukumu yake.
Wakati Kama huu...
Mosi aliugua corona, pili ni Bankster alipitia World Bank na tatu hakuwa Makamu wa Rais kwa bahati mbaya.
Sasa anzeni kumjadili Mpango Phillip na muone jinsi mtakavyoishi naye kwani ndiye Rais...
Na Joseph Ngilisho Arusha
WAZIRI mkuu,Kassimu Majaliwa,amewataka Wataalamu wa mipango Nchini kuhakikisha wanatekeleza majukumu waliyopewa Kwa kuwa wao ni kiungo muhimu katika maendeleo ya nchi...
Kuna kila dalili inayoonyesha Freeman Aikel Mbowe unachochea moto kuhusiana na tuhuma dhidi ya Sabaya.
kwanza ni mahusiano yako ya karibu na mfanyabiashara na wafanyabiashara baadhi wa mahotel...
Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Mhe. Muharami Shabani Mkenge, Amepokea kwa Masikitiko Makubwa kifo Cha Diwani Kata ya Fukayosi Mhe Ally Ali Issa
Anatoa pole Kwa Mhe DC, Mkurugenzi Halmashauri...
Siasa za weusi ni nyeusi tii
Kwa mfano nauli mpya mwananchi anaunafuu gani.
Wanasiasa wanamiliki magari nauli kupanda mbunge anabariki tu. Huku akionheza madaladala.
Ni nani anasimama...
Mhe. Rais, sisi wananchi kwa ujumla tunakuomba kwa heshima na taadhima iwe jua na iwe mvua tunataka Katiba Mpya kabla ya 2025.
Usemi kuwa wananchi wanataka elimu kwanza kuhusu Katiba Mpya usemi...
Jeshi la Polisi, ofisi za umma, Mahakama, wafanyabiashara na taasisi za elimu ya juu ni miongoni mwa maeneo yanayoongoza kwa kuwa na vitendo vya rushwa.
Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan ametaja...
Kuna jipu kubwa ambalo likiiva litaleta hatari kubwa sana pale mkoa wa kagera wilaya ya kyerwa.
Kuna jamii ya wasukuma imeenda wilayani humo inawahonga viongozi ngazi ya vijiji na viongozi...
WATUHUMIWA katika mauaji ya Swetu Fundikira, MTM 1900 Sajenti Roda Robert (42) wa kikosi cha JKT - Mbweni na MT 75854 Koplo Ally Ngumbe (37) wa JWTZ-Kunduchi leo wamehukumiwa kifo baada ya...
Ndugu zangu watanzania,
Nilikuwa kimya kidogo nikiendelea na shughuli zangu za utafutaji maeneo mbalimbali yaliyoniwezesha kuonana na watanzania wa makundi yote. Nimeingia na kuendelea kufika...
MHE. DANIEL BARAN SILLO AFANYA ZIARA KATIKA JIMBO LA BABATI VIJIJINI
Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daniel Baran Sillo ambaye...
Mbunge Eng. Aisha Ulenge Ashauri Uanzishwaji wa Programu Kuhamasisha Wanafunzi Kutumia Maktaba
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Mhandisi Mwanaisha Ulenge amefanya ziara ya kutembelea Maktaba...
Ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha tano kutoka Isaka mkoani Shinyanga hadi Mkoa wa Mwanza urefu wa kilometa 341 ukijumuisha njia kuu na njia ya kupishana kwenye stesheni unazidi kushika...
Dkt Wilbroad Slaa alipoulizaa kuhusu suala la Tundu Lissu kupigwa risasi,anasema "siwezi kuzungumzia sababu utekaji upo ndani ya Chadema"
“Kuna watu wananiuliza kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi...
Iko hivi, wathailand 12 wameachiwa pamoja na waisrael 12 ikiwa ni makubaliano yaliyofanyika Kati ya Israel na Hamas. Sasa tujadili hill jambo. Clemence Mtenga sasa ni marehemu, amefia Gaza. Mpaka...
Kwanza awali nilidhani Naibu Waziri alikuwa akisingiziwa lakini baada ya kuona utenguzi huu nikaamini kweli amefanya huo ukatiri.
Sina shaka kwa sasa kuwa ni kweli Kiongozi huyo alihusika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.